Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

Serikali ya CCM inabambikizia wapinzani kesi - hili hata halina mjadala. Mbowe kosa lake ni kuhamasisha watu kudai KATIBA MPYA wakati CCM si ajenda yao kabisa.

Kwa mfano leo akiwa huko huko gelezani akisema ameachana na hiyo kitu kabisa - DPP anafuta kesi bila masharti yoyote yale leo mchana.
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Good law and a free judiciary are the pillars of rule of kaw
 
Tuhuma ya polis kubambikiza watu kesi haijakaa vizuri kiukweli.Mbowe kwa Nini kesi apewe Leo tangu mwaka Jana?
 
Mkuu

Yaani hawa wajinga wanadhani kwavile wana madaraka then wana own wisdom.

Kashikwa Mbowe na kupewa makosa ya kutunga,therefore hapa Tanzania anyone can be abducted and be falsely charged kwa charges zozote wanazojisikia,hivyo hakuna mwanadamu yeyote Tanzania hii yupo salama kwa lolote

Yaani bado Tanzania tupo mashimoni

Hii hali ndio maana hatuitaki,tunataka Katiba Mpya kuondoa huu upumbavu!

Mkuu, kuamini kwamba you know everything that Mbowe does or doesn’t do is a delusion. Hata mke wake hajui baadhi ya vitu. Subiri waliomkamata wawasilishe ushahidi na hoja zao (na yeye afanye utetezi wake) mahakamani. Mbivu na mbichi tutazijua, sooner or later!
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Mbowe amefanya uhalifu gani?
 
Tuhuma ya polis kubambikiza watu kesi haijakaa vizuri kiukweli.Mbowe kwa Nini kesi apewe Leo tangu mwaka Jana?

When you commit a crime, the mere passage of time cures nothing!

Hujasikia habari za vigogo wa Marekani ambao wameburuzwa mahakamani (na kupatikana na hatia) kwa makosa waliyoyatenda miongo kadhaa iliyopita?
 
Acheni usenge

Kadanganyeni watoto huko.....

Mbowe anajua siasa than all of you put together hana shida ya kutumia ugaidi kumsaidia lolote

Sasa mnawageuza opposition ni magaidi sasa ndio watakua magaidi kweli kweli

Jipangeni nchi nzima

Kuna siku na nyie maaskari au viongozi wenu watakufa...

Mnageuza watu kutoka kua wapinzani halali wa nchi kwenda kua magaidi wa kweli....

Mnajitafutia matatizo wenyewe kwa kujifanya mnajua kuonea watu sana
"Mbowe anajua siasa than all of you put together" hapa ndipo kwenye mzizi wa tatizo huko Chadema.
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Mmeirudisha nchi nyuma sana Mr chagu wa malunde . Na ndiyo maana hizo kesi siku zote zimeshindwa mahakamani . Isipokuwa ni kuwapotezea watu muda na rasilimali fedha.

Kabla hajahojiwa na wahariri mambo yalienda sawa. Kosa ni pale alipoulizwa swala la katiba mpya. UNAFIKI ukaanzia pale na lugha za kujenga uchumi. Mbaya zaidi alipofika morogoro akatumia neno lililosababisha hii kamata kamata (CHOKOCHOKO) . Na Leo nchi imerudia u dictator as usual.

Haina faida kwake wala kwa Ccm kutanya uhuni huu. Mbowe siku zote amekuepo hapo Dar na ugaidi haukuepo. Leo kuonekana kupingana na serikali juu msimamo wa katiba mpya kawa GAIDI !!.

Aibu kama hamuwezi kujibu hoja kwa hoja . Ni kukimbilia kubambika kesi !!
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Mtu mmoja anawezaje kupanga ugaidi? au Kuna kundi alilokuwa anashilikiana nao!
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Ivi kuna ugaidi mbaya na ugaidi mzuri, mfano Julius alivyojitoa muhanga na wazee wa pwani ule ni ugaidi wa kundi gani nyie wajuaji. nakuonea haya sana.
 
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.

Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.

Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.

My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Kama hana makosa?
 
Kila binadamu anakuwa na sura tatu,

Kwa ajili ya matumizi ya uma,

Kwa ajili ya matumizi ya familia na watu wake wa karibu.

Kwa ajili ya matumizi ya siri.

Sasa hapa unaweza ukamdefine mtu kutokana na access katika makundi hayo matatu.
 
Acheni usenge

Kadanganyeni watoto huko.....

Mbowe anajua siasa than all of you put together hana shida ya kutumia ugaidi kumsaidia lolote

Sasa mnawageuza opposition ni magaidi sasa ndio watakua magaidi kweli kweli

Jipangeni nchi nzima

Kuna siku na nyie maaskari au viongozi wenu watakufa...

Mnageuza watu kutoka kua wapinzani halali wa nchi kwenda kua magaidi wa kweli....

Mnajitafutia matatizo wenyewe kwa kujifanya mnajua kuonea watu sana

When your delusions fade away, you’ll come to your senses, but it may be too late!
 
Blah blah blah

Madai ua ugaidi ni uongo na ya kisenge,thats a FACT!

No one will ever believe this nonsense you are peddling!

Yaani mnadhani Watanzania ni watoto mnaweza danganya anytime?

Get the fvck outta here!

The governing legal principle is simple. Mbowe is presumed innocent until proven guilty. The job of proving him guilty is neither mine nor yours.

Obviously, you have outsourced your brain function to another person. So, you may want to steer clear of anything that involves some thinking!
 
Back
Top Bottom