sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #61
Ni nadra sana, nadra mnoooo!!! Labda uwe mlevi sana, unadokoa sana bila tahadhari, n.k wengi wakikosea sana sana huamishwa vituo cya kazi kushushwa daraja, n.k. Hii ni tofauti na kwenye biashara, upepo wa kisuli suli ukikupata ndio unaweza kuharibu maisha moja kwa moja, ila kwa watu kama wahindi, waarabu, wapemba, wakinga kwa kuwa wanabebana hata upepo ukipiga kidogo kuna kuinuliwa, Sasa unakuta mtu kabila au ukoo wake hawanaga mambo ya kuinuana, huyu akipigwa na upepo lazima aisome namba.Kwani kazini huwezi kufukuzwa