Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Mwenzio anaipigia chapuo lugha ya ahera!yote uliyoandika bi mdashi ni kweli lakini hatuna jinsi maana ukitaka kupata maarifa mapya lazima
utumie kiingereza ukitaka kwenda nje ya nchi pia kama hujui lugha ya nchi husika lazima utumie hiyo lugha
sasa unaweza toa njia mbadala kuhusu hayo yote???
Mbona Kiswahili kilichotimia hakijabuni hizo herufi kama Kiingereza?Hizo herufi za kubuni tu hazina asili ya maandiko yoyote.
Sio kweli inatamkwa hivi ˈkwȯ(r)-tərMfano hili neno linaanza na Q "quarter". Unalitanmka kota. Uwe Muingereza au mndengereko. Kwanini lisiwe kota tu hata kwa Kingereza?
Sio kweli huu ni uongo.Neno lenye x "sox" unalitamka "soks
Umehama kwenye mada kabisa baada ya kushindwa kuonyesha maneno ya kiswahili yenye herufi X au Q .". Hizo herufi ulizoweka zote ni wao kujifanya kuwa wana ubora zaidi kwa kujitofautisha,
Elewa kuwa, bila "Alif Be Te" usingekuwa na alphabet.
Zingekuwa hazina maana wewe ungeweza kusoma na kumjibu mtu akikuuliza saa ngapi kwa kiiingereza??hazina maana yoyote.
Umehama mada kama kawaida turudi kwenye mada kuu kabla hatujahamia kwenye lugha ya kiarabuUnafahamu "alif be te" zinapatikana wapi?
Kwasababu umekaa kidinikwanini umevutia kwenye udini?
pamoja na kuisifia kote hivi ila nina uhakika kuwa huijuiKiingereza ndo lugha Bora na kubwa ulimwenguni
Atakurupuka kuwa ni KiarabuTuambie lugha nzuri duniani kwa sasa ni ipi?? 🤒😎
Bila ushaidi ni batilineno 'sabato" lenyewe ni Kisaswahili "saba" linatokana na Kiarabu "sabt".
Kumbuka hilo.
Kiingereza ni lahaja kama ilivyo kwa kiswahili.Msingi wake mkubwa ni kilatini kama ilivyo kwa kiswahili ambacho msingi wake mkubwa ni kiarabuYamekuingia.
Hunipati kwa Kingereza, Kiswahili, Kiarabu. Na lugha zingine mbili tatu nazielewa kijujuu.
Kwa ubobevu wangu wa lugha, nimefikia tamati, Kingereza ni lugha mbovu katika zote nilizozitaja.
Hi ni namba tofauti kijana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Wewe vyovyote utakavyosema ni sama, kwa ufupi, hizo ni herufi za kujitungia tu Waingereza. X imetokana namba ya Kirumi. Ambalo na wao walilitoa kws wafoneshia (Phoenecians). Hiyo Q hata wasomi wanajiuliza ipo kwa sababu gani na haitumiki. Wengine wanasema ipo kwa ajili ya kutofautisha tu maandishi lakini haitamkiki, hata uipambe vipi.Mbona Kiswahili kilichotimia hakijabuni hizo herufi kama Kiingereza?
Sio kweli inatamkwa hivi ˈkwȯ(r)-tər
Sio kweli huu ni uongo.
Neno sahihi ni socks. Inatamkwa /sɒks
Umehama kwenye mada kabisa baada ya kushindwa kuonyesha maneno ya kiswahili yenye herufi X au Q .
Umehamia kusema waingereza "wanajifanya"
Zingekuwa hazina maana wewe ungeweza kusoma na kumjibu mtu akikuuliza saa ngapi kwa kiiingereza??
Mfano mimi uniulize in a formal way 2:15 ni saa ngapi nitajibu it's quarter past two ambayo ni very basic kwenye usomaji muda sasa bila Q huo umaana ungetokea wapi?
Umehama mada kama kawaida turudi kwenye mada kuu kabla hatujahamia kwenye lugha ya kiarabu
Maana mada iliyopo mezani ni ubora wa Kiswahili juu ya Kiingereza na si Kiarabu kama unavyotaka kuhamisha mada.
mtoa mada amekanushaKwasababu umekaa kidini
Kwa hiyo unapendekeza tushobokee kiarabu?Siyo kweli.
Kingereza hakina asili.
Kiarabu hakibadiliki lafdhi yake, usichanganye lafdhi za watu na lafdhi ya lugha. Kiarabu kinavyoandikwa ndivyo kinavyotamkwa, popote utapo kuwepo.
Kiarabu tunafundishwa madrasa Tanzania ndicho kile kile anachofundishwa madrasa Mchina kwao China. Na hata tukienda kusali China au iwe umatumbini, Kiarabu kinabaki kuwa ni kile kile na lafdhi ile ile.
Kiswahili pia, kinabaki na lafdhi ile ile labda waje waliosomea ujimga kubadili mahari wakaiita mahali na mahali wakapaita mahari.
Kigereza ni tofauti kabisa, hakitamkwi kinavyoandikwa. Mfano inaandikwa "women" inatamkwa "wimen". Inaandikwa "laugh" inatamkwa "laf".
Upo hapo ulipo?
Mimi sijasema popote tu kama kujitungia, bali nilihitaji ushahidi wa huo utoshelevu wa lugha ya kiswahili dhidi ya kiingereza na nimekuuliza herufi mbili tu.Wewe vyovyote utakavyosema ni sama, kwa ufupi, hizo ni herufi z kujitungia tu Waingereza.
Wapi nimepamba , onyesha pambo hilo.Umehakikisha mwenyewe, hata upambe vipi.
Leta ushahidi.Kingereza kisingepata alphabet bila alif be te.
Kumbuka hilo.
Kwa mtu anayependa kujifunza mambo mapya, ni muhimu kujua Lugha ya kingereza kwani Mambo mengi mazuri yapo katika Lugha hiyo.
Nimesema kama unapenda kujifunza mambo mapya na mazuri, ni vyema ukaijua hiyo LughaKwa hiyo ukitaka uwe update au sasishwa au wa kileo, lazima ujue kiingereza?
Shidà ya mtoa mada inaanzia hapaHakika.....Yasemekana Kiingereza ni Kilatini/Kirumi kilichovurugwavurugwa...!