mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Kwa nini mnapenda kusema rais wetu mpendwa?mpendwa na nan?kwa nini usijisemee we we peke yako?mpendwa gaani wa kuuza vitu vya Tanganyika tu na kuacha vya nyumbani kwao Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hako kababu kalikua katapeli tuKwahiyo tuogope kusimamia Mali za Tanganyika kisa kauli ya Nyerere?, Afu binafs sijawahi kunufaika na Zanzibar kuwa sehem ya Tanzania... Zaidi ya wao kunufaika vya Tanganyika. Muungano Sasa basi kila Nchi ipambane kivyake.
Wewe ni mtanganyika bila shakaSijawahi kuona mwanamabadiliko mjinga kama huyu mleta mada, ww ni mwanabadiliko wa nini wa kusifia Rais wa sasa baada yule kufariki et
Acha chuki wewe nyie wanawake mbona hampendani? Angalia usije ukaondoka weweMbona sawa tu
Tunaomba iwe hata leo
wao wanajiita wazanzibar wala hakuna shida, kwanza muungano uvunjwe waondoke harakaKwani kujitambua Sisi ni Watanganyika nalo ni kosa?
Hakuna watu wabaguzi kama wazanzibar waondoke harakaKwahiyo tuogope kusimamia Mali za Tanganyika kisa kauli ya Nyerere?, Afu binafs sijawahi kunufaika na Zanzibar kuwa sehem ya Tanzania... Zaidi ya wao kunufaika vya Tanganyika. Muungano Sasa basi kila Nchi ipambane kivyake.
Wanaipalilia Ubaguzi si mnawajua,endeleeni kuwachekea MachadomoSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.
Nyie wazanzibara hamuwezi kuuza bandari zetu halafu mkaanza kulialia tuwe pamoja.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.
Bado ukweli unabaki wao ni wazanzibar sisi ni wabara...😂😂
Ajabu ni kuwa nyie mnajiita wazanzibar bafalanya kujiita watanzania na hatulalami wakati sisi tunajiita watanzania.
Halafu wanataka tuwe pamoja kwa lipi wakati wanajitenga wao wenyewe ?Bado ukweli unabaki wao ni wazanzibar sisi ni wabara...😂😂
Ajabu ni kuwa nyie mnajiita wazanzibar bafalanya kujiita watanzania na hatulalami wakati sisi tunajiita watanzania.
Ni rais wako koz wewe ndiyo unamuona hivyo na unapaswa huandike rais wako mpendwa na siyo wetu mpendwa...Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.
Kama kuna Mzanzibari lazima pawe na Mtanganyika. Ni common sense tu.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.