Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Nani kasema?Kwani polisi wapo juu ya sheria?
Chawene's voice "police msibambikizie watu kesi"Nani kasema?
Mwambie aache sheria ifuate mkondo.Chawene's voice "police msibambikizie watu kesi"
tindo habari ya kuiba kura inatoka wapi?Alipoingia madarakani mama Samia alisema zaidi ya watu 147 wamebambikiwa kesi. Pata picha. Ni hivi ni vyema ukadai katiba mpya ili huu utoto ukome, ama kama unaona katiba mpya itawanyima nafasi ya kuiba kura, basi shauri vyombo vya usalama vipunguze wazee wenye mbinu so outdated. Hizo mbinu za kubambikia wapinzani ugaidi, zilifanikiwa enzi za Mahita karne iliyopita.Sasa hivi kinachoendelea ni utoto wa hali ya juu. Wananchi wanavidharau hivyo vyombo vya dola maana vinafanya utoto wa hali ya juu, kwa kutumiwa kwenye siasa na chama kilichozeeka.
tindo habari ya kuiba kura inatoka wapi?
Suala la kubambikia kesi usilihusishe ili kutetea makosa ya Mbowe.
Pia kutishia kuwanyoa viongozi kwa wembeπππππUhuru wa maoni ni pamoja na uhuru wa kueleza ujinga.
Huyohuyo kiongozi akisema tukimwagiza askari apige risasi tatu hiyo siyo askari.Huyo ana tofauti gani na kauli ya wembepia kutishia kuwanyoa viongozi kwa wembeπππππ
Unazungumza sheria?Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Kwani umekwisha soma wapi au nani anapinga sheria isichukue mkondo wake katika swala la Mbowe na ugaidi?Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Sheria ipi polisi wametumia kumteka hotelini saa nane usiku na kukaa naye siku mbili bila kuliambia taifaHuku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Vipi kama Mbowe naye anabambikiwa?tindo habari ya kuiba kura inatoka wapi?
Suala la kubambikia kesi usilihusishe ili kutetea makosa ya Mbowe.
We unafuatilia mambo yanavyoenda?Kwani umekwisha soma wapi au nani anapinga sheria isichukue mkondo wake katika swala la Mbowe na ugaidi?
Wewe unayefuatilia, Mbowe kishaonekana kafanya "uovu"?We unafuatilia mambo yanavyoenda?
Maswali ya kipuuzi usiulize wenye akili.Wewe unayefuatilia, Mbowe kishaonekana kafanya "uovu"?