Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Huwa napenda sana 'JamiiForums Intelligent Members' kama Wewe Mkuu na baadhi ninaowajua, wakubali na Kuwaheshimu sana.
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu kama hakubaliani na jambo best option ni kujiuzuru.

Hao jamaa zako ni wachumia tumbo tu, hawajiamini na wanaona hakuna maisha nje ya mfumo wa kula kodi za wananchi.
Je wewe binafsi unao ujasiri huo?
Au unadhani kujiuzuru ni kama kwenda counter na kuagiza Heineken?

Waziri mkuu wa Uingereza mwenyewe kagoma kujiuzuru jana?

Wakijiuzuru utawasaidia kuendesha maisha yao na familia zao.
Au sifa zako kuwa ni mashujaa, zitawasaidia nini?
 
Usiondike pumba zako hapa. Kabudi na Lukuvi bado wabunge itakuwaje wakakosa shughuli za kufanya??? pamoja na hayo Kabudi ni Prof. anaweza kurudi chuo kufundisha. Pia uwe unaelewa kwamba ushauri au mapendekezo ya Raisi ni maagizo. Unataka wapingane nayo???Mnapoandika pumba zenu mtumie akili.
 
Taasisi ya Urais ni tofauti na Rais.
Kutokana na mamlaka ya Rais yalivyo haisikiki vizuri masikioni ukisikia malalamiko wa haishawishi kabisa kufanya mashindano na mtu yeyote ndiyo maana ya hapa KAZI tu na KAZI iendelee.
 
Alaaaniwe amtegemeae mwanadamu. Kuna wasomi wengi sana ktk nchi lakini kula siku ni mawaziri wale wale
 
Wewe umeongea
 

Kabudi acha kupanick nenda kajiajiri. We ni mbunge ila hukuchaguliwa na wananchi bali yule kiongozi muovu.
 
Rais hahitaji sababu yoyote kumuondoa waziri au mteuliwa mwingine yeyote katika mhimili wa Serikali kasoro CAG tu.
 
Aiseee mnachekesha yani raisi aanze kujikosha kwa kabudi na lukuvi kwa kuwa wao ni Akina nani[emoji3][emoji3][emoji3] mnahisi Huyu mama ni mpumbavu labda hyo maamuz kafanya akiwa kalewa....
Kama sio hivyo kwa Nini kabadiri msimamo?
Kwanza ilikuwa kuwatoa wanaonikwamisha na wanaowaza urais 2025,kutaja majina watanzania wakakataa sio kweli! Akabadirika Mara wamezeeka Mara watu wazuri haa, Nini hii hebu tuambie wewe unaejua Nini kinaendelea.
 
Kweli kabisa mkuu, lakini politics ni kama draft. Ni rahisi sana kuangamizwa ikiwa utacheza mchezo mchafu wa siasa kwa jazba. Raisi Samia anafahamu fika kwamba hana mizizi marefu ndani ya CCM, hana alliances yoyote kama waliokuwa nayo wakina Lowasa. Kwa hiyo, kuuma na kupuliza ndio Kinga yake.

Kinga kubwa aliyonayo ni office yake (The Executive Branch), the military na baadhi ya wanachama wachache ndani ya CCM. Lakini hii haitoshi. "Mchawi mpe mtoto alee." Kawasogeza hao viongozi karibu nae (Ikulu) kufubaza aina yoyote ya uasi ndani ya chama.

Ngoja uone jinsi kabudi atakapoanza kutunga mashairi ya kumsifia Bi mkubwa. Hapo ndipo tutaona busara za Bi mkubwa.
 
Uraisi ni taasisi, ila sio Tanzania.
 
Kwa mshahara na marupurupu gani ?
Waziri ?, Msaidizi ?, Kaimu ?, Personal Assistant au ?
 
Naskitika kukwambia huna akili. Huyu huyu kabudi aliyemuita jpm mungu ana akadeclare kwamba ben saanane was killed!! You might be insane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…