MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Mbowe kalitafuta mwenyewe ulalamika nini wakati kasema wazi anaenda Mwanza kama polisi wana uwezo waanze kumkamata yeye pia kasema hataki dhamana sisi utaka polisi wambebeleze?Alipoingia madarakani mama Samia alisema zaidi ya watu 147 wamebambikiwa kesi. Pata picha. Ni hivi ni vyema ukadai katiba mpya ili huu utoto ukome, ama kama unaona katiba mpya itawanyima nafasi ya kuiba kura, basi shauri vyombo vya usalama vipunguze wazee wenye mbinu so outdated.
Hizo mbinu za kubambikia wapinzani ugaidi, zilifanikiwa enzi za Mahita karne iliyopita.Sasa hivi kinachoendelea ni utoto wa hali ya juu. Wananchi wanavidharau hivyo vyombo vya dola maana vinafanya utoto wa hali ya juu, kwa kutumiwa kwenye siasa na chama kilichozeeka.
Kinachokera ni baadae DPP kuja kusema sina nia ya kuendelea na kesi.... Uamsho wamekaa mahabusu miaka 7, kwanini walishitakiwa? kwa sababu gani wameachiwa?siku hizi cdm hata wakikosea hawataki kukamatwa, na wameshikilia hilo kama ndio ngao, ukiwakamata tu wanasema siasa, na kwasababu hiyo wanatumia kivuli hicho kufanya maovu mengi tu, na dharau juu.
Hii inahusiana vipi na ugaidi?Mbowe kalitafuta mwenyewe ulalamika nini wakati kasema wazi anaenda Mwanza kama polisi wana uwezo waanze kumkamata yeye pia kasema hataki dhamana sisi utaka polisi wambebeleze?
Kaiulize mahakama.Hii inahusiana vipi na ugaidi?
Asalam AleikumKaiulize mahakama.
Ndio huo mnaoupigania.Uhuru wa maoni ni pamoja na uhuru wa kueleza ujinga.
hata akisema hivyo lakini mtu ameshanyooshwa, dawa ya mtoto asiye na adabu wakati mwingine ni kumchapa na kumnyima kumnunulia nguo au zawadi hadi adabu irudi, ikirudi unamkumbatia na maisha yanaendelea.Kinachokera ni baadae DPP kuja kusema sina nia ya kuendelea na kesi.... Uamsho wamekaa mahabusu miaka 7, kwanini walishitakiwa? kwa sababu gani wameachiwa?
Sabaya ni tuksa kukosea na kuaminisha uma kuwa ni mhalifu ilq kwa mbowe haiwezekani kuwa mhalifu...Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Sasa mbona mnapinga wenzenu wakiongea 'ujinga'...Uhuru wa maoni ni pamoja na uhuru wa kueleza ujinga.
Naunga mkono hoja kabisaaa.Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Hizi mbinu Tanzania sio wa kwanza kujaribu. Na wote waliofanya kabla waliishia kufeli tu.hata akisema hivyo lakini mtu ameshanyooshwa, dawa ya mtoto asiye na adabu wakati mwingine ni kumchapa na kumnyima kumnunulia nguo au zawadi hadi adabu irudi, ikirudi unamkumbatia na maisha yanaendelea.
Alipoingia madarakani mama Samia alisema zaidi ya watu 147 wamebambikiwa kesi. Pata picha. Ni hivi ni vyema ukadai katiba mpya ili huu utoto ukome...
Nimekuja kwa speed nione objectively makosa labda umeorodhesha
Blaza huna lolote
Mbowe hajafanya kosa lolote....Kosa la Kudai Katiba Mpya sio kosa
Na ugaidi ni story za alinacha everybody know!
Acheni ungese huu
Kumbuka ya rwakatareHuku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku anatenda uhalifu. Tuache sheria ufuate mkondo na kama ana hatia au hana tutafahamu.
My take: Rule of law means that the law governs a nation.
Ndo maana mkapeleka wapuuzi wa chama cha ccm pale millennium towers. Wajinga nyieSawa, kaa kimya.