TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Asiisahau ile juisi yake kutoka Madagascar. Eti ni PhD holder , Masikini TZKabudi iliyetolewa matopeni na kuketi pamoja na mtawala kwenye meza kuu,kamwe hawezi kukubali kurudi matopeni bora akale makombo ya kuokota chini ya meza ya malkia mtukufu.
Wala sishangai kwa jibu hilo ila ukweli unaujua kwamba nchi yetu inanyemelewa na ubaguzi wa kiimani. Naomba Mungu atusaidie kama nchi tusifike huko.Ni kwa sababu hawana elimu , vyeti vya kugaiwa makanisani vitaangamiza nchi
Sasa mbona kila hotuba zimejaa TAARAB?Kwani ni lzm ajikoshe yeye ndo muamuzi ampe nani nani asimpe
Wenye PhD mnakunywa za wakoloni?Asiisahau ile juisi yake kutoka Madagascar. Eti ni PhD holder , Masikini TZ
Hivi yeye mwenyewe amekatazwa na nani kuwaza , kuona na kutafakari , hadi muanze kusingizia washauri wake ?Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.
Chanzo: Habari Leo Online
Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.
Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?
Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.
Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.
Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.
Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Tumeletewa Za Kiafrika kutoka MadagascarWenye PhD mnakunywa za wakoloni?
Hii ni kali. Juisi ya madagascar. Dah!Zile ni Pumba wacha wakanywe juisi waliyochukua kutoka Madagascar , mwehu hao
Kinachoshangaza ni kwamba kila anayepigwa chini ni mkristo !
Mhhhh! Mkuu umeenda kuanzia kwa father of the nation! Kama kungekuwa na opinion poll ndani ya CCM kabla ya March 17 2021 ya watu 10 bora, sidhani kama bi mkubwa angeingia kwenye 5 bora. Ndio ukweli wa dhahiri. Unachoongelea wewe ni mbeleko au mtu kurushiwa kamba ili aokolewe na kikundi kingine chenye nguvu, lakini yeye mwenyewe hana ubavu. CCM inawenyewe.Eti Raisi Samia hana mizizi ndani ya ccm[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Siasa za ndani ya ccm umeanza kuzifuatilia leo?
Kumbuka wakati yupo Nyerere alienda na mkapa, baada mkapa kuwa Raisi akatengeneza mizizi yake
Na ndio maana mkapa ili kuendeleza miziz unayoisema alitaka kikitwe asiwe Raisi atakae mpokea
Lakini wakina kikwete (wanamtandao) wakamzidi maarifa mkapa
Baada ya kikwete kuingia akatengeneza mizizi na ccm
Magufuli kuingia ilikuwa ni bahati tu baada ya mgogoro wa wanamtandao kuwa na watu wawili kwa (lowasa+membe)
Sasa magufuli hayupo, mkapa hayupo Ina maana wanamtandao ndiyo wanajitawala na Raisi Samia yupo upande wa wanamtandao haitaji mizizi wakati ilishawekwa na waasisi wa wanamtandao wenyewe
Futa hiyo kauli kwamba Samia hana mizizi ndani ya ccm ila watu wanaangalia ndani ya ccm upo kundi gani
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.
Chanzo: Habari Leo Online
Mpaka leo naitafuta sababu ya Kutolewa kwa akina Kabudi na Lukuvi katika Nafasi zao huku Utendaji wao ukiwa ni wa Kutukuka na Uaminifu kabisa bado sijazipata.
Kama unatambua kuwa Kabudi ni 'Baba Negotiations' kutokana na Unguli wake katika Sheria hivi Akili Kubwa ilikuwa ni Kumbakisha katika Utendaji ndani ya Wizara au kumtoa na Kumuweka karibu kama Mshauri na Msoma Magazeti tu 24/7 katika 'Chambers' za Ikulu za Magogoni na Chamwino?
Ni Mtanzania Zuzu ( Hambe ) tu pekee ndiyo hatoweza kujua Kazi Kubwa na Juhudi za Kutukuka alizofanya Lukuvi katika Sekta ya Ardhi na cha Kushangaza anatolewa na Kupelekwa kuwa Mshauri tena kwa Waziri Mkuu ambaye nae pia mpaka sasa 'anakonda' na hapati Usingizi kwakuwa ameshajua hatakiwi ila basi tu hakuna namna na anavutiwa Kasi.
Akina GENTAMYCINE mara kwa mara tuwapo hapa JamiiForums tunakuambia Wasaliti wako Wakubwa ni akina nani ( hadi kukutajia Majina ) yao cha Kushangaza unawaacha, upo nao na unakimbilia Kuwaondoa Wazee wa Watu kwakuwa tu walikuwa 'Loyal' kwa Hayati uliyemrithi na Kuhisi wanaweza 'Kukuangusha' kwa Kutumika na Unaowaogopa au Kudanganywa kuhusu Wao.
Sijui ni kwanini Viongozi wengi wa Afrika mnapenda sana kutufanya na Kudhani kuwa Waafrika wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) wakati kumbe kuna Wananchi ( Waafrika ) wana ( tuna ) Akili na Maono kuliko mlivyo na 'Mabenzi' yenu huko Ikulu.
Kwenu Wazee wangu Kabudi na Lukuvi poleni kwa Kudharauliwa, Kusanifiwa na Kupendwa Kimachale na Kimkakati kwani hakuna namna bali ni Kumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa kila Jambo na Kumuachia Yeye kila Kitu kwani inajulikana kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Najua utanichukia ila Mimi Nakupenda.
Sawa ndugu, Samia anafanya kazi kubwa ya kubomoa hasa swala la ardhi ambazo watu fulani walizihodhi na zikachukuliwa na serikali ya JPM Samia anatakiwa azirudishe kwao na ili kufanikisha hilo ilibid awaondoe waziri, makamu kupandishwa na kubadilisha katibu wa wizara ambaye alikuwa ndiye mtendaji mkuuKikwete alimtoa Magufuli pamoja na katibu mkuu wizara ya ujenzi akampeleka wizara ya uvuvi, akaweka wengine, wakatekeleza waliyoyataka walipomaliza wakamrudisha tena Magufuli. Ndivyo ilivyo kwa Lukuvi katolewa naibu na katibu, wameingizwa watu kutekeleza mission zao wakikamilisha kujimegea basi itarudishwa kwa yeyote yule. This is my thinking!! Probably zile ardhi The late alizorudisha serikalini soon watarudishiwa waliozihodhi.
Ni mawazo yako ila yana nadharia nyingi, sidhani kama ukiambiwa uthibitishe hayo utaweza. Kwani ha ki Lukuvi hizo nafasi walikua wafe nazo?Sawa ndugu, Samia anafanya kazi kubwa ya kubomoa hasa swala la ardhi ambazo watu fulani walizihodhi na zikachukuliwa na serikali ya JPM Samia anatakiwa azirudishe kwao na ili kufanikisha hilo ilibid awaondoe waziri, makamu kupandishwa na kubadilisha katibu wa wizara ambaye alikuwa ndiye mtendaji mkuu
Na kwa Kabudi vilevile ni juu ya kutengua na kubadilisha mikataba yote ambayo JPM aliishughulikia kwa manufaa ya nchi sasa Samia anataka kuibadilisha iwe kwa ajili ya manufaa ya mabeberu,,,, Oneni ati mshauri wake ni Tony Blair ex PM wa UK ambaye huku UK watu wanasaini petion avuliwe tuzo aliyopewa na Queen ambapo imechukua miaka takribani 20 kutokana na uhalifu alioufanya wa kuanzisha vita vilivyoua watu zaidi ya milion 10 duniani huko Iraqi, Afghanstan, Syria na Arab revolution ya 2010-2011,,leo ati huyo ndiyo mshauri wa Samia
Samia ana kazi moja pia kubwa ya kuondoa na kufuta legacy ya JPM kwa kuchelewesha miradi aliyoiaanzisha ili apewe sifa yeye akimalizia wakati siyo akili yake wala ya huyo Kikwete anayemuelekeza upuuzi wa kuzuga watz akizani ni wajinga kumbe wanamuona anachofanya,,,Samia atadumu na wajinga watamchagua 2025 kwani wema hawadumu bali wabaya huishi milele
Na kama kweli alikuwa na kazi nao maalum kwann haukusema siku ya utenguzi badala yake akasubiri maoni ya mitandao.Karata anayojaribu kutuimia SSH ni PR and Damage Control. Baada ya kuona amefanya mabadiliko kwa jazba/Hasira na kuona reactions za watu sasa anajaribu ku appease/ Kufurahisha watu. Ila tayari tumeona kuwa huu ni unafiki mtupu.!
Mara Photo session na Speaker mara hawa nina kazi nao bla! bla! Hiyo yote ni kujaribu kufanya Damage Control ili kujiosha of which it won't work. Kwanza ALIWAZALILISHA hawa Waheshimiwa kwa kuwaita Lukuvi na KABUDI kuwa ni wazee wanaostahili kustaafu.
Ktk Politics hakuna kustaafu. Biden ana miaka mingapi? Si ni mzee sana na bado ni rais wa taifa lenye nguvu kubwa duniani? Kwa kifupi SSH aliwadharirisha tu. In that case she is in fear of HER OWN SHADOW nothing else!!
Anahangaika kujadili viongozi mazuzu hapa! Ogopa sana mtu asiyejitambua mwenyewe! Huwa kama mabua yapeperushwayo na upepo huku na kule!Na kama kweli alikuwa na kazi nao maalum kwann haukusema siku ya utenguzi badala yake akasubiri maoni ya mitandao.
Hivi unahitaji kuthibitisha vitu vinavyoonekana wazi wazi kweli?? Ona RUFIJI DAM ilikuwa ijazwe maji last November leo hii hata sehemu iliyotakiwa kujaza maji haijajengwa kazi iliyotakiwa ifanyike miezi mitatu,, wakaja na porojo za crane crane wakati kazi wamesimamisha na hawaonyeshi maendeleo yake tena kwani hakuna kinachoendelea,, wakati wa JPM TBC walifunga kambi kule kutuonyesha maendeleo deilee,,, leo ati waziri Makamba kaleta kampuni ya kihindi ati iuze umeme na unakatika ile mbaya,,,mtoeni huyo binti hapo nchi isonge siyo kuwateua Ridhiwani na Nape ni kuturudisha nyumaNi mawazo yako ila yana nadharia nyingi, sidhani kama ukiambiwa uthibitishe hayo utaweza. Kwani ha ki Lukuvi hizo nafasi walikua wafe nazo?
Acha tuone ngoma hii inavyochezwaNa kama kweli alikuwa na kazi nao maalum kwann haukusema siku ya utenguzi badala yake akasubiri maoni ya mitandao.