Asiyehojiwa kivipi? Kwani bunge kazi yake nini? Mahakamma?Ndiyo maana tunataka katiba mpya . Hatuwezi kuwa na Rais (kiongozi) asiyehojiwa maamuzi yake. Hapo tunakuwa na mungumutu na si kiongozi.
Tumeshuhudia mataifa yaliofanya vizuri ki uchumi na ki democracy ni yale ambayo kiongozi anawajibika kwa wananchi wake . Si u mungumutu
Tatizo sio mchengerwa tu, tatizo kubwa ni huyo diwani hiyo nafasi ya DGIS imempwaya, jukumu lake ni kumlinda rais hakutakiwa kuruhusu hii interviwe iwekwe hewani, na kama rais angelazimisha iwekwe hewani basi ilitakiwa diwani ajiuzuru ila asikubali kabisa haya mambo yanatokea ... kuna shida kubwa sana ndani ya idara yetu ya usalama wa taifaMchengerwa ni mkwe .....sasa kazi zitaenda hapo
Kwa katiba hii ya 1977 inayopingwa. Mihimili mingine hiyo ulioitaja ziko chini ya Rais . Na ana maamuzi ya nani aviongoze . Huo si uongozi bali u dictator na umungumutu tunaoukataaAsiyehojiwa kivipi? Kwani bunge kazi yake nini? Mahakamma?
Yaani hutaki madhaifu yake yaonekane ?!. Tanzania imejaaliwa wananchi wa ajabu sana !!Tatizo sio mchengerwa tu, tatizo kubwa ni huyo diwani hiyo nafasi ya DGIS imempwaya, jukumu lake ni kumlinda rais hakutakiwa kuruhusu hii interviwe iwekwe hewani, na kama rais angelazimisha iwekwe hewani basi ilitakiwa diwani ajiuzuru ila asikubali kabisa haya mambo yanatokea ... kuna shida kubwa sana ndani ya idara yetu ya usalama wa taifa
Sema weweBwa mdogo umeishia la ngapi?
Kila mtu ana madhaifu, ila usalama wa taifa unatakiwa ufiche hayo madhaifu ya rais, ndio kazi yao kumlinda raisYaani hutaki madhaifu yake yaonekane ?!. Tanzania imejaaliwa wananchi wa ajabu sana !!
Kazi ipo kuna ma legendary hawataki mmakunduchi run Tanzania imetokea ajali sawa ila mwisho 2025 asivuke ni upuuzi wa karne wanasiasa chezeni karata huyo apumzike hakujipanga na hakuandaliwa aliwekwa kama bosheni tuuuuTatizo sio mchengerwa tu, tatizo kubwa ni huyo diwani hiyo nafasi ya DGIS imempwaya, jukumu lake ni kumlinda rais hakutakiwa kuruhusu hii interviwe iwekwe hewani, na kama rais angelazimisha iwekwe hewani basi ilitakiwa diwani ajiuzuru ila asikubali kabisa haya mambo yanatokea ... kuna shida kubwa sana ndani ya idara yetu ya usalama wa taifa
Kuna watu ni wapumbavu Sana nchi hii[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania?
Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau.
Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka nini? Awe anawachekea?
Mnataka mfanye dharau zenu dhidi ya mamlaka ya urais ili mjione kuwa wapinzani?
My take: Someni ibara ya 37 ya katiba ya JMT.