Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

Mtu yeyote mwenye akili timamu kama hakubaliani na jambo best option ni kujiuzuru.

Hao jamaa zako ni wachumia tumbo tu, hawajiamini na wanaona hakuna maisha nje ya mfumo wa kula kodi za wananchi.
Labda ungewashauri watoroke wakimbie nchi! Hawa viongozi wa kiafrika wengi wana hila mnoo. Ukienda kinyume chao utashangaa kesho una kesi ya mwaka juzi na sheria zetu hizi! Bora wakae tu hapo anapotaka wakae basi mradi anawalipa.
 
Acheni serikali ichape kazi. Watanzania waliosoma na wenye uwezo wa kuongoza ni wengi mno. Acheni serikali ifanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…