Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
| Rank | Language | # of Speakers (2023) |
|---|---|---|
| 1 | English | 1,500,000,000 |
| 2 | Mandarin | 1,100,000,000 |
| 3 | Hindi | 609,500,000 |
| 4 | Spanish | 559,100,000 |
| 5 | French | 309,800,000 |
Unapotosha bibi
Hakuna lugha bora kuliko zingine duniani, hakuna!
Sifa ya lugha ni kujitosheleza yenyewe, na kuwezesha watumiaji kuwasiliana.
English kwa sasa ni International language na haikwepeki acha watu waishobokee tu
Mfano wewe umeishi Canada kama sikosei kwa muda mrefu na kufanya kazi na huko lugha kuu ni English..!
Sasa umestaafu ndio unaanza kuona kiswahili ndio dili, huna cha kupoteza. Bibi
Kiswahili hakijitoshelezi..Kingereza hakijitoshelezi.
Usijidanganye.
Kjswahili ni kizuri na kinajitosheleza zaidi ya Kingereza, hatujielewi tu.
Hizo takwimu haziifanyi lugha kuwa tamu na nzuri.Cha maana ni communication / mawasiliano, kwahio kama hivyo ndivyo basi ni bora kujua lugha ambayo waliokuzunguka wengi wanaizungumza, baada ya hapo unaangalia ni lugha zipi zinazungumzwa zaidi na katika top five ni zifuatazo: (Na ukishaangalia hio orodha sijui utasema nini kupinga watu wasijue lugha inayozungumzwa zaidi duniani..., kuhusu kushobokea nadhani hio ni argument nyingine)
Rank Language # of Speakers (2023) 1 English 1,500,000,000 2 Mandarin 1,100,000,000 3 Hindi 609,500,000 4 Spanish 559,100,000 5 French 309,800,000
Punguza Jazba Mama Mkwe,,,kiislamu haipendezi Kumtusi Mkwe Wako,,,Tuzungumze kiistarabu Tu,,Naamini Kwa kuwa u Ustahadhati Safi wa Mifupa,,Damu na Nyama.....Roho,,Mwili na Nafsi hatutashindwa elewana,,Amiin!!Koma, sina ukwe na wewe.
Kiislam hatuna I utani wa kijinga. Hunijuwi sikujuwi.
Hakika.....Yasemekana Kiingereza ni Kilatini/Kirumi kilichovurugwavurugwa...!Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
Moja: nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni Kingereza, masomo yote tulifundishwa kwa Kingereza kasoro somo la Kiswahili na dini tu, kwa Waislam, lugha ya kusomeshewa dini shule ilikuwa ni Kiswahili, ingawa tulikuwa na vipindi viwili vya kusoma dini katika juma zima, waliosoma Dar., watamkumbuka Mwalimu wetu wa somo la Dini ya Kiislam kwenye shule nyingi, za mjini Dar, maana alikuwa akitoka moja anakwenda nyingine kusomesha kipindi cheke, alikuwa akiitwa Maalim JanMohamad na alikua ni vigumu kumsahau kwani alikuwa na ulemavu wa miguu.
Mwalimu JanMohamad alikuwa na asili ya Zanzibar, aliongea Kiswahili na Kingereza vizuri sana, kiasi alikuwa akifundisha kwa lugha zote tatu katika somo lake la dini, Kiarabu, Kiswahili na Kingereza.
Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Pamoja na mengine, nikaendelea kujifunza na kufundishwa Kingereza miaka yote, hadi leo hii. Nikidhani kuwa Kingereza ni lugha bora duniani. Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikuwa sipo sahihi kabisa baada ya kufahamu kuwa Kingereza ni lugha ya kubuni buni tu na haina uasilia.
Nimefikia tamati ya kusema kuwa tusikihobokee Kingereza, siyo lugha ya maana na inapoteza muda mwingi sana kukielewa na hata utapodhani umekielewa utajikuta hujakielewa kwa sababu ni lugha inayobadilika badilika mara kwa mara na pia haina uasili kwa hiyo ina maneno mengi sana ya kuazima kutokea lugha nzingine na kuyabadili badili kidogo ili yasikike kama "Kingereza".
Kingine ambacho hakuna katika Kingereza ni lafdhi ya asili, kila mtu anaeongea Kingereza kwa lafdhi yake na anatamka Kingereza tofauti na mwengine, haijalishi ni Muingereza au kama lugha mama kwake ni Kingereza, atakuwa na kasoro ya matamshi (phenetic) au wengine huita "accent", kwa sababu Kingereza hakina uasili.
Kingine ni hiki cha maneno ya Kingereza, neno lilelile moja linavyoandikwa lakini linatamkwa tofauti na lingine linapoongewa. Hili hakuna lisiye mchosha. Mfano neno chozi ni "tear" kwa Kingereza na hiyo hiyo "tear" pia ni chana. Neno "watch" linaweza kuwa kutazama, kulinda na wakati huo huo ni neno saa. Ndiyo, saa ya mkono ni "watch" kwa Kingereza.
Ndipo Watanzania wengi hufanya utani wa tafsiri ya Kingereza kwa Kiswahili, mfano wa haraka ni sambusa, "clockmosquitoclock". Saa imeshabadilika imekuwa "clock".
Kwa ufupi, tusishobokee Kingereza, kina athari kubwa sana ya kutujaza ujinga. Tukienzi na kukishobokea Kiswahili chetu, ni lugha tamu sana. Tena nasisitiza, serikali iwachane kabisa na mpango wa "Kiswahili sanifu", kwanini ukaisanifu lugha yenye asili? Naamini Kiswahili sanifu ni ujinga wawache kujaribu kukiondowa Kiswahili kwenye uarabu.
Kiswahili ni lugha tamu, historia inatuonesha hata kina Ibn Batuta, waliokuja miaka mingi kabla ya wazungu walikikuta Kiswahili kinaongewa na kuandikwa pwani ya mashariki ya Afrika.
Historia haijaishia hapo, inatuonesha kuwa hata kina Mkwawa. Kimweri, Abdul rauf Songea Mbane na machifu wengine wa bara walikuwa wanaongea na kuandika Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu, ambazo hazina shaka ndani yake, barua zao zipo kihistoria.
Mkoloni alipokuja, kama kawaida ili akutawale vizuri ni lazima akudunishe na ujione wewe si lolote si chochote, anaanza kukudunisha kwa lugha take mabayo kama hukuielewa unaonekaza siyo wa maana. Amefanikiwa sna kwenye hilo, mpaka imefikia wakati, tunakidharau Kiswahili chetu na kuona wa maana kati yetu ni yule mwenye kukijuwa Kingereza. Hatupo sahihi kabisa.
Tutakuwa wa maana zaidi tukikienzi Kisahili chetu na kukikuza kutpokana na asili yake na siyo kukisanifu, maana halisi ya neno sanifu, ni kukitania. Hivi kwanini mapoaka tufikie kukitania Kiswahili chetu?
Baraza la Kiswahili Tanzania linafanya kazi mbovu kabisa ya kukiharibu Kiswahili, kukitowa kwenye uasili wake na kukipeleka wapi sielewi.
Asili ya Kiswahili ni pwani, tusijaribu kukisanifu na kukiondowa uhalisia wake kwa kudhani tu, Kiswahili nilugha ya Kiislam. Ujinga mwingine tuliojazwa na wazungu, mpaka imefikia kuna Watanzania hapa hapoa JF wanasema Kingereza ni "lugha ya kikatoliki" Ni ujinga huo.
Tuyaenzi matamshi na matamko ya Kiswahili, tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu mashuleni, hatutakosea, ndiyo asili yake.
Kujaribu kukiondowa Kiswahili na asili yake na lafdhi yake ya pwani ya mashariki ya Afrika ni kama kujaribu kuifanya bahari iwe dimbwi.
Nawasilisha.
Utaingiaje mtandaoni Kama hujui hata Cha kunywea maji?Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:

Kumbe unaongelea Utamu na Uzuri ? Mimi naongelea umuhimu wa lugha ambao ni mawasiliano hivyo kuweza kuwasiliana inabidi wote tuongee lugha moja (unaweza ukasema Kifaransa, Kijerumani, Kihispania, Kirusi au hata kiItaliano au Kiarabu) ni kizuri zaidi ila kama unakizungumza peke yako nadhani utakuwa una defeat the purpose)Hizo takwimu haziifanyi lugha kuwa tamu na nzuri.
Kingereza kililazimishwa kwenye makoloni yake ndiyo maana kinatumika sana, siyo kwa kuwa ni bora sana.
Katika mizania ipi?Kingereza hakijitoshelezi.
Usijidanganye.
Hebu taja neno la kiswahili linaloanzia na herufi "X" au "Q" .Kjswahili ni kizuri na kinajitosheleza zaidi ya Kingereza, hatujielewi tu.
Hizo herufi za kubuni tu hazina asili ya maandiko yoyote.Katika mizania ipi?
Hebu taja neno la kiswahili linaloanzia na herufi "X" au "Q" .
Pia wewe ndio unawapotosha vijana sasa , mimi wakati nafika ng'ambo miaka hiyo nilifanya mtihani wa ufahamu [English proficiency test], kama wewe hukufanya huo mtihani ni vyema ukawashauri vijana wajinoe vilivyo katika lugha ya kiingereza kwa fursa nyingi za maana ziko huko kwenye mataifa yanaongea kiingereza kama lugha ya kwanza iwe ni wanaoenda kusoma , kufanya kazi na kadhalika.
Huko kujisifiu tu eti bora kujua kiswahili ndio inatugharimu ni rahisi kukutana na wakenya au waganda wengi katika sehemu tofauti nilizotembelea kuliko watanzania.
Hapo sijaongelea mada ya ugumu wa kujaribu kutoka na kujifungia kulikoletwa na ujamaa ambao ndio ulitudumaza kabisa.
mara kadhaa tumesikia kuwa kiswahili kina misamiati michache, hili hudhihirika hata wataalamu na viongozi wetu mbalimbali wakiwa wanaongea kuna vitu fasta wanatamka kwa kutumia english, unavosema kinajitosheleza unamaanishaje hasa?Kingereza hakijitoshelezi.
Usijidanganye.
Kjswahili ni kizuri na kinajitosheleza zaidi ya Kingereza, hatujielewi tu.
Ndugu we ni mtaalam sana wa lugha uko vizuri chapisho lako hili litakupa PhD tukuka kwa utafiti wako wa chuki na kibaguzi. Kama mtaalam em nimbie lugha yako hiyo nzuri ya kiarabu kwa nini inapenda kutumika na walozi kuandika kwenye nazi na mayai viza yanayotupwa njia panda na siyo lugha ya kiingereza?Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
Moja: nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni Kingereza, masomo yote tulifundishwa kwa Kingereza kasoro somo la Kiswahili na dini tu, kwa Waislam, lugha ya kusomeshewa dini shule ilikuwa ni Kiswahili, ingawa tulikuwa na vipindi viwili vya kusoma dini katika juma zima, waliosoma Dar., watamkumbuka Mwalimu wetu wa somo la Dini ya Kiislam kwenye shule nyingi, za mjini Dar, maana alikuwa akitoka moja anakwenda nyingine kusomesha kipindi cheke, alikuwa akiitwa Maalim JanMohamad na alikua ni vigumu kumsahau kwani alikuwa na ulemavu wa miguu.
Mwalimu JanMohamad alikuwa na asili ya Zanzibar, aliongea Kiswahili na Kingereza vizuri sana, kiasi alikuwa akifundisha kwa lugha zote tatu katika somo lake la dini, Kiarabu, Kiswahili na Kingereza.
Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Pamoja na mengine, nikaendelea kujifunza na kufundishwa Kingereza miaka yote, hadi leo hii. Nikidhani kuwa Kingereza ni lugha bora duniani. Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikuwa sipo sahihi kabisa baada ya kufahamu kuwa Kingereza ni lugha ya kubuni buni tu na haina uasilia.
Nimefikia tamati ya kusema kuwa tusikihobokee Kingereza, siyo lugha ya maana na inapoteza muda mwingi sana kukielewa na hata utapodhani umekielewa utajikuta hujakielewa kwa sababu ni lugha inayobadilika badilika mara kwa mara na pia haina uasili kwa hiyo ina maneno mengi sana ya kuazima kutokea lugha nzingine na kuyabadili badili kidogo ili yasikike kama "Kingereza".
Kingine ambacho hakuna katika Kingereza ni lafdhi ya asili, kila mtu anaeongea Kingereza kwa lafdhi yake na anatamka Kingereza tofauti na mwengine, haijalishi ni Muingereza au kama lugha mama kwake ni Kingereza, atakuwa na kasoro ya matamshi (phenetic) au wengine huita "accent", kwa sababu Kingereza hakina uasili.
Kingine ni hiki cha maneno ya Kingereza, neno lilelile moja linavyoandikwa lakini linatamkwa tofauti na lingine linapoongewa. Hili hakuna lisiye mchosha. Mfano neno chozi ni "tear" kwa Kingereza na hiyo hiyo "tear" pia ni chana. Neno "watch" linaweza kuwa kutazama, kulinda na wakati huo huo ni neno saa. Ndiyo, saa ya mkono ni "watch" kwa Kingereza.
Ndipo Watanzania wengi hufanya utani wa tafsiri ya Kingereza kwa Kiswahili, mfano wa haraka ni sambusa, "clockmosquitoclock". Saa imeshabadilika imekuwa "clock".
Kwa ufupi, tusishobokee Kingereza, kina athari kubwa sana ya kutujaza ujinga. Tukienzi na kukishobokea Kiswahili chetu, ni lugha tamu sana. Tena nasisitiza, serikali iwachane kabisa na mpango wa "Kiswahili sanifu", kwanini ukaisanifu lugha yenye asili? Naamini Kiswahili sanifu ni ujinga wawache kujaribu kukiondowa Kiswahili kwenye uarabu.
Kiswahili ni lugha tamu, historia inatuonesha hata kina Ibn Batuta, waliokuja miaka mingi kabla ya wazungu walikikuta Kiswahili kinaongewa na kuandikwa pwani ya mashariki ya Afrika.
Historia haijaishia hapo, inatuonesha kuwa hata kina Mkwawa. Kimweri, Abdul rauf Songea Mbane na machifu wengine wa bara walikuwa wanaongea na kuandika Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu, ambazo hazina shaka ndani yake, barua zao zipo kihistoria.
Mkoloni alipokuja, kama kawaida ili akutawale vizuri ni lazima akudunishe na ujione wewe si lolote si chochote, anaanza kukudunisha kwa lugha take mabayo kama hukuielewa unaonekaza siyo wa maana. Amefanikiwa sna kwenye hilo, mpaka imefikia wakati, tunakidharau Kiswahili chetu na kuona wa maana kati yetu ni yule mwenye kukijuwa Kingereza. Hatupo sahihi kabisa.
Tutakuwa wa maana zaidi tukikienzi Kisahili chetu na kukikuza kutpokana na asili yake na siyo kukisanifu, maana halisi ya neno sanifu, ni kukitania. Hivi kwanini mapoaka tufikie kukitania Kiswahili chetu?
Baraza la Kiswahili Tanzania linafanya kazi mbovu kabisa ya kukiharibu Kiswahili, kukitowa kwenye uasili wake na kukipeleka wapi sielewi.
Asili ya Kiswahili ni pwani, tusijaribu kukisanifu na kukiondowa uhalisia wake kwa kudhani tu, Kiswahili nilugha ya Kiislam. Ujinga mwingine tuliojazwa na wazungu, mpaka imefikia kuna Watanzania hapa hapoa JF wanasema Kingereza ni "lugha ya kikatoliki" Ni ujinga huo.
Tuyaenzi matamshi na matamko ya Kiswahili, tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu mashuleni, hatutakosea, ndiyo asili yake.
Kujaribu kukiondowa Kiswahili na asili yake na lafdhi yake ya pwani ya mashariki ya Afrika ni kama kujaribu kuifanya bahari iwe dimbwi.
Nawasilisha.
Kwa hiyo kauli hapo juu sisi wasabato Bora tubaki na English yetu🤒tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu
kwanini umevutia kwenye udini?Kwa hiyo kauli hapo juu sisi wasabato Bora tubaki na English yetu🤒