Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

Ndiyo maana tunataka katiba mpya . Hatuwezi kuwa na Rais (kiongozi) asiyehojiwa maamuzi yake. Hapo tunakuwa na mungumutu na si kiongozi.

Tumeshuhudia mataifa yaliofanya vizuri ki uchumi na ki democracy ni yale ambayo kiongozi anawajibika kwa wananchi wake . Si u mungumutu
Asiyehojiwa kivipi? Kwani bunge kazi yake nini? Mahakamma?
 
Kwann viongozi wa ulaya wanawin wa afrika wanafeli.
.Wanatembea na watu wanafika salama
.Wamewekeza Sana kwenye media wanapenda Sana kukosolewa kuliko kusifiwa.
.Uwatumia watu kama kioo cha kujitazamia nao ujishape kupitia watu kwa maana watu wengi wakiwa na mawazo yafananayo hayo ni mawazo sahihi.
.Wamewekwa madarakani na wananchi na wananchi ndio ujua vipi vipaumbele vyao.
Kwann watawala wa kiafrica wanafeli
Wanaamini ukiwa kiongozi una akili kuliko wote yaani watawaliwa ni wapumbavu awajui kitu.
Wengi wameingia madarakani bila ridhaa ya wananchi yaani kupewa.
Mtawala ndie upanga nini wananchi wafate matakwa ya mtawala ndio dira ya wananchi wote mtake mtafata hamtaki mtafata kupinga mawazo ya mtawala ni uhaini adhabu risasi hii ipo afrika yote ya weusi.
Uongozi ni watu wanasema nn juu yako.
Watazamaji mpira ndio wanaujua vizuri mpira kuliko mchezaji aliyepo uwanjani.Upo msemo watawala wa kiafrica uwa na akili baada ya kustaafu.Hii ni ushahidi kamili chek Lowasa,membe,sumaye,mkapa,nk wamekuja kudai katiba mpya ni baada ya mfumo kuwatupa,japo madai yalianza wakiwa kwenye mfumo na awakuona umuhimu wake.
Kumkosoa mtawala wa kiafrica ni SAwa na kumkosoa Mungu ni heri umkosoe Mungu case study afrika nzima ya weusi wengi mamia wameuwawa sababu ya hili.
 
Mchengerwa ni mkwe .....sasa kazi zitaenda hapo
Tatizo sio mchengerwa tu, tatizo kubwa ni huyo diwani hiyo nafasi ya DGIS imempwaya, jukumu lake ni kumlinda rais hakutakiwa kuruhusu hii interviwe iwekwe hewani, na kama rais angelazimisha iwekwe hewani basi ilitakiwa diwani ajiuzuru ila asikubali kabisa haya mambo yanatokea ... kuna shida kubwa sana ndani ya idara yetu ya usalama wa taifa
 
Asiyehojiwa kivipi? Kwani bunge kazi yake nini? Mahakamma?
Kwa katiba hii ya 1977 inayopingwa. Mihimili mingine hiyo ulioitaja ziko chini ya Rais . Na ana maamuzi ya nani aviongoze . Huo si uongozi bali u dictator na umungumutu tunaoukataa
 
Tatizo sio mchengerwa tu, tatizo kubwa ni huyo diwani hiyo nafasi ya DGIS imempwaya, jukumu lake ni kumlinda rais hakutakiwa kuruhusu hii interviwe iwekwe hewani, na kama rais angelazimisha iwekwe hewani basi ilitakiwa diwani ajiuzuru ila asikubali kabisa haya mambo yanatokea ... kuna shida kubwa sana ndani ya idara yetu ya usalama wa taifa
Yaani hutaki madhaifu yake yaonekane ?!. Tanzania imejaaliwa wananchi wa ajabu sana !!
 
"Dereva ana jicho moja, usiwe na mashaka na uendeshaji wake!" - said no one ever
 
Tatizo sio mchengerwa tu, tatizo kubwa ni huyo diwani hiyo nafasi ya DGIS imempwaya, jukumu lake ni kumlinda rais hakutakiwa kuruhusu hii interviwe iwekwe hewani, na kama rais angelazimisha iwekwe hewani basi ilitakiwa diwani ajiuzuru ila asikubali kabisa haya mambo yanatokea ... kuna shida kubwa sana ndani ya idara yetu ya usalama wa taifa
Kazi ipo kuna ma legendary hawataki mmakunduchi run Tanzania imetokea ajali sawa ila mwisho 2025 asivuke ni upuuzi wa karne wanasiasa chezeni karata huyo apumzike hakujipanga na hakuandaliwa aliwekwa kama bosheni tuuuu
 
Huyo unayemzungumzia labda ni mama yako anayeosha vyombo chini ya mkorosho hapo kwenu ila Kama ni Raisi wa JMT yeye ni mtumishi wa umma ameapa kuwatumikia wananchi sio wananchi wamtumikie,mkuu tumia akili kufikiria usitumie makalio. Watu Kama nyinyi ndio mnamfanya Raisi ajione yeye ni malaika kwa sababu ya unafiki na kujipendekeza hamtaki aambiwe ukweli hata kama anakosea
 
Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania?

Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau.

Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka nini? Awe anawachekea?

Mnataka mfanye dharau zenu dhidi ya mamlaka ya urais ili mjione kuwa wapinzani?

My take: Someni ibara ya 37 ya katiba ya JMT.
Kuna watu ni wapumbavu Sana nchi hii[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom