Hiyo kemia alisoma kwa kirusi au kichina?Jiwe alikua mkemia si mlugha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kemia alisoma kwa kirusi au kichina?Jiwe alikua mkemia si mlugha
DaaahHiyo kemia alisoma kwa kirusi au kichina?
Yaani mpaka unapata Phd na umesoma kwa lugha ya kiingereza lakini huwezi kuandika hata sentensi moja iliyonyooka, eti unajificha kwenye kichaka kwamba nilikuwa mkemia na siyo mtu wa lugha. Ndiyo maana elimu yake ina utata sana. Hata uraia wake ni utata pia,mwanzo alikuwa anasema yeye ni mhaya,wahaya wakamkataa akakimbilia kwa wasukumaJiwe alikua mkemia si mlugha
We jamaa ni ain't Magu tu hakuna kingine...Yaani mpaka unapata Phd na umesoma kwa lugha ya kiingereza lakini huwezi kuandika hata sentensi moja iliyonyooka, eti unajificha kwenye kichaka kwamba nilikuwa mkemia na siyo mtu wa lugha. Ndiyo maana elimu yake ina utata sana. Hata uraia wake ni utata pia,mwanzo alikuwa anasema yeye ni mhaya,wahaya wakamkataa akakimbilia kwa wasukuma
Haya nitajie msomi mmoja tu aliyopo tz...ili nikuonyeshe upumbavu wako .Mkuu Kuna mawili, either tafuta hela au tafuta ajira, maana hizi hasira hakika ni za stress!!
Huyo Mwigulu ambaye ni moja kati ya wasomi sana nchi hii analalamika bila aibu kabisa kwa kujiamini eti kwamba watu wanakusanya kodi mabilioni ya fedha za serikali na kukaa nazo mpaka miaka mitatu bila kuzipeleka serikaliniKweli Dr. Biteko, dk mwigulu
Hizi PhD zonamsaada Gani?
Profesa kabudi katiba mpya haitaki teana
Nahitaji kujua kiwango chako Cha elimu kwanza kabla ya kua nakujibu.... Naona mihemko imekuzidi muzeeHaya nitajie msomi mmoja tu aliyopo tz...ili nikuonyeshe upumbavu wako .
Mkuu hata wewe ukisoma kwa lugha ya kimakonde mpaka PhD then unamaliza unashindwa kuandika hata sentensi moja kwa lugha ya kimakonde lazima utaonekana ni kilaza au umegushi tu. Mimi siyo ant Jiwe sema nasema ukweli kuhusu yeye ila wale wenye mahaba naye na Sukuma gang hawataki kusikia ukweli juu ya maovu yakeWe jamaa ni ain't Magu tu hakuna kingine...
Kiingereza ni lugha tu!
Sasa wewe unawatetea wasomi alafu unakataa mapungufu yao. Wewe utasomaje mpaka kiwango cha PhD alafu Kiingereza kiwe kinakubabaisha?We jamaa ni ain't Magu tu hakuna kingine...
Kiingereza ni lugha tu!
Unajuaje mtu ana elimu au hana elimu?Elimu Ina tafsiri Pana kutokana na Mahala wataka tumia.
Darasani: Elimu ni maarifa anayopata mtu au Maelekezo rasmi ambayo hakua nayo au Kuzaliwa nayo ili kumsaidia kubadili mfumo wa fikra zake katika kuchochea ubunifu. Na hupatikana darasani.
Mtaani: Elimu ni utambuzi wa Fursa mbalimbali ambazo hukua nazo ili kuzitumia kupambana na maisha. Na hupatikana Mtaani.
Dini: Elimu ni kumjua Mungu na mambo yake. Na hupatikana dinini au kidogo darasani.
NB: Hizi ni tafsiri zangu binafsi hazina uhusiano na tafsiri rasmi. Lakini pili mjadala huu ujikite kwenye elimu ya kwanza (darasani) ambayo inaenda kwa hatua.
Mahojiano Tena we jamaa ... Go straight to the point!!!Unajuaje mtu ana elimu au hana elimu?
Kwa watu walioelimika wangeweza kujua hii ni Socratic Method.Mahojiano Tena we jamaa ... Go straight to the point!!!
Mimi sina elimu ila ninazo akili nyingi kuweza kutambua wapumbavu wenye majina ya wasomi.....kuna mpuuzi kama wewe alibishana na mimi hapa kuhusu elimu nilimuumbua ....kulikuwa na hoja ya tz kuwa na MA IT nilimwambia hakuna IT yoyote tanzania ni ushuzi wa bata tu ...yeye akabisha nikamwambia ni kwanini tz hakuna ma IT ...jibu ni kwamba hata hao walimu wao vyuoni awawezi kufanya chochote cha maana kama ma IT sasa unategemea nini kwa wanafunzi wao.Nahitaji kujua kiwango chako Cha elimu kwanza kabla ya kua nakujibu.... Naona mihemko imekuzidi muzee
Hatari sana😅Kwa watu walioelimika wangeweza kujua hii ni Socratic Method.
Hujaelimika wewe.
Hujaweza hata kusema utamjuaje mtu aliyeelimika, hivyo hujafikia kiwango cha kusema nani kaelimika.
😂😂 Kwa hiyo jamaa yangu hapo ukajiona una Akili balaa😂😂... Kazi bado tunayo kama Taifa... Kama sio kuongeza ukubwa wa hospitali ya Mirembe basi ni kuijenga hadi hapo kijijini kwako Mkuu.... Uelekeo wako sio kabisa....Mimi sina elimu ila ninazo akili nyingi kuweza kutambua wapumbavu wenye majina ya wasomi.....kuna mpuuzi kama wewe alibishana na mimi hapa kuhusu elimu nilimuumbua ....kulikuwa na hoja ya tz kuwa na MA IT nilimwambia hakuna IT yoyote tanzania ni ushuzi wa bata tu ...yeye akabisha nikamwambia ni kwanini tz hakuna ma IT ...jibu ni kwamba hata hao walimu wao vyuoni awawezi kufanya chochote cha maana kama ma IT sasa unategemea nini kwa wanafunzi wao.
Nitajie msomi mmoja tu mmoja tu mmoja tu....umeshindwa 😫 tanzania hakuna wasomi shika haya maneno yangu siku zote .😂😂 Kwa hiyo jamaa yangu hapo ukajiona una Akili balaa😂😂... Kazi bado tunayo kama Taifa... Kama sio kuongeza ukubwa wa hospitali ya Mirembe basi ni kuijenga hadi hapo kijijini kwako Mkuu.... Uelekeo wako sio kabisa....
Kama umesoma halafu huna pesa usiambiwe ukweli?Habari wanabodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia.
Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha bali ni kuwakosoa ili kujenga Taifa bora Zaidi.
Mara zote katika michango yao, wabunge hawa wawili wamekua wakipinga sana ajenda ya usomi na wasomi wenyewe. Kwa haraka haraka wanaamini kabisa wasomi wetu ambao wapo katika sekta mbalimbali hakuna wanalolifanya kwa Kutumia elimu yao. Yaani kimsingi wanaamini mambo yataenda tu kienyeji bila elimu. Kifupi hawaamini kama elimu Ina msaada wowote katika kukuza chumi za nchi na ustawi wa wananchi wake.
Hawa watu ukiwafatilia kiundani ni watu waliofanikiwa kiuchumi kwa njia ambazo wao wanaamini hazikuhitaji elimu, sababu wao wameishia la saba. Hivyo wanaamini mtu yoyote sio lazima asome ili afanikiwe, kisa tu wao hawajasoma na wametoboa.
Tusipowadhibiti au kupinga hizi kauli zao za kibaguzi dhidi ya wasomi wetu, yamkini watoto au wajukuu zetu huko mbeleni wakipata hizi Hansard hawataona umuhimu wa kusoma, wataamini kama huyu "Joshua" alitoboa(ga) bila kusoma basi kumbe kuna short cut ya Maisha inawezekana.
TUWAKEMEE MARA MOJA.
Nawasilisha.
Kilaza huyoAcha uongo unataka kusema benjamin franklin alikua hajasoma
Nchi hii inawajinga wengi ikiwemo wewe