Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

Jiwe alikua mkemia si mlugha
Yaani mpaka unapata Phd na umesoma kwa lugha ya kiingereza lakini huwezi kuandika hata sentensi moja iliyonyooka, eti unajificha kwenye kichaka kwamba nilikuwa mkemia na siyo mtu wa lugha. Ndiyo maana elimu yake ina utata sana. Hata uraia wake ni utata pia,mwanzo alikuwa anasema yeye ni mhaya,wahaya wakamkataa akakimbilia kwa wasukuma
 
We jamaa ni ain't Magu tu hakuna kingine...

Kiingereza ni lugha tu!
 
Kweli Dr. Biteko, dk mwigulu
Hizi PhD zonamsaada Gani?

Profesa kabudi katiba mpya haitaki teana
Huyo Mwigulu ambaye ni moja kati ya wasomi sana nchi hii analalamika bila aibu kabisa kwa kujiamini eti kwamba watu wanakusanya kodi mabilioni ya fedha za serikali na kukaa nazo mpaka miaka mitatu bila kuzipeleka serikalini

Ukimsikiliza vizuri unamuona kama haelewi hata anaongea nini na akili zake zimefika mwisho na hajui nini cha kufanya

inakuwaje wasomi wameandaa utaratibu kwa akili zao zote na kuruhusu afisa kodi kubaki na kodi baada ya kuikusanya yani hadi yeye mwenyewe ajisikie kuipeleka serikalini?

Hawa ni wasomi wenu waliamua hivi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Haya nitajie msomi mmoja tu aliyopo tz...ili nikuonyeshe upumbavu wako .
Nahitaji kujua kiwango chako Cha elimu kwanza kabla ya kua nakujibu.... Naona mihemko imekuzidi muzee
 
We jamaa ni ain't Magu tu hakuna kingine...

Kiingereza ni lugha tu!
Mkuu hata wewe ukisoma kwa lugha ya kimakonde mpaka PhD then unamaliza unashindwa kuandika hata sentensi moja kwa lugha ya kimakonde lazima utaonekana ni kilaza au umegushi tu. Mimi siyo ant Jiwe sema nasema ukweli kuhusu yeye ila wale wenye mahaba naye na Sukuma gang hawataki kusikia ukweli juu ya maovu yake
 
We jamaa ni ain't Magu tu hakuna kingine...

Kiingereza ni lugha tu!
Sasa wewe unawatetea wasomi alafu unakataa mapungufu yao. Wewe utasomaje mpaka kiwango cha PhD alafu Kiingereza kiwe kinakubabaisha?

Huo uzamivu wako ni wa aina gani. Kiingereza ni lugha ndio ila sio rahisi kuifahamu kama wewe ni kilaza. Kumbuka sio lugha yako mama.
 
Elimu Ina tafsiri Pana kutokana na Mahala wataka tumia.

Darasani: Elimu ni maarifa anayopata mtu au Maelekezo rasmi ambayo hakua nayo au Kuzaliwa nayo ili kumsaidia kubadili mfumo wa fikra zake katika kuchochea ubunifu. Na hupatikana darasani.

Mtaani: Elimu ni utambuzi wa Fursa mbalimbali ambazo hukua nazo ili kuzitumia kupambana na maisha. Na hupatikana Mtaani.

Dini: Elimu ni kumjua Mungu na mambo yake. Na hupatikana dinini au kidogo darasani.

NB: Hizi ni tafsiri zangu binafsi hazina uhusiano na tafsiri rasmi. Lakini pili mjadala huu ujikite kwenye elimu ya kwanza (darasani) ambayo inaenda kwa hatua.
Unajuaje mtu ana elimu au hana elimu?
 
Nahitaji kujua kiwango chako Cha elimu kwanza kabla ya kua nakujibu.... Naona mihemko imekuzidi muzee
Mimi sina elimu ila ninazo akili nyingi kuweza kutambua wapumbavu wenye majina ya wasomi.....kuna mpuuzi kama wewe alibishana na mimi hapa kuhusu elimu nilimuumbua ....kulikuwa na hoja ya tz kuwa na MA IT nilimwambia hakuna IT yoyote tanzania ni ushuzi wa bata tu ...yeye akabisha nikamwambia ni kwanini tz hakuna ma IT ...jibu ni kwamba hata hao walimu wao vyuoni awawezi kufanya chochote cha maana kama ma IT sasa unategemea nini kwa wanafunzi wao.
 
Kinacho semwa kilicho semwa ndio ukweli wenyewe kabisaa.
Mnaleta ujanja janja tu!!

Kazi ni kipimo cha UTU
 
Kwa watu walioelimika wangeweza kujua hii ni Socratic Method.

Hujaelimika wewe.

Hujaweza hata kusema utamjuaje mtu aliyeelimika, hivyo hujafikia kiwango cha kusema nani kaelimika.
Hatari sana😅
 
Mimi sina elimu ila ninazo akili nyingi kuweza kutambua wapumbavu wenye majina ya wasomi.....kuna mpuuzi kama wewe alibishana na mimi hapa kuhusu elimu nilimuumbua ....kulikuwa na hoja ya tz kuwa na MA IT nilimwambia hakuna IT yoyote tanzania ni ushuzi wa bata tu ...yeye akabisha nikamwambia ni kwanini tz hakuna ma IT ...jibu ni kwamba hata hao walimu wao vyuoni awawezi kufanya chochote cha maana kama ma IT sasa unategemea nini kwa wanafunzi wao.
😂😂 Kwa hiyo jamaa yangu hapo ukajiona una Akili balaa😂😂... Kazi bado tunayo kama Taifa... Kama sio kuongeza ukubwa wa hospitali ya Mirembe basi ni kuijenga hadi hapo kijijini kwako Mkuu.... Uelekeo wako sio kabisa....
 
Nitajie msomi mmoja tu mmoja tu mmoja tu....umeshindwa 😫 tanzania hakuna wasomi shika haya maneno yangu siku zote .
 
Habari wanabodi...

Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia.

Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha bali ni kuwakosoa ili kujenga Taifa bora Zaidi.

Mara zote katika michango yao, wabunge hawa wawili wamekua wakipinga sana ajenda ya usomi na wasomi wenyewe. Kwa haraka haraka wanaamini kabisa wasomi wetu ambao wapo katika sekta mbalimbali hakuna wanalolifanya kwa Kutumia elimu yao. Yaani kimsingi wanaamini mambo yataenda tu kienyeji bila elimu. Kifupi hawaamini kama elimu Ina msaada wowote katika kukuza chumi za nchi na ustawi wa wananchi wake.

Hawa watu ukiwafatilia kiundani ni watu waliofanikiwa kiuchumi kwa njia ambazo wao wanaamini hazikuhitaji elimu, sababu wao wameishia la saba. Hivyo wanaamini mtu yoyote sio lazima asome ili afanikiwe, kisa tu wao hawajasoma na wametoboa.

Tusipowadhibiti au kupinga hizi kauli zao za kibaguzi dhidi ya wasomi wetu, yamkini watoto au wajukuu zetu huko mbeleni wakipata hizi Hansard hawataona umuhimu wa kusoma, wataamini kama huyu "Joshua" alitoboa(ga) bila kusoma basi kumbe kuna short cut ya Maisha inawezekana.

TUWAKEMEE MARA MOJA.

Nawasilisha.
Kama umesoma halafu huna pesa usiambiwe ukweli?

Kama umesoma halafu elimu yako haikusaidi kujinasua na umaskini maana yake wewe ni lofa hata kama una phd.

Bora ukose elimu ila usikose pesa.

Money is better than education!

Nguvu ya elimu haiwezi kukupatia pesa kadiri utakavyo ila pesa inaweza kukupatia elimu kadiri utakavyo.

Ukiwa na elimu bila pesa utadharaulika mpaka na wnyama na wadudu ila ukiwa na pesa bila elimu utaheshimika na kuthaminiwa na masikini, matajiri na watawala wa dunia.
 
Acha uongo unataka kusema benjamin franklin alikua hajasoma
Nchi hii inawajinga wengi ikiwemo wewe
Kilaza huyo
Hao akina George Washington walikuwa ni illiterates ?
Tatizo la hii nchi ni mifumo na misingi mibovu ya uongozi , hii inaleta tabia mbovu kama za kutowajibika ,rushwa nk
Na ndio hii tabia imejengeka kwa viongozi na hata raia wa kawaida .
Nchi ambayo haina incentives za watu kutumia taaluma zao na talents zao kama hii kutokana na mifumo mibovu hii iliyooza , unategemea mwenye elimu awe tofauti na mbumbumbu ?
 
Back
Top Bottom