Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakifanya hivyo wamevunja sheria gani? unafikiri hawajui? pia, kuwa mkweli kabisa, muungano kwako wewe mtu wa bara una faida gani? wenzetu wanamiliki ardhi bara na wanaweza kufanya chochote ambayo wewe unafanya, pia wana haki ya kuwa wabunge huku na kule, na urais pia wana haki ya kuwa marais huku. Mwinyi alishawahi kuwa rais wa zanzibar na akawa rais wa bara. hakuna mtanganyika hata mmoja aliwahi kuwa rais wa zanzibar, basi tuache hiyo, hakuna mtu wa bara anastahili kumiliki ardhi zanzibar, wewe uliyepakana kiwanja na mzanzibar hapa Dsm ukienda kule unamiliki ardhi kama mwekezaji. sasa sema kwa moyo wako bila unafiki, muungano huu kwako wewe una faida gani? si una faida kwa wazanzibar peke yao? na kama uliingiwa ili waarabu wasirudi au kwa maslahi ya mabeberu, hayo maslahi yalishaishaga kitambo sana, chuki waliyokuwa nayo wabantu wa zanzibar dhidi ya sultan na waarabu iliishaga na sasaivi majority wa wazanzibar wanapenda kujiunga na waarabu ambao wengi ni ndugu zao. sema tukusikie na acha kutisha watu as if wewe unamiliki hii nchi au una mamlaka kuamulia watu maisha na nini cha kusema. udictator peleka kwenye familia yako uku nje kwa wengine utavuliwa suruari.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.
Msiwe mnapenda kuwa waongo.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.
Msiwe mnapenda kuwa waongo.
Ni nani ambaye wakati wa utawala wa Nyerere aliyefungwa maisha kwa eti kuusema vibaya Muungano?
Sikuwahi kusikia kuwa kuna mwananchi wa kawaida amechukuliwa hatua yeyote eti ameusema vibaya Muungano. Mwalimu alipenda sana hoja zenye nguvu. Viongozi waliotaka Zanzibar kuwa na uhuru zaidi kwenye Muungano, waliondolewa kwenye nafasi zao za uongozi, na siyo kufungwa maisha. Huo ni uwongo mkubwa.
Ishu hii imefikia mahali hapo coz hata rais ajatoa tamko lake kuhus hili jambo sijui nini maane yake kuwa hivyo mpaka sasaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.
Hizo Bandari zenu zimeuzwa shilingi ngapi?Nyie wazanzibara hamuwezi kuuza bandari zetu halafu mkaanza kulialia tuwe pamoja.
kauzeni na Paje kwani nyinyi hamna vya kuuza ?
Nani amekudanganya kuwa wazanzibari wanataka kuwa pamoja na nyinyi mbona huo muungano wao wameukataa muda mrefu nyinyi ndio munawalazimishaHalafu wanataka tuwe pamoja kwa lipi wakati wanajitenga wao wenyewe ?
Wakauze na Nungwi kwao huko wasianze kutuletea uswahili wao.