Tusipoteze dira kwenye janga la Corona: Tulianza na Mungu, tuendelee na Mungu

Hapa kuna mtego wa Kiroho, Kwani awali kama nchi baada ya kutokukubali kujilockdown na badala yake tukamuomba Mungu na akatuponya, na Kwa kuwa Hilo ndilo lilikuwa shinikizo no moja kutoka Kwa wanasayansi wa kibeberu, na sasa tena kuna shinikizo la Chanjo na ni lazima watu wooote wachanjwe', uwe Una umeambukizwa au hujaambukizwa unapigwa sindano, Kwa maoni yangu, bado huu NAO ni mtego wa Kiroho, wenye Hekima za Mungu watusaidie

Iweje katika maambukizi ya awali Mungu atuponye, na Iweje tena ktk awamu ya pili ya maambukizi nchi itaharuki na kutaka kurudi nyuma eti Kwamba Mungu hana msaada tena?

Mungu analijaribu Taifa, kuona kwamba mtaendelea kumtegemea mbali na kwamba mataifa karibu yote yameonesha Nia kuwategemea mabeberu na wanasayansi ambapo ushauri wa Kisayansi wa mara ya Kwanza haujaweza kuleta unafuu wa maambukizi?

Je, hakuna mtego wa kiimani kweli ktk hili

Mungu ameachilia kipimo cha imani kwetu, na endapo tutakubali tu kwamba Mungu Hana msaada tena kwetu, ndipo tutakuwa fungu la shetani kabisa

Nawaza tu jinsi ulivyo huu mtego,
Dawa zao za chanjo, hata wao haziwasaidii kabisa, Iweje kweli tuone zinaleta msaada kama si kutufanya watumwa wa ki biashara ktk nchi zao?

Nawaza tu
Wazungu wameama kuifanyia biashara corona!! Bei ya dozi kamili ya chanjo ni dola za Marekani 39 (kwa chanjo ya Pfizer-hutolewa kwa dozi mbili hiyo ndiyo dozi kamili), ambayo ni takriban sh 91,650/=. (Kwa makadirio ya dola moja= sh 2,350/=). Pesa za kutosha kuwachanja watanzania milioni 60 ni zaidi a sh trilioni 5¡ (5,499,000,000,000/=). Hizo makaburu wanazimezea mate!! Ukikubali wanakukopesha halafu unakuja kuzilipa na riba!!! Tumekataa ujinga huo!! Kwanza chanjo yenyewe haina uhakika! Hakuna ajuaye madhara yake ya muda mrefu maana imetengenezwa kwa haraka na haijafanyiwa Majaribio ya muda mrefu!!
 
Wanaokufa unawaloga wewe au unawapa sumu pumbavu,KUMBUKA mpumbavu daima hujipumbaza kwa uongo na chanzo cha dhambi duniani ni uongo tubu kuanzia sasa hivi kuwa unadanganya watu,kumbuka Tanzania siyo sayari nyingine ni nchi mojawapo katika familia ya dunia hii ambayo imegubikwa na janga hili la kirusi cha korona.
Hiyo ghadhabu na hasira ni dalili kwamba mshale wa Bwana haujakosea njia!! Utukufu kwa Bwana!!
 
Usipotoshe watu na hii Idea yako... Mungu hana urafiki na mtu asiyezingatia Maarifa aliyompa. " Watu wangu wanaangamia kwa Kukosa maarifa'. Hoseah 4:6..."my people are destroyed from lack of knowledge. "Because you have rejected knowledge, I also reject you" Imeandikwa.
Maarifa Ni muhimu Sana lakini Ni yale tu yasiyopingana na ukweli wa Neno la Mungu! Neno la Mungu linasema: " Mimi ndiye Mungu nikuponyaye". Mungu huponya ukimwomba akufanyie hivyo! Kuamini uponyaji wa Mungu sikukataa maarifa!! bali nikuyafanyia kazi maarifa!
 
Yes ni UPUMBAVU kumuomba Mungu akuzimie Taa ikiwa switch unaiona Mungu ametutofautisha na wanyama ili tumpunguzie kazi sasa kila kitu tunamuomba Mungu ana mambo mengi yakufanya

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyefanya hivyo!! Kwa muktadha wa Corona hiyo switch haipo!! Hakuna dawa ya Corona Wala hakuna chanjo iliyothibitishwa kuwa ni salama na haina madhara ya muda mrefu!! Maana huo utafiti wa muda mrefu haujafanyika!! Kama switch haipo hapo ndio tunamtegemea Mungu!
 
Kaiambie familia ya Balozi Kijazi. Endeleeni kufanya mzaha huku Korona inaendelea kuteketeza watu. Tatizo nyie hamnazo mlidhani wimbi hili jipya litawaondoa walalahoi tu na kuwanusuru ninyi.

Mungu alimpatia mwanadamu akili na utashi, na wenye wanaojielewa wanatumia akili na utashi huo kukabiliana na Korona. Mungu humsaidia anayejisaidia.
Kwa kuanzia hatujaambiwa kuwa amekufa kwa corona! Huo Ni uzushi, vinginevyo weka ushahidi hapa. Vifo havijaanza leo! Hakuna chochote Cha ajabu. Tunatoa pole ya dhati kwa familia na Taifa kwa ujumla.
 
Mkuu
Watanzania wenzangu, nawasalimu katika jina lipitalo majina yote Jina la Yesu.

Chini ya rais wetu Magufuli tuliianza Vita dhidi ya Corona vizuri Sana kwa kumtanguliza Mungu. Tulielekezwa kutubu na kuomba rehema za Mungu ili aliponye Taifa letu dhidi ya janga la corona. Tuliomba kwa kufunga siku tatu na Mungu alijibu kwa kutuponya!

Hatukushuhudia vifo vya halaiki na waliokuwa wamelazwa walipona na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Vyuo na shule zilifunguliwa kwa haraka kuliko duniani kote na hazijafungwa tena na hazitafungwa tena. Tulielekezwa tena kufanya maombi ya shukrani ya siku tatu na tukamshukuru Mungu kwa kutuponya na corona. Hilo lilikuwa pigo kubwa Sana kwa ibilisi na mawakala wake. Lazima angetafuta namna nyingine ya kutushambulia tena! Tusiyumbe! tuendelee kukiri uponyaji wa Mungu kwa Taifa letu!

Hizi dalili tunazoziona Sasa zimelenga kutupa mashaka juu ya uponyaji wa Mungu kwetu, tuzikatae na tuendelee kumwomba Mungu na kumshukuru kwa uponyaji wake na corona itatukimbia! Tusifanye makosa ya kuyumba na kutilia mashaka uponyaji wa Mungu aliotufanyia.

Viongozi wa kiroho simameni imara katika hili. Watanzania wote tuendelee kumwombea Rais wetu Magufuli asimame imara Katika Imani ya uponyaji wa Mungu kwa Taifa letu. Aendelee kukiri hivyo, na itaendelea kuwa hivyo! Haya makelele yanayosikika Sasa punde yatatoweka na dunia itashangaa!! Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso!

Corona imeshindwa na haina namna nyingine zaidi ya kukimbia! Tusiruhusu hofu na woga. Kwa kufanya hivyo shetani hataweza kutupokonya ushindi wetu.
niliandika Uzi huuhuu asubuhi ukaunganishwa nafarijika kuona miongoni mwetu bado wako tunaomwamini Mungu...
 
Kaiambie familia ya Balozi Kijazi. Endeleeni kufanya mzaha huku Korona inaendelea kuteketeza watu. Tatizo nyie hamnazo mlidhani wimbi hili jipya litawaondoa walalahoi tu na kuwanusuru ninyi.

Mungu alimpatia mwanadamu akili na utashi, na wenye wanaojielewa wanatumia akili na utashi huo kukabiliana na Korona. Mungu humsaidia anayejisaidia.
Kwamba jisaidie na Mungu akusaidie Siyo?
Andiko hili tunalipata wapi mkuu na katika kitabu gani??

Zaburi 91:5-7
[5]Hutaogopa hofu ya usiku,
Wala mshale urukao mchana,
[6]Wala tauni ipitayo gizani,
Wala uele uharibuo adhuhuri,
[7] Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako.
Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume!
Hata hivyo hautakukaribia wewe.

Hiyo ni Kwa ajili Yao Wenye Imani, huna Imani kaa mbali

Hata Leo hii wakiagiza Chanjo, Mimi stachanjwa, lolote na lije Ila stachanjwa!!
 
Watanzania wenzangu, nawasalimu katika jina lipitalo majina yote Jina la Yesu.

Chini ya rais wetu Magufuli tuliianza Vita dhidi ya Corona vizuri Sana kwa kumtanguliza Mungu. Tulielekezwa kutubu na kuomba rehema za Mungu ili aliponye Taifa letu dhidi ya janga la corona. Tuliomba kwa kufunga siku tatu na Mungu alijibu kwa kutuponya!

Hatukushuhudia vifo vya halaiki na waliokuwa wamelazwa walipona na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Vyuo na shule zilifunguliwa kwa haraka kuliko duniani kote na hazijafungwa tena na hazitafungwa tena. Tulielekezwa tena kufanya maombi ya shukrani ya siku tatu na tukamshukuru Mungu kwa kutuponya na corona. Hilo lilikuwa pigo kubwa Sana kwa ibilisi na mawakala wake. Lazima angetafuta namna nyingine ya kutushambulia tena! Tusiyumbe! tuendelee kukiri uponyaji wa Mungu kwa Taifa letu!

Hizi dalili tunazoziona Sasa zimelenga kutupa mashaka juu ya uponyaji wa Mungu kwetu, tuzikatae na tuendelee kumwomba Mungu na kumshukuru kwa uponyaji wake na corona itatukimbia! Tusifanye makosa ya kuyumba na kutilia mashaka uponyaji wa Mungu aliotufanyia.

Viongozi wa kiroho simameni imara katika hili. Watanzania wote tuendelee kumwombea Rais wetu Magufuli asimame imara Katika Imani ya uponyaji wa Mungu kwa Taifa letu. Aendelee kukiri hivyo, na itaendelea kuwa hivyo! Haya makelele yanayosikika Sasa punde yatatoweka na dunia itashangaa!! Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso!

Corona imeshindwa na haina namna nyingine zaidi ya kukimbia! Tusiruhusu hofu na woga. Kwa kufanya hivyo shetani hataweza kutupokonya ushindi wetu.

Hakuna Mungu anasikiliza majizi ya kura, Corona piga hayo majizi ya kura mpaka yaishe yote. Mnamtaja Mungu ili mkwepe uwajibikaji, toeni pesa walizotoa wazungu za kupambana na Corona ili zinunue PPE. Hizo porojo za kumtaja Mungu kawaelezeni mafala wasiowajua, maana tunajua nyie ni wauaji na hamna Mungu yoyote mnamuamini zaidi ya uchu wa madaraka.
 
Kwamba jisaidie na Mungu akusaidie Siyo?
Andiko hili tunalipata wapi mkuu na katika kitabu gani??

Zaburi 91:5-7
[5]Hutaogopa hofu ya usiku,
Wala mshale urukao mchana,
[6]Wala tauni ipitayo gizani,
Wala uele uharibuo adhuhuri,
[7] Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako.
Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume!
Hata hivyo hautakukaribia wewe.

Hiyo ni Kwa ajili Yao Wenye Imani, huna Imani kaa mbali

Hata Leo hii wakiagiza Chanjo, Mimi stachanjwa, lolote na lije Ila stachanjwa!!
Hakuna anayekulazimisha kuchanjwa, ila tunataka hii corona ituvunie haya majizi yote ya kura.
 
Nadhani tunashangaza dunia sasa kwa akili hiyo. Hii corona ni adhabu kwa walimwengu wote. Dawa ni kutubu, kusali lakini pia kujikinga. Dini haipingani na sayansi. Tuache ujinga.
 
Hapa kuna mtego wa Kiroho, Kwani awali kama nchi baada ya kutokukubali kujilockdown na badala yake tukamuomba Mungu na akatuponya, na Kwa kuwa Hilo ndilo lilikuwa shinikizo no moja kutoka Kwa wanasayansi wa kibeberu, na sasa tena kuna shinikizo la Chanjo na ni lazima watu wooote wachanjwe', uwe Una umeambukizwa au hujaambukizwa unapigwa sindano, Kwa maoni yangu, bado huu NAO ni mtego wa Kiroho, wenye Hekima za Mungu watusaidie

Iweje katika maambukizi ya awali Mungu atuponye, na Iweje tena ktk awamu ya pili ya maambukizi nchi itaharuki na kutaka kurudi nyuma eti Kwamba Mungu hana msaada tena?

Mungu analijaribu Taifa, kuona kwamba mtaendelea kumtegemea mbali na kwamba mataifa karibu yote yameonesha Nia kuwategemea mabeberu na wanasayansi ambapo ushauri wa Kisayansi wa mara ya Kwanza haujaweza kuleta unafuu wa maambukizi?

Je, hakuna mtego wa kiimani kweli ktk hili

Mungu ameachilia kipimo cha imani kwetu, na endapo tutakubali tu kwamba Mungu Hana msaada tena kwetu, ndipo tutakuwa fungu la shetani kabisa

Nawaza tu jinsi ulivyo huu mtego,
Dawa zao za chanjo, hata wao haziwasaidii kabisa, Iweje kweli tuone zinaleta msaada kama si kutufanya watumwa wa ki biashara ktk nchi zao?

Nawaza tu
Hakuna Mungu anasikiliza majizi ya kura, kilichopo ni Corona kuyatanguliza majizi yote ya kura kaburini.
 
Hahahaa! Unaomba dua ya Simba atokeze kumla uliyenaye utadhani huyo siimba anaujua ugomvi wenu
 
Mimi ni swala, hivyo kuliwa na simba sio habari, bali habari ni simba kuliwa. Hapa nilipo naomba hayo mashirikina yaliyochezea uchaguzi yazime yote.
 
Rais wetu John Pombe Magufuli, Mungu akulinde dhidi ya maadui wa ndani na wa nje, akutie nguvu. Madam ulimpa Mungu utukufu, kwa kukiri na kutambua uponyaji wa Mungu dhidi ya Corona kwenye Taifa letu, Mungu hatakuacha uaibike! Jipe moyo, ushindi mkuu uko mlangoni! Bwana yuko pamoja nawe! Usiogope vitisho vyao, Bwana atawatowesha maadui zako mbele ya macho yako!! Simama imara tu kumwamini Mungu!!
Hakika Rais Magufuli songa mbele! Usiwaogope kina Sanbalat, Thobia, Washidodi nk
Mungu hajawahi kushindwa. Hakika Mungu atajitwalia utukufu na hata sasa ametenda! Kama sio rehema zake wangalitumeza hai! Hakika Mungu hataitia Tanzania mikononi mwa watesi wa ndani na nje. Amen
 
Back
Top Bottom