Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Kabudi iliyetolewa matopeni na kuketi pamoja na mtawala kwenye meza kuu,kamwe hawezi kukubali kurudi matopeni bora akale makombo ya kuokota chini ya meza ya malkia mtukufu.
 
Ni kwa sababu hawana elimu , vyeti vya kugaiwa makanisani vitaangamiza nchi
Wala sishangai kwa jibu hilo ila ukweli unaujua kwamba nchi yetu inanyemelewa na ubaguzi wa kiimani. Naomba Mungu atusaidie kama nchi tusifike huko.
 
Michezo ya siasa kwenye uongozi ni sawa na mchezo wa draft.
Kunawaka unalazimika kuiingiza kete ya adui king ili uiue la sivyo inaweza kukuhatarishia mchezo wako baadae.

Tulikua na magufuli mkiristo ,kule kuna mwinyi mwislam.
Tulitegemea akitoka magu huku yule wa kule labda angekava huku au angetafutwa mwislam mwingine kumpokea magu.
Bahat mbaya magu kajiondokea sasa Pende zote zina waislam kuanzia marais , makamu,hadi ma pm.

Sasa hapa je itawezekana kukaa kwenye sura hii kwa miaka 10 au 15?

Hapa wazee wsnaumiza vichwa sasa..!

Tukiangalia kwenye ukristo walioko pembeni tunawaona hawa kina lukuvi inawezekena washachunguzwa kuhisiwa kua na tamaa ya hizo sehemu.hivyo kunatishio kwa baaadae.

Hivyo kwenye mchezo wa draft tunaweka mtego.tunawaingiza kingi na kuziua kabisa.
 
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.

Chanzo: Habari Leo Online

Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.

Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?

Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.

Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.

Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.

Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.

Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Hivi yeye mwenyewe amekatazwa na nani kuwaza , kuona na kutafakari , hadi muanze kusingizia washauri wake ?

Mtu yuko ccm miaka yote toka utoto wake hadi anazeeka , kishakuwa kiongozi hadi kuwa makamu wa Rais , leo kawa Rais eti anashauriwa vibaya !

Hivi nyinyi mnadhani mtatuona mabwege hadi lini ?
 
Eti Raisi Samia hana mizizi ndani ya ccm[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Siasa za ndani ya ccm umeanza kuzifuatilia leo?

Kumbuka wakati yupo Nyerere alienda na mkapa, baada mkapa kuwa Raisi akatengeneza mizizi yake

Na ndio maana mkapa ili kuendeleza miziz unayoisema alitaka kikitwe asiwe Raisi atakae mpokea

Lakini wakina kikwete (wanamtandao) wakamzidi maarifa mkapa

Baada ya kikwete kuingia akatengeneza mizizi na ccm

Magufuli kuingia ilikuwa ni bahati tu baada ya mgogoro wa wanamtandao kuwa na watu wawili kwa (lowasa+membe)

Sasa magufuli hayupo, mkapa hayupo Ina maana wanamtandao ndiyo wanajitawala na Raisi Samia yupo upande wa wanamtandao haitaji mizizi wakati ilishawekwa na waasisi wa wanamtandao wenyewe

Futa hiyo kauli kwamba Samia hana mizizi ndani ya ccm ila watu wanaangalia ndani ya ccm upo kundi gani
Mhhhh! Mkuu umeenda kuanzia kwa father of the nation! Kama kungekuwa na opinion poll ndani ya CCM kabla ya March 17 2021 ya watu 10 bora, sidhani kama bi mkubwa angeingia kwenye 5 bora. Ndio ukweli wa dhahiri. Unachoongelea wewe ni mbeleko au mtu kurushiwa kamba ili aokolewe na kikundi kingine chenye nguvu, lakini yeye mwenyewe hana ubavu. CCM inawenyewe.

Kama alivyosema Generali Ulimwengu, bi mkubwa ni wa Kuja ndani ya CCM. Hana mizizi kama waliyonayo wapinzani wake. Na anajua hivyo. Lakini cha muhimu ni kwamba she was in the right place at the right time na ameukwaa Uraisi. Kwa haiba yake, hawezi kuapply siasa za Machiavelli zinazohalalisha rafu ili ushinde kwenye medani ya siasa. Lakini, ni lazima aimarishe ngome yake ya kisiasa kama anataka uongozi wake uendelee kwa amani. Vinginevyo atajuta. Usicheze na CCM political machine.

Angalia yaliyowakuta Edward Lowasa, Edward Membe na Frederick Sumaye ndipo utakapojua mziki wa CCM. Hao wote hapo juu walikuwa visiki ndani ya CCM. Walianzia Umoja wa Vijana mpaka wakaukwaa u PM, lakini mwisho wao tumeuona. Bi mkubwa hana japo nusu ya haiba ya hao makuhani hapo juu ndani ya Chama chake

Pona yake itategemea jinsi atakavyoboresha maisha ya walala hoi, kukuza uchumi, forming stronger alliance na mwisho kabisa ni kuuma na kupuliza ili watu ndani ya CCM watambue kwamba si wa kuchezewa.

Kwa kutegemea kurushiwa kamba ili uokolewe kila unapopata misukosuko hautafika mbali ndani ya siasa. Na uzuri wa bahati, yeye mwenyewe ameishaliona hilo jambo.
 
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.

Chanzo: Habari Leo Online

Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.

Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?

Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.

Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.

Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.

Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.

Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.

I am afraid, hapo hatuna Rais bali tuna kivuli cha Rais!

Angekuwa hakuyasema aliyoyasema siku alipokuwa akimzodoa Speaker Ndugai, ningekuwa sina sababu ya kutoamini kauli yake ya sasa. Siku ile alisema clearly kwamba kuna watu kwenye BW lake hawakuwa na yeye na kwamba angewaondoa ili abaki na wale ambao aliamini walikuwa naye. Kama alivyoahidi, alifanya mabadiliko aliyotaka na sisi hatuna tafisiri nyingine tofauti na kusema Kabudi na Lukuvi ni miongoni mwa wale ambao walilengwa na hayo madai ya kwamba kwenye BW kulikuwa na watu ambao hawakuwa naye!
 
Kwanza hii nchi inaongozwa na mama??Mana anapewa order tu yeye mwenyewe mama aliona watu walivyomuondoa Magufuli so order zote anapata kutoka kwao...Serikali nzima mpaka watoto zao wameshaanza kurudi kwenye vyeo vikubwa vikubwa....hii nchi ina watu wao wanaoingoza mama yupp hapo kama kibendera tu cha fata upepo....
 
Kikwete alimtoa Magufuli pamoja na katibu mkuu wizara ya ujenzi akampeleka wizara ya uvuvi, akaweka wengine, wakatekeleza waliyoyataka walipomaliza wakamrudisha tena Magufuli. Ndivyo ilivyo kwa Lukuvi katolewa naibu na katibu, wameingizwa watu kutekeleza mission zao wakikamilisha kujimegea basi itarudishwa kwa yeyote yule. This is my thinking!! Probably zile ardhi The late alizorudisha serikalini soon watarudishiwa waliozihodhi.
Sawa ndugu, Samia anafanya kazi kubwa ya kubomoa hasa swala la ardhi ambazo watu fulani walizihodhi na zikachukuliwa na serikali ya JPM Samia anatakiwa azirudishe kwao na ili kufanikisha hilo ilibid awaondoe waziri, makamu kupandishwa na kubadilisha katibu wa wizara ambaye alikuwa ndiye mtendaji mkuu
Na kwa Kabudi vilevile ni juu ya kutengua na kubadilisha mikataba yote ambayo JPM aliishughulikia kwa manufaa ya nchi sasa Samia anataka kuibadilisha iwe kwa ajili ya manufaa ya mabeberu,,,, Oneni ati mshauri wake ni Tony Blair ex PM wa UK ambaye huku UK watu wanasaini petion avuliwe tuzo aliyopewa na Queen ambapo imechukua miaka takribani 20 kutokana na uhalifu alioufanya wa kuanzisha vita vilivyoua watu zaidi ya milion 10 duniani huko Iraqi, Afghanstan, Syria na Arab revolution ya 2010-2011,,leo ati huyo ndiyo mshauri wa Samia
Samia ana kazi moja pia kubwa ya kuondoa na kufuta legacy ya JPM kwa kuchelewesha miradi aliyoiaanzisha ili apewe sifa yeye akimalizia wakati siyo akili yake wala ya huyo Kikwete anayemuelekeza upuuzi wa kuzuga watz akizani ni wajinga kumbe wanamuona anachofanya,,,Samia atadumu na wajinga watamchagua 2025 kwani wema hawadumu bali wabaya huishi milele
 
Ni mawazo yako ila yana nadharia nyingi, sidhani kama ukiambiwa uthibitishe hayo utaweza. Kwani ha ki Lukuvi hizo nafasi walikua wafe nazo?
 
Karata anayojaribu kutuimia SSH ni PR and Damage Control. Baada ya kuona amefanya mabadiliko kwa jazba/Hasira na kuona reactions za watu sasa anajaribu ku appease/ Kufurahisha watu. Ila tayari tumeona kuwa huu ni unafiki mtupu.!
Mara Photo session na Speaker mara hawa nina kazi nao bla! bla! Hiyo yote ni kujaribu kufanya Damage Control ili kujiosha of which it won't work. Kwanza ALIWAZALILISHA hawa Waheshimiwa kwa kuwaita Lukuvi na KABUDI kuwa ni wazee wanaostahili kustaafu.
Ktk Politics hakuna kustaafu. Biden ana miaka mingapi? Si ni mzee sana na bado ni rais wa taifa lenye nguvu kubwa duniani? Kwa kifupi SSH aliwadharirisha tu. In that case she is in fear of HER OWN SHADOW nothing else!!
Na kama kweli alikuwa na kazi nao maalum kwann haukusema siku ya utenguzi badala yake akasubiri maoni ya mitandao.
 
Na kama kweli alikuwa na kazi nao maalum kwann haukusema siku ya utenguzi badala yake akasubiri maoni ya mitandao.
Anahangaika kujadili viongozi mazuzu hapa! Ogopa sana mtu asiyejitambua mwenyewe! Huwa kama mabua yapeperushwayo na upepo huku na kule!
 
Genta unaweza kuzunguka sana, ila chuki zako juu ya Samia hazifichiki, Why unamchukia Madam President?
 
Ni mawazo yako ila yana nadharia nyingi, sidhani kama ukiambiwa uthibitishe hayo utaweza. Kwani ha ki Lukuvi hizo nafasi walikua wafe nazo?
Hivi unahitaji kuthibitisha vitu vinavyoonekana wazi wazi kweli?? Ona RUFIJI DAM ilikuwa ijazwe maji last November leo hii hata sehemu iliyotakiwa kujaza maji haijajengwa kazi iliyotakiwa ifanyike miezi mitatu,, wakaja na porojo za crane crane wakati kazi wamesimamisha na hawaonyeshi maendeleo yake tena kwani hakuna kinachoendelea,, wakati wa JPM TBC walifunga kambi kule kutuonyesha maendeleo deilee,,, leo ati waziri Makamba kaleta kampuni ya kihindi ati iuze umeme na unakatika ile mbaya,,,mtoeni huyo binti hapo nchi isonge siyo kuwateua Ridhiwani na Nape ni kuturudisha nyuma
Kiufupi Samia kawatoa waliokuwa wakichapa kazi kizalendo,, Kalemani, Chamriho, Lukuvi na Kabudi siyo kama wangekaa kwenye hizo wizara mpake wafe hapana,,,mteteeni Samia ila uhalifu anaoufanya mnauona
 
Back
Top Bottom