Mapingamizi ya magufuli yalikuwa ya kweli lakini Tumeccm NECCCM ikamlinda kienyeji kwa njia haramu za kishetani, na sasa Tumeccm inawahujumu chadema kwa mapingamizi ya hovyo hovyo yasiyo na tija.Comrade Kuenguliwa kwa namna isiyokubalika maana yake nini?
Wagombea wameenguliwa baada ya kuwekewa mapingamizi. Lissu alimwekea Magufuli mapingamizi ili aenguliwe, anajua ni utaratibu wa kisheria. Leo wagombea wa chama chake wameenguliwa kwa utaratibu ule ule aliotumia Lissu kutaka kumuengua Magufuli mnakuja kulalamika hapa kama mahayawani "eti wanaenguliwa kwa namna isiyokubalika".
Wembe uleule ukiwanyoa ccm mnashangilia ukiwanyoa wapinzani mnaweweseka kama kuku mwenye kideli.Mapingamizi ya magufuli yalikuwa ya kweli lakini Tumeccm NECCCM ikamlinda kienyeji kwa njia haramu za kishetani, na sasa Tumeccm inawahujumu chadema kwa mapingamizi ya hovyo hovyo yasiyo na tija.
Kodi zitapunguzwa na kutengeneza kodi rafiki ambayo italipwa na watanzania wengi pasipo ukwepaji kodi kama ilivyokuwa sasa, kodi rafiki huleta hamasa ya wengi kulipa kuliko kodi kubwa ambayo hulipwa na wachache kwa kutumia nguvu kubwaKumbe mnajua kuwa pesa za maendeleo zinatokana na kodi na mnavyosema mtafuta kodi mnategemea kuendesha nchi kwa pesa ipi?
Ipo kwenye ilani yenu au ni mawazo yako comrade?? Tumeomba ilani yenu tuisome mmejikausha.Kodi zitapunguzwa na kutengeneza kodi rafiki ambayo italipwa na watanzania wengi pasipo ukwepaji kodi kama ilivyokuwa sasa, kodi rafiki huleta hamasa ya wengi kulipa kuliko kodi kubwa ambayo hulipwa na wachache kwa kutumia nguvu kubwa
Wembe upi? Huo wembe haufanani kwani mtukufu alibebwa hakunyolewa na sasa wanatumia wembe kienyeji kuwakomoa wapinzaniWembe uleule ukiwanyoa ccm mnashangilia ukiwanyoa wapinzani mnaweweseka kama kuku mwenye kideli.
ilani ya CCM haizuii kuchukua pesa hazina BOT kienyeji pasipo idhini ya bunge kwenda kununua Ndege, kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, ilani ya CCM haijali watumishi wa umma ndiyo maana hawakupewa nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano.Ipo kwenye ilani yenu au ni mawazo yako comrade?? Tumeomba ilani yenu tuisome mmejikausha.
Kuna upande tunaona wembe umewanyoa wote sawa na kuna upande mnaona wembe wa tume unawapunyua wapinzani. Kila mtu anaona vile kutokana na upande aliosimama.Wembe upi? Huo wembe haufanani kwani mtukufu alibebwa hakunyolewa na sasa wanatumia wembe kienyeji kuwakomoa wapinzani
Iyo ndio sababu ya kuficha ilani yenu uvunguni?ilani ya CCM haizuii kuchukua pesa hazina BOT kienyeji pasipo idhini ya bunge kwenda kununua Ndege, kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, ilani ya CCM haijali watumishi wa umma ndiyo maana hawakupewa nyongeza ya mshahara kwa miaka mitano.
ndugu zako wote rafiki zako hata usiowajua wamekufa kwa corona lakini wamesingizia ni magonjwa mengine kukwepa kutengwa na jamii , corona ipo Tanzania ingekuwa wanaokufa kwa corona hawatangazwi imekuwa siri sasaMpaka sasa wameshakufa ndugu zako wangapi kwa Corona?
Acha ilani ya CCM ya kishetani isambae kwanza ndipo wapinzani waje na ilani bora isiyo na mapungufu kama ya CCMIyo ndio sababu ya kuficha ilani yenu uvunguni?
Hiki Chama kinawashabiki wengi kuliko wanachama.Saccos haiwezi shinda leo wala kesho.Mjinga wewe bora niipate hiyo laana kuliko kuchagua hawa mashetani..naamin ukiipigia kura chadema hata malaika watashangilia
CCM ndio chama pekee pendwa na watanzania. Endeleeni kutukana tu.WATANZANIA tukichagua ccm, TUTALAANIWA NA VIZAZI VIJAVYO.
Chama pendwa na kinaogopa tume huru,kinaogopa uhuru wa vyombo vya habari?CCM ndio chama pekee pendwa na watanzania. Endeleeni kutukana tu.
π π π π π€£Utalaaniwa wewe na kizazi chako, siai wengine turabarikiwa kwa kumchagua Lissu