Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

Kwahiyo tuogope kusimamia Mali za Tanganyika kisa kauli ya Nyerere?, Afu binafs sijawahi kunufaika na Zanzibar kuwa sehem ya Tanzania... Zaidi ya wao kunufaika vya Tanganyika. Muungano Sasa basi kila Nchi ipambane kivyake.
hako kababu kalikua katapeli tu
 
Kwahiyo tuogope kusimamia Mali za Tanganyika kisa kauli ya Nyerere?, Afu binafs sijawahi kunufaika na Zanzibar kuwa sehem ya Tanzania... Zaidi ya wao kunufaika vya Tanganyika. Muungano Sasa basi kila Nchi ipambane kivyake.
Hakuna watu wabaguzi kama wazanzibar waondoke haraka
 
Wanaipalilia Ubaguzi si mnawajua,endeleeni kuwachekea Machadomo
 
Samia alipoingia watu humu Jf watu walipiga na vigelegele ssa saihiz mnaleta ubaguzi eti zanzibar na Tanganyika hapana tulieni tu hivyo hivyo jamani
 
Nyie wazanzibara hamuwezi kuuza bandari zetu halafu mkaanza kulialia tuwe pamoja.

kauzeni na Paje kwani nyinyi hamna vya kuuza ?
 
Bado ukweli unabaki wao ni wazanzibar sisi ni wabara...πŸ˜‚πŸ˜‚

Ajabu ni kuwa nyie mnajiita wazanzibar badala ya kujiita watanzania na hatulalami wakati sisi tunajiita watanzania.
 
Bado ukweli unabaki wao ni wazanzibar sisi ni wabara...πŸ˜‚πŸ˜‚

Ajabu ni kuwa nyie mnajiita wazanzibar bafalanya kujiita watanzania na hatulalami wakati sisi tunajiita watanzania.

Bado ukweli unabaki wao ni wazanzibar sisi ni wabara...πŸ˜‚πŸ˜‚

Ajabu ni kuwa nyie mnajiita wazanzibar bafalanya kujiita watanzania na hatulalami wakati sisi tunajiita watanzania.
Halafu wanataka tuwe pamoja kwa lipi wakati wanajitenga wao wenyewe ?

Wakauze na Nungwi kwao huko wasianze kutuletea uswahili wao.
 
Ni rais wako koz wewe ndiyo unamuona hivyo na unapaswa huandike rais wako mpendwa na siyo wetu mpendwa...
 
CCM wapuuzi sana...Tanganyika lazima irudi hatuwezi kuamliwa mambo yetu na Mzanzibar lakini kule kwao hataki tukafanyekazi kwenye serikali yao.
 
Kama kuna Mzanzibari lazima pawe na Mtanganyika. Ni common sense tu.
N.B: Hamna Nchi inaitwa Tanzania Bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…