Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

Itungwe pia sheria kwamba hakuna "DPP hana nia ya kuendelea na kesi"

Kila anayeshitakiwa akishinda, alipwe fidia kwa muda wake na athari nyingine; tena zitoke kwenye mishahara ya hao state attorneys, tuone kama hawatakuwa na adabu.
 
Alipoingia madarakani mama Samia alisema zaidi ya watu 147 wamebambikiwa kesi. Pata picha. Ni hivi ni vyema ukadai katiba mpya ili huu utoto ukome, ama kama unaona katiba mpya itawanyima nafasi ya kuiba kura, basi shauri vyombo vya usalama vipunguze wazee wenye mbinu so outdated.

Hizo mbinu za kubambikia wapinzani ugaidi, zilifanikiwa enzi za Mahita karne iliyopita.Sasa hivi kinachoendelea ni utoto wa hali ya juu. Wananchi wanavidharau hivyo vyombo vya dola maana vinafanya utoto wa hali ya juu, kwa kutumiwa kwenye siasa na chama kilichozeeka.
Mbowe kalitafuta mwenyewe ulalamika nini wakati kasema wazi anaenda Mwanza kama polisi wana uwezo waanze kumkamata yeye pia kasema hataki dhamana sisi utaka polisi wambebeleze?
 
siku hizi cdm hata wakikosea hawataki kukamatwa, na wameshikilia hilo kama ndio ngao, ukiwakamata tu wanasema siasa, na kwasababu hiyo wanatumia kivuli hicho kufanya maovu mengi tu, na dharau juu.
Kinachokera ni baadae DPP kuja kusema sina nia ya kuendelea na kesi.... Uamsho wamekaa mahabusu miaka 7, kwanini walishitakiwa? kwa sababu gani wameachiwa?
 
Mbowe kalitafuta mwenyewe ulalamika nini wakati kasema wazi anaenda Mwanza kama polisi wana uwezo waanze kumkamata yeye pia kasema hataki dhamana sisi utaka polisi wambebeleze?
Hii inahusiana vipi na ugaidi?
 
Kinachokera ni baadae DPP kuja kusema sina nia ya kuendelea na kesi.... Uamsho wamekaa mahabusu miaka 7, kwanini walishitakiwa? kwa sababu gani wameachiwa?
hata akisema hivyo lakini mtu ameshanyooshwa, dawa ya mtoto asiye na adabu wakati mwingine ni kumchapa na kumnyima kumnunulia nguo au zawadi hadi adabu irudi, ikirudi unamkumbatia na maisha yanaendelea.
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Sabaya ni tuksa kukosea na kuaminisha uma kuwa ni mhalifu ilq kwa mbowe haiwezekani kuwa mhalifu...
Suspect wa ugaidi lazima afikishwe mbele ya vyombo vya dola...
 
Wanasemaga wanawake wana ukatili kuliko shetani

Haya sasa tujipe muda tuone yajayo
 
Mbowe akiachana na ugaidi akafuata sheria kufanya siasa atakuwa sehemu ya usalama wa nchi. Mwambieni mabeberu wanaomsapoti kufanya ugaidi watampoteza. Aachane na ugaidi
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Naunga mkono hoja kabisaaa.

Tz yenye Mamilion ya watu ka mtu kamoja tuu katufanye tuwe bize mitandaoni.

Tz yetu haina mtu muhimu bhanaaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
hata akisema hivyo lakini mtu ameshanyooshwa, dawa ya mtoto asiye na adabu wakati mwingine ni kumchapa na kumnyima kumnunulia nguo au zawadi hadi adabu irudi, ikirudi unamkumbatia na maisha yanaendelea.
Hizi mbinu Tanzania sio wa kwanza kujaribu. Na wote waliofanya kabla waliishia kufeli tu.
 
Alipoingia madarakani mama Samia alisema zaidi ya watu 147 wamebambikiwa kesi. Pata picha. Ni hivi ni vyema ukadai katiba mpya ili huu utoto ukome...

Ni ibara gani ya Katiba ya sasa inayosema police rukhsa kubambikia mtu kesi?
 
Nimekuja kwa speed nione objectively makosa labda umeorodhesha

Blaza huna lolote

Mbowe hajafanya kosa lolote....Kosa la Kudai Katiba Mpya sio kosa

Na ugaidi ni story za alinacha everybody know!

Acheni ungese huu

Logical thinking pale Ufipa mara nyingi ni changamoto kubwa! Hata TLS, tangu waanze kupata viongozi wa aina ya Tundu Lissu na Fatma Karume, nao wamekuwa na hii changamoto; wamepoteza kabisa mwelekeo wa kitaaluma.

Hivi ikitokea, kwa mfano, mtu fulani anayefuatiliwa na police kwa tuhuma za ujambazi, akakamatiwa KIA wakati akijiandaa kupanda ndege kwenda Zanzibar, huyo mtu atakuwa amekamatwa kwa kosa la kujaribu kupanda ndege kwenda Zanzibar?
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Kumbuka ya rwakatare
Kumbuka visu na majambia ya mahita
 
Nguvu ya ushawishi CCM imepotea, kilichobaki ni nguvu ya jeshi kidhibiti mawazo mbadala
 
Back
Top Bottom