Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

Serikali ya CCM inabambikizia wapinzani kesi - hili hata halina mjadala. Mbowe kosa lake ni kuhamasisha watu kudai KATIBA MPYA wakati CCM si ajenda yao kabisa.

Kwa mfano leo akiwa huko huko gelezani akisema ameachana na hiyo kitu kabisa - DPP anafuta kesi bila masharti yoyote yale leo mchana.
 
Good law and a free judiciary are the pillars of rule of kaw
 
Tuhuma ya polis kubambikiza watu kesi haijakaa vizuri kiukweli.Mbowe kwa Nini kesi apewe Leo tangu mwaka Jana?
 

Mkuu, kuamini kwamba you know everything that Mbowe does or doesn’t do is a delusion. Hata mke wake hajui baadhi ya vitu. Subiri waliomkamata wawasilishe ushahidi na hoja zao (na yeye afanye utetezi wake) mahakamani. Mbivu na mbichi tutazijua, sooner or later!
 
Mbowe amefanya uhalifu gani?
 
Tuhuma ya polis kubambikiza watu kesi haijakaa vizuri kiukweli.Mbowe kwa Nini kesi apewe Leo tangu mwaka Jana?

When you commit a crime, the mere passage of time cures nothing!

Hujasikia habari za vigogo wa Marekani ambao wameburuzwa mahakamani (na kupatikana na hatia) kwa makosa waliyoyatenda miongo kadhaa iliyopita?
 
"Mbowe anajua siasa than all of you put together" hapa ndipo kwenye mzizi wa tatizo huko Chadema.
 
Mmeirudisha nchi nyuma sana Mr chagu wa malunde . Na ndiyo maana hizo kesi siku zote zimeshindwa mahakamani . Isipokuwa ni kuwapotezea watu muda na rasilimali fedha.

Kabla hajahojiwa na wahariri mambo yalienda sawa. Kosa ni pale alipoulizwa swala la katiba mpya. UNAFIKI ukaanzia pale na lugha za kujenga uchumi. Mbaya zaidi alipofika morogoro akatumia neno lililosababisha hii kamata kamata (CHOKOCHOKO) . Na Leo nchi imerudia u dictator as usual.

Haina faida kwake wala kwa Ccm kutanya uhuni huu. Mbowe siku zote amekuepo hapo Dar na ugaidi haukuepo. Leo kuonekana kupingana na serikali juu msimamo wa katiba mpya kawa GAIDI !!.

Aibu kama hamuwezi kujibu hoja kwa hoja . Ni kukimbilia kubambika kesi !!
 
Mtu mmoja anawezaje kupanga ugaidi? au Kuna kundi alilokuwa anashilikiana nao!
 
Ivi kuna ugaidi mbaya na ugaidi mzuri, mfano Julius alivyojitoa muhanga na wazee wa pwani ule ni ugaidi wa kundi gani nyie wajuaji. nakuonea haya sana.
 
Kama hana makosa?
 
Kila binadamu anakuwa na sura tatu,

Kwa ajili ya matumizi ya uma,

Kwa ajili ya matumizi ya familia na watu wake wa karibu.

Kwa ajili ya matumizi ya siri.

Sasa hapa unaweza ukamdefine mtu kutokana na access katika makundi hayo matatu.
 

When your delusions fade away, you’ll come to your senses, but it may be too late!
 
Blah blah blah

Madai ua ugaidi ni uongo na ya kisenge,thats a FACT!

No one will ever believe this nonsense you are peddling!

Yaani mnadhani Watanzania ni watoto mnaweza danganya anytime?

Get the fvck outta here!

The governing legal principle is simple. Mbowe is presumed innocent until proven guilty. The job of proving him guilty is neither mine nor yours.

Obviously, you have outsourced your brain function to another person. So, you may want to steer clear of anything that involves some thinking!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…