Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Karata anayojaribu kutumia SSH ni PR and Damage Control. Baada ya kuona amefanya mabadiliko kwa jazba/Hasira na kuona reactions ya watu sasa anajaribu ku appease/ Kufurahisha watu. Ila tayari tumeona na kujua ni unafiki tu. Mara Photo session na Speaker mara hawa nina kazi nao bla bla hiyo yote ni kujaribu kufanya Damage Control of which will not work. Kwanza ALIWAZALILISHA kwa kuwaita Lukuvi na KABUDI wazee wanaostahili kustaafu. Ktk Politics hakuna kustaafu. Biden ana miaka mingapi? Si ni mzee sana na bado ni rais wa taifa lenye nguvu kubwa ulimwenguni. Kwa kifupi aliwadharirisha tu. In that case she is fearing HER OWN SHADOW nothing else!!
Huwa napenda sana 'JamiiForums Intelligent Members' kama Wewe Mkuu na baadhi ninaowajua, wakubali na Kuwaheshimu sana.
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu kama hakubaliani na jambo best option ni kujiuzuru.

Hao jamaa zako ni wachumia tumbo tu, hawajiamini na wanaona hakuna maisha nje ya mfumo wa kula kodi za wananchi.
Je wewe binafsi unao ujasiri huo?
Au unadhani kujiuzuru ni kama kwenda counter na kuagiza Heineken?

Waziri mkuu wa Uingereza mwenyewe kagoma kujiuzuru jana?

Wakijiuzuru utawasaidia kuendesha maisha yao na familia zao.
Au sifa zako kuwa ni mashujaa, zitawasaidia nini?
 
Hebu mwambie Kabudi ajitokeze atoe ufafanuzi wa mikataba ya madini, yaani huwa anaongea vitu vya ajabu. Mara tunapata 16%, sijui 50% huwa nacheka tu. Kama Kabudi na Lukuvi wanajiamini na wanaamini ubora wao, waachane na hizo nafasi wakafanye shughuli zao binafsi. Kama wao wenyewe hawana uwezo wa kufanya shughuli zao binafsi, wataweza vipi kuwa na ubora unaowapamba hapa?
Usiondike pumba zako hapa. Kabudi na Lukuvi bado wabunge itakuwaje wakakosa shughuli za kufanya??? pamoja na hayo Kabudi ni Prof. anaweza kurudi chuo kufundisha. Pia uwe unaelewa kwamba ushauri au mapendekezo ya Raisi ni maagizo. Unataka wapingane nayo???Mnapoandika pumba zenu mtumie akili.
 
Taasisi ya Urais ni tofauti na Rais.
Kutokana na mamlaka ya Rais yalivyo haisikiki vizuri masikioni ukisikia malalamiko wa haishawishi kabisa kufanya mashindano na mtu yeyote ndiyo maana ya hapa KAZI tu na KAZI iendelee.
 
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.

Chanzo: Habari Leo Online

Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.

Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?

Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.

Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.

Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.

Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.

Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Alaaaniwe amtegemeae mwanadamu. Kuna wasomi wengi sana ktk nchi lakini kula siku ni mawaziri wale wale
 
Kikwete alimtoa Magufuli pamoja na katibu mkuu wizara ya ujenzi akampeleka wizara ya uvuvi, akaweka wengine, wakatekeleza waliyoyataka walipomaliza wakamrudisha tena Magufuli. Ndivyo ilivyo kwa Lukuvi katolewa naibu na katibu, wameingizwa watu kutekeleza mission zao wakikamilisha kujimegea basi itarudishwa kwa yeyote yule. This is my thinking!! Probably zile ardhi The late alizorudisha serikalini soon watarudishiwa waliozihodhi.
Wewe umeongea
 
Usiondike pumba zako hapa. Kabudi na Lukuvi bado wabunge itakuwaje wakakosa shughuli za kufanya??? pamoja na hayo Kabudi ni Prof. anaweza kurudi chuo kufundisha. Pia uwe unaelewa kwamba ushauri au mapendekezo ya Raisi ni maagizo. Unataka wapingane nayo???Mnapoandika pumba zenu mtumie akili.

Kabudi acha kupanick nenda kajiajiri. We ni mbunge ila hukuchaguliwa na wananchi bali yule kiongozi muovu.
 
Rais hahitaji sababu yoyote kumuondoa waziri au mteuliwa mwingine yeyote katika mhimili wa Serikali kasoro CAG tu.
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.

Chanzo: Habari Leo Online

Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.

Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?

Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.

Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.

Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.

Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.

Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
 
Aiseee mnachekesha yani raisi aanze kujikosha kwa kabudi na lukuvi kwa kuwa wao ni Akina nani[emoji3][emoji3][emoji3] mnahisi Huyu mama ni mpumbavu labda hyo maamuz kafanya akiwa kalewa....
Kama sio hivyo kwa Nini kabadiri msimamo?
Kwanza ilikuwa kuwatoa wanaonikwamisha na wanaowaza urais 2025,kutaja majina watanzania wakakataa sio kweli! Akabadirika Mara wamezeeka Mara watu wazuri haa, Nini hii hebu tuambie wewe unaejua Nini kinaendelea.
 
Karata anayojaribu kutumia SSH ni PR and Damage Control. Baada ya kuona amefanya mabadiliko kwa jazba/Hasira na kuona reactions ya watu sasa anajaribu ku appease/ Kufurahisha watu. Ila tayari tumeona na kujua ni unafiki tu. Mara Photo session na Speaker mara hawa nina kazi nao bla bla hiyo yote ni kujaribu kufanya Damage Control of which will not work. Kwanza ALIWAZALILISHA kwa kuwaita Lukuvi na KABUDI wazee wanaostahili kustaafu. Ktk Politics hakuna kustaafu. Biden ana miaka mingapi? Si ni mzee sana na bado ni rais wa taifa lenye nguvu kubwa ulimwenguni. Kwa kifupi aliwadharirisha tu. In that case she is in fearing of HER OWN SHADOW nothing else!!
Kweli kabisa mkuu, lakini politics ni kama draft. Ni rahisi sana kuangamizwa ikiwa utacheza mchezo mchafu wa siasa kwa jazba. Raisi Samia anafahamu fika kwamba hana mizizi marefu ndani ya CCM, hana alliances yoyote kama waliokuwa nayo wakina Lowasa. Kwa hiyo, kuuma na kupuliza ndio Kinga yake.

Kinga kubwa aliyonayo ni office yake (The Executive Branch), the military na baadhi ya wanachama wachache ndani ya CCM. Lakini hii haitoshi. "Mchawi mpe mtoto alee." Kawasogeza hao viongozi karibu nae (Ikulu) kufubaza aina yoyote ya uasi ndani ya chama.

Ngoja uone jinsi kabudi atakapoanza kutunga mashairi ya kumsifia Bi mkubwa. Hapo ndipo tutaona busara za Bi mkubwa.
 
Huu msemo unaosemwa kiongozi ni taasisi naushangaa sana...mimi kwangu naona ni lack of accountability…kwamba kinachofanywa sio yeye…ni group la watu au ana maana gani..

Mimi ninachojua wananchi hawajui taasisi wanamjua kiongozi wa taasisi ambae ndio anaiongoza nchi kwa utashi wake kwa kadiri Mwenyezi Mungu anavyomuongoza…akifanikiwa au asipofanikiwa kuongoza nchi ni yeye sio group la watu
Uraisi ni taasisi, ila sio Tanzania.
 
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.

Chanzo: Habari Leo Online
Kwa mshahara na marupurupu gani ?
Waziri ?, Msaidizi ?, Kaimu ?, Personal Assistant au ?
 
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.

Chanzo: Habari Leo Online

Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.

Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?

Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.

Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.

Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.

Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.

Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Naskitika kukwambia huna akili. Huyu huyu kabudi aliyemuita jpm mungu ana akadeclare kwamba ben saanane was killed!! You might be insane
 
Back
Top Bottom