Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

CHADEMA nilikua nawatetea sana lakini sasaivi nimegundua wanamatatizi, Walivyoona kaingia Samia wakaanza dharau, kule twittani mpk wanamtukana, acha sasa awaonyeshe kuwa yeye ni Rais
Kwahiyo kinachotokea ni kulipiza kutokana na dharau za huko twitter?
 
Wewe nani unasema tusimpelekeshe rais wetu. Alisema mwenyewe wala hatujamlazimisha kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Sasa tunataka aende kimagufuli. Kama hawezi au hataki bora atujulishe tujue asubuhi na mapema.🤸🤸🏋️🏋️
 
Alijua kazi yake itakuwa kutembea na mkasi tu
 
Swadaktaaaa....

#NchiKwanza
#KaziInaendelea
#SiempreJMT
 
Mkuu hii ni komenti ya DHAHABU haswaa 💪👊

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#SiempreSSH
#KaziIendelee
 
Ana mawenge kama wewe ulivyo na mawenge. Hakuna anaempangia afanye vipi kazi yake. Kila mtu anaekosoa utendaje wake anatimiza haki yake kikatiba, ndio maana wale wanaotukana na kuvunja sheria wanawajibishwa.

Tatizo ana wasiwasi sana, akikosololewa anahisi anapinduliwa.
 
Rais ambaye anaongelea mambo ambayo yako mahakamani na ambayo pia hayajui ni tatizo kubwa sana, anaongea vitu ambavyo hajui kabisaaaaaa, she is a disaster for that matter, ndiomaana walisema always small brain cant lead big brain hiyo ndivyo ilivyo duniani kote
 
hahahahah

Dogo acha povu, RAIS HAENDESHI NCHI KWA MATAKWA YAKE, yeye ni kama picha tu

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Rais ambaye anaongelea mambo ambayo yako mahakamani na ambayo pia hayajui ni tatizo kubwa sana, anaongea vitu ambavyo hajui kabisaaaaaa, she is a disaster for that matter, ndiomaana walisema always small brain cant lead big brain hiyo ndivyo ilivyo duniani kote
 
Hahaha, big brain ni nani? Gaidi, Lema, Sugu na Msigwa?
 
Amekudanganya nini? Makokangamano ya kudai katiba mpya yanaendelea lini? Maana mlisema ni wilaya kwa wilaya non stop
Mama ako amejizalilisha mnoo kwenye mahojiano ya BBC.

ni bora akimbie media kama Marehemu Pombe.
 
Mama ako amejizalilisha mnoo kwenye mahojiano ya BBC.

ni bora akimbie media kama Marehemu Pombe.
Umesikia wapi Rais anadhalilika? Yule analindwa na katiba hadi anakufa, wanaodhalilika wapo wananyea ndoo Ukonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…