Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo...
[/QUOTE
tafadhali,rekebisha kauli yako
sema UTALAANIWA WEWE NA KIZAZI CHAKO.
Kwani na wewe una kizazi?Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo...
Alitufundisha yule anayewaita mawaziri wake "wapumbavu"Chadema kwa matusi na kejeli ni jadi yenu.
Sisi ndio watanzania wenyewe sasaComrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.
Twende polepole.Lissu akifukua makaburi mnakuja mbio kukata mauno hapa jamvini. Tukifukua sisi kazi njema za jemedari Magufuli mnatokwa mapovu kama nguruwe.
Ufage mapema tuYani nimchague Magufuli? Bora siku hiyo niungue moto nife!
In short namchukia kupita kiasi!
Ngoja wakabinywe vizuri watamtaja tu aliyewatuma.Ni wajanja sana kumzomea mwenywkiti wetu pale bukoba, na kura watampa
Comrade chonde chonde usikimbie I'd yakoSisi ndio watanzania wenyewe sasa
na tumeamua hatutaki tena "MUUAJI"
Usitutoe kwenye reli comrade. Mada haihusu uwanja wa ndege ukitaka fungua uzi tuje tukupe majibu murua kabisa.Twende polepole
Kwani uwanja wa ndege chatto umejengwa kwa Tsh ngapi?
Haki huinua TaifaWewe hutakuwa wakwanza kukataa Nuru ukapenda giza hahahahaaaa
Sema tume haitakubali matokeo, na mnatarajia kuiba sana kura.Comrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.
Comrade Kuenguliwa kwa namna isiyokubalika maana yake nini?Sema tume haitakubali matokeo, na mnatarajia kuiba sana kura.
Usiongee/kuandika kama malaya anasaka offer za bia.
Awali tu umeona watu wanavyoenguliwa kwa namna isiyokubalika
Mwenyekiti wenu wa kudumu analijua hilo?Wajukuu na vitukuu vyenu vitatandika viboko makaburi yenu kwa kulea udikteta tena udiketea uchwara wakati mlikuwa na fursa ya kutengeneza mfumo wa utawala bora, utawala wa sheria, utawala wa haki.
Ninyi mmeng'ang'ania kutengeneza umungu mtu wa mtu ambaye hata kama ataishi maisha marefu si zaidi ya miaka 50 ijayo, wakati mfumo unaweza kuishi hata miaka 200 hadi 300.