Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
The wall [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The wall [emoji16]
Hawa ndio mademu wa kuwa nao huu mwaka tasa unakula mbususu na mimba ya fastaHii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)
Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.
Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).
Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.
Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
Hao ladies wa type hio wana Upweke wa Kutisha sana, Ila never trust them kwa kweli Wanawake ni Viumbe ambayo huonekana vyema vikikosa vitu mimi pia along the line nimeet na wa type hio High Profile wafanya Biashara na waliopo kwenye Corporates mbalimbali, Ila Kuweka ndani wa namna hio inatakiwa ujipange mentally kwani mwanaume ki asili ni Mtawala ivo Kwenye kufanya General Decision za Familia tegemea kuwa Challenged na Ndio wengi unakuta wanawakwepa watu wa namna hio lakini sio wote wako na Akili ya ivoKuna kipindi cha nyuma nina mwanangu mmoja ana demu anamfahamu yupo kwenye haya mashirika ya kimataifa akataka ni pigia cross dongo ni kamwambia mimi sasa sina time na demu yoyote kwani kuna demu alini vuruga ni kaamua ni focus na issues zangu.
Mwaka jana kuna mwengine kutoka kampuni kubwa ya kimataifa ya Telecom,kuna shemeji yangu mmoja anatamani ni niwe naye wake WiFi yake anamjua.
Kinachotufanya tuwe head of the household ni kwasababu mwanaume kwenye kila society alitengenezwa kuwa provider na protector (Hii iikamfanya automatically kuwa family CEO, mama akawa deputy CEO), mwanamke akafanywa kuwa comforter; nowadays wanawake wamekwenda shule na wanapata pesa na wanafanya yote ambayo wanaume wanaweza plus comforting trait (na yeye automatically akawa CEO), that's problems zilipoanzia....We know hakuna ofisi yenye CEO wawili.Mara nyingi wanaume tunaogopa wanawake 'smart' kwa kukimbia challenges zao pale tunapotaka kufanya maamuzi.
Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wengi tunataka tukiamua jambo la kifamilia tufanye bila kuulizwa!! Wanawake hao hawawezi kukaa kimya, ugomvi unaanzia hapo!!
Kiongozi,kutokuwa submissive haimaanishi huyo mwanamke ni toxic....Yap ni KWELI ila wanawake wenye ela wanakuwa toxic woman sio submissive woman Kwa mwanmke kuwa na kipato na kipato lakini uwe submissive woman ukiwa toxic woman kamwe uwezi kupata mwananume sahihi utapata marioo sio msanii yaan marioo wakulelewa good man hawezi kuwa na toxic woman
Yaani ukikutana binti wa kisomi ambayo hana time na maswala ya kiimani na mila na desturi zetu zilizo bora kwa sisi Africa, jua kabisa hapo hamna mke. Kwani wanaamini maswala ya kiimani na tamaduni za Kiafrika zina wapendela wanaume.Hao ladies wa type hio wana Upweke wa Kutisha sana, Ila never trust them kwa kweli Wanawake ni Viumbe ambayo huonekana vyema vikikosa vitu mimi pia along the line nimeet na wa type hio High Profile wafanya Biashara na waliopo kwenye Corporates mbalimbali, Ila Kuweka ndani wa namna hio inatakiwa ujipange mentally kwani mwanaume ki asili ni Mtawala ivo Kwenye kufanya General Decision za Familia tegemea kuwa Challenged na Ndio wengi unakuta wanawakwepa watu wa namna hio lakini sio wote wako na Akili ya ivo
Kama kale kadada Meghan Markle kamemfanya mwamba Harry amekua fala na ndio role model wao.Yaani ukikutana binti wa kisomi ambayo hana time na maswala ya kiimani na mila na desturi zetu zilizo bora kwa sisi Africa, jua kabisa hapo hamna mke. Kwani wanaamini maswala ya kiimani na tamaduni za Kiafrika zina wapendela wanaume.
Wengi wao marole model wao ni wale macelebribty wa Hollywood na Ophrah,so huwaambii chochote.
Ila ukikuta na binti wa kisomi ambayo Mungu anamjua na anayejua mila na desturi za kiafrika, hiyo lzima tatadumu kwenye ndoa.
Sio kwamba huyo dada ni wewe mwenyewe, sasa umeamua kuweka kibao cha Ice cream zinapatikana hapa.Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)
Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.
Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).
Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.
Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
Wanaume wa kiafrika tunataka wanawake wanyonge ambao wanatii. Hao wanawake watata ni ma feminist. Na wengine ni masupastar wa kwenye movies,series na Netflix 😂😂. Na sio maisha halisi. Ile ni script watu wanaigiza. Sasa wadada wanataka yawe maisha halisiWanawake wa namna hio kuna aina mbili. Ambao ni naturally submissive na wengine ni control freaks.
Ubaya ni kwamba wanawake wote wanakuwaga very humble wakiwa wanatafta kitu flani. Ata pretend she is the best thing ever happened in this world ila wanaume ndio wanamu abuse.
If you buy her pathetic lies ndio utakuja kujua hujui. Thus why wengi ndoa zinawashinda. Ana fantasize maisha ya kuwa mke wa mtu ila in real sense hajui what it takes to be a wife. Kama ni control freak hawezi take orders toka kwako mtakuwa mnalumbana each now and then over trivial matters.
Submissive type mnaweza kufika mbali sababu pamoja na resources alizonazo she thinks that you can lead her better hivyo atakufanya centre of the stage katika kila jambo lake.
Hata mimi nimewaza hivyo. Inawezakana ni demu anajifanya mwanaume ili awachote watu. 😂😂😂Sio kwamba huyo dada ni wewe mwenyewe, sasa umeamua kuweka kibao cha Ice cream zinapatikana hapa.
😂😂😂😂Sio kwamba huyo dada ni wewe mwenyewe, sasa umeamua kuweka kibao cha Ice cream zinapatikana hapa.
Yeah but kuwa submissive sio unyonge. Hilo neno unyonge linatumika ila kutengeneza a sense of torment. Mtu ajiskie vibaya kwa kuwa humble to her partner in the name of submissiveness kana kwamba anapelekeshwa tu. Hell No!!!Wanaume wa kiafrika tunataka wanawake wanyonge ambao wanatii. Hao wanawake watata ni ma feminist. Na wengine ni masupastar wa kwenye movies,series na Netflix 😂😂. Na sio maisha halisi. Ile ni script watu wanaigiza. Sasa wadada wanataka yawe maisha halisi
Umefikiria nini kuandika hivyo?Sio kwamba huyo dada ni wewe mwenyewe, sasa umeamua kuweka kibao cha Ice cream zinapatikana hapa.