Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mmeamia kuomba kura za huruma?Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo....
Utajua mwenyewe! Atajibeba mwaka huu. Vithresd vyenu havitamwokoa mwaka huu. Nyundo na spana tu.Awamu zingine hawakutekwa?nani alimuua Alfonce Mawazo?nani alimteka Ulimboka? Una uhakika gani kuwa walikufa au kupotea walitekwa au kuuawa na awamu ya Tano?
Kwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa? basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzimaMagufuli tunamkataa na kazi zake zote twazikataa
Twazikataa na mambo yake yote.Kwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa?basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzima
Utalaaniwa wewe ama umchague au usimchague usitishe watu.Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo....
Anashabikia mateso ya watanzaniaMpaka hapo ameshalaaniwa yeye na tumbo lililomzaa. Anashabikia wauwaji?
Hata hotuba yake yoyote sisikilizi, bora niangalie pornKipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo...
TrueHata hotuba yake yoyote sisikilizi, bora niangalie porn
Chadema kwa matusi na kejeli ni jadi yenu.Mjinga wewe bora niipate hiyo laaana kuliko kuchagua hawa mashetani..naamin ukiipigia kura chadema hata malaika watashangilia
Comrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.Utalaaniwa wewe na kizazi chako, siai wengine turabarikiwa kwa kumchagua Lissu
Lissu akifukua makaburi mnakuja mbio kukata mauno hapa jamvini. Tukifukua sisi kazi njema za jemedari Magufuli mnatokwa mapovu kama nguruwe.Tunazungumzia uchaguzi mkuu wa 2020, Wewe unatuletea habari za Korona. 28 ocktoba ushindi wa kishindo unakuja CHADEMA.
Unapoacha kupima utasemaje hakuna pima ndipo usemeIsrael [emoji1134] taifa teule la mungu Leo siku ya pili wako kwenye lockdown
Maka na madina walizuia Mpaka watu kwenda kuhiji kisa korona
Majirani zetu wote wana cases mpya kila siku za Korona
Ni mtu wa ajabu pekee anaweza kusema Tanzania hakuna Korona
Ni wajanja sana kumzomea mwenywkiti wetu pale bukoba, na kura watampaComrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.
Kuna watu vichwa vyao nimekaa mlenda badala ya ubongo. Na wewe ZALEMDA ni mmoja wapo. Hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuiba kupitia miradi ya ujenzi, kuvunja katiba, kuua wakosoaji, kuwafunga rumande matajiri, kufanya ufuska, kufanya uteuzi wa upendeleo noKipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo....