Tusipoteze dira kwenye janga la Corona: Tulianza na Mungu, tuendelee na Mungu

Wazungu wameama kuifanyia biashara corona!! Bei ya dozi kamili ya chanjo ni dola za Marekani 39 (kwa chanjo ya Pfizer-hutolewa kwa dozi mbili hiyo ndiyo dozi kamili), ambayo ni takriban sh 91,650/=. (Kwa makadirio ya dola moja= sh 2,350/=). Pesa za kutosha kuwachanja watanzania milioni 60 ni zaidi a sh trilioni 5¡ (5,499,000,000,000/=). Hizo makaburu wanazimezea mate!! Ukikubali wanakukopesha halafu unakuja kuzilipa na riba!!! Tumekataa ujinga huo!! Kwanza chanjo yenyewe haina uhakika! Hakuna ajuaye madhara yake ya muda mrefu maana imetengenezwa kwa haraka na haijafanyiwa Majaribio ya muda mrefu!!
 
Hiyo ghadhabu na hasira ni dalili kwamba mshale wa Bwana haujakosea njia!! Utukufu kwa Bwana!!
 
Maarifa Ni muhimu Sana lakini Ni yale tu yasiyopingana na ukweli wa Neno la Mungu! Neno la Mungu linasema: " Mimi ndiye Mungu nikuponyaye". Mungu huponya ukimwomba akufanyie hivyo! Kuamini uponyaji wa Mungu sikukataa maarifa!! bali nikuyafanyia kazi maarifa!
 
Yes ni UPUMBAVU kumuomba Mungu akuzimie Taa ikiwa switch unaiona Mungu ametutofautisha na wanyama ili tumpunguzie kazi sasa kila kitu tunamuomba Mungu ana mambo mengi yakufanya

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyefanya hivyo!! Kwa muktadha wa Corona hiyo switch haipo!! Hakuna dawa ya Corona Wala hakuna chanjo iliyothibitishwa kuwa ni salama na haina madhara ya muda mrefu!! Maana huo utafiti wa muda mrefu haujafanyika!! Kama switch haipo hapo ndio tunamtegemea Mungu!
 
Kwa kuanzia hatujaambiwa kuwa amekufa kwa corona! Huo Ni uzushi, vinginevyo weka ushahidi hapa. Vifo havijaanza leo! Hakuna chochote Cha ajabu. Tunatoa pole ya dhati kwa familia na Taifa kwa ujumla.
 
Mkuu
niliandika Uzi huuhuu asubuhi ukaunganishwa nafarijika kuona miongoni mwetu bado wako tunaomwamini Mungu...
 
Kwamba jisaidie na Mungu akusaidie Siyo?
Andiko hili tunalipata wapi mkuu na katika kitabu gani??

Zaburi 91:5-7
[5]Hutaogopa hofu ya usiku,
Wala mshale urukao mchana,
[6]Wala tauni ipitayo gizani,
Wala uele uharibuo adhuhuri,
[7] Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako.
Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume!
Hata hivyo hautakukaribia wewe.

Hiyo ni Kwa ajili Yao Wenye Imani, huna Imani kaa mbali

Hata Leo hii wakiagiza Chanjo, Mimi stachanjwa, lolote na lije Ila stachanjwa!!
 

Hakuna Mungu anasikiliza majizi ya kura, Corona piga hayo majizi ya kura mpaka yaishe yote. Mnamtaja Mungu ili mkwepe uwajibikaji, toeni pesa walizotoa wazungu za kupambana na Corona ili zinunue PPE. Hizo porojo za kumtaja Mungu kawaelezeni mafala wasiowajua, maana tunajua nyie ni wauaji na hamna Mungu yoyote mnamuamini zaidi ya uchu wa madaraka.
 
Hakuna anayekulazimisha kuchanjwa, ila tunataka hii corona ituvunie haya majizi yote ya kura.
 
Nadhani tunashangaza dunia sasa kwa akili hiyo. Hii corona ni adhabu kwa walimwengu wote. Dawa ni kutubu, kusali lakini pia kujikinga. Dini haipingani na sayansi. Tuache ujinga.
 
Hakuna Mungu anasikiliza majizi ya kura, kilichopo ni Corona kuyatanguliza majizi yote ya kura kaburini.
 
Hakuna Mungu anasikiliza majizi ya kura, kilichopo ni Corona kuyatanguliza majizi yote ya kura kaburini.
Hahahaa! Unaomba dua ya Simba atokeze kumla uliyenaye utadhani huyo siimba anaujua ugomvi wenu
 
Hahahaa! Unaomba dua ya Simba atokeze kumla uliyenaye utadhani huyo siimba anaujua ugomvi wenu
Mimi ni swala, hivyo kuliwa na simba sio habari, bali habari ni simba kuliwa. Hapa nilipo naomba hayo mashirikina yaliyochezea uchaguzi yazime yote.
 
Hakika Rais Magufuli songa mbele! Usiwaogope kina Sanbalat, Thobia, Washidodi nk
Mungu hajawahi kushindwa. Hakika Mungu atajitwalia utukufu na hata sasa ametenda! Kama sio rehema zake wangalitumeza hai! Hakika Mungu hataitia Tanzania mikononi mwa watesi wa ndani na nje. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…