KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mpuuzi siku zote hujitetea ana akili, kumbe ni mtupu kichwani kama ulivyo, na unavyozidi kujitambulisha humu JF.Maswali ya kipuuzi usiulize wenye akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi siku zote hujitetea ana akili, kumbe ni mtupu kichwani kama ulivyo, na unavyozidi kujitambulisha humu JF.Maswali ya kipuuzi usiulize wenye akili.
Sawa, kaa kimya.Mpuuzi sikuzote hujitetea ana akili, kumbe ni mtupu kichwani kama ulivyo, na unavyozidi kujitambulisha humu JF.
Nini maana ya 'rule of law'?Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Law governs.Nini maana ya 'rule of law'?
Ukiona mwenzio ananyolewa tia maji zako kiwembe kinakujaHuku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Kwa hiyo yeye anamiliki polisi, nyinyi mnamiliki wembe😀😀😀😀Huyohuyo kiongozi akisema tukimwagiza askari apige risasi tatu hiyo siyo askari.Huyo ana tofauti gani na kauli ya wembe
Nimeghaili. Naona mjadala hutauweza.Law governs.
EeenHeee!Kaa kimya, nakujua vizuri empty minded person. Usitafute kujifanya una akili timamu.
Sawa.Nimegaili. Naona mjadala hutauweza.
Ni uovu gani ako nao mbewe? acha ujinga dogo!Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Usifikiri watu wote ni wajinga Kama wewe!! Unaewaza kwa kutumia makalio!! Watu wanajua kinachoendelea, ficha kidogo ushamba wako!Nani kasema?
Usisahau pia, wanasema polisi walikuwa wakimfuatilia nyendo zake, lakini hawakuwa tayari kwenda kumsachi, hadi alipotorokea kwenda kujificha kwenye kongamano Mwanza, ndipo wakamwona na kmdaka hapo hapo!Hizi sheria hazitumiki fisiemu.....maana tunawaona na wao wakiitisha mikutano na hatujawahi kushuhudia wakienda kusachiwa kwenye makazi yao na baadaye kuletewa madai ya ugaidi. Hebu tupe connection ya kongamano la katiba mpya, kwenda kusachiwa nyumbani na baadaye kutuhumiwa ugaidi, labda mwenzetu upo jikoni...
Ni kama wewe ndiye refa wa hiyo vita, utaamua ni nani mshindi na katika wakati gani!kwa hiyo yeye anamiliki polisi , nyinyi mnamiliki wembe😀😀😀😀
Sasa mwenzenu anatumia silaha yake(polisi) kuwasurubu na ninyi mnasubiri nini kuanza kuitumia silaha yenu?
Wewe ni mgeni na mambo yanayotendeka nchi hii. Hata mtoto mdogo anajua kwamba amebambikiwa kesi. Kuitwa “gaidi” aisee hapana hata kidogo. Wangetafuta hata kosa lingine. Hii itawatesa sana polisi maana dunia nzima wanajua hilo.Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mharifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Kosa la ugaidi ni kubwa sana, unakamatwa popote, muda wowote na wanaweza kukaa na wewe muda wowote bila kukupeleka mahakamani. Tena walimuhurumia, nchi nyingine kosa kama hilo order ya kukamatwa kwako inakuwa ni "Shoot to kill".Sheria ipi polisi wametumia kumteka hotelini saa nane usiku na kukaa naye siku mbili bila kuliambia taifa
Duh! Mbowe kawapa upofu wa ubongo wafuasi wake! Babu Seya alipohukumiwa tulimuona akiwafilimba wale watoto?Wewe unayefuatilia, Mbowe kishaonekana kafanya "uovu"?
Uzuri unajulikana kuwa ni debe tupu.EeenHeee!
Eti "empty minded" unaelewa maana yake?
"akili timamu" na "empty minded" wapi na wapi? Hili nalo unataka tumtafute kilaza ni nani?
Mbowe alifanya movement yake ya CDM digital, aliguswa na mtu? Hadi akawasifia polisi na Samia. Alipoona hajaguswa na kukosa kiki ya kuonesha tz hamna uhuru na demokrasia akaamua aanzishe movement nyingine haraka haraka, na alilifanya hili akitafuta njia wakamatwe ili waitangaze tz vibaya, mtu kama Mbowe si wa kuchekea.Hizi sheria hazitumiki fisiemu.....maana tunawaona na wao wakiitisha mikutano na hatujawahi kushuhudia wakienda kusachiwa kwenye makazi yao na baadaye kuletewa madai ya ugaidi. Hebu tupe connection ya kongamano la katiba mpya, kwenda kusachiwa nyumbani na baadaye kutuhumiwa ugaidi, labda mwenzetu upo jikoni...