Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,247
- 1,815
Uko sahihi.Kabisa kabisa binadamu haswa chenye jinsia "ke" kikikosa kitu Fulani unaweza kusema ni malaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.Kabisa kabisa binadamu haswa chenye jinsia "ke" kikikosa kitu Fulani unaweza kusema ni malaika
Kinachotufanya tuwe head of the household ni kwasababu mwanaume kwenye kila society alitengenezwa kuwa provider na protector (Hii iikamfanya automatically kuwa family CEO, mama akawa deputy CEO), mwanamke akafanywa kuwa comforter; nowadays wanawake wamekwenda shule na wanapata pesa na wanafanya yote ambayo wanaume wanaweza plus comforting trait (na yeye automatically akawa CEO), that's problems zilipoanzia....We know hakuna ofisi yenye CEO wawili.
Umejibiwa fresh hapo namwana Extrovert . Kwasababu mwanaume ni provider na halipingiki hata mwanamke hata awe tajiri vipi lazima atakuambia wewe ni provider ila ninaweza badilisha hilo neno kuwa mwanaume ni mtumwa kwa mwanamke, je utakubali? Maana si lazima ahakikishe anamtimizia mwanamke mahitaji yake. Earning it, hilo neno utalitumia kwa wafanyakazi wako au marafiki hata ndugu ila kama mwanaume angemfanya mwanamke aearn the love he should provide to her basi mara 100 wanawake wengi wasingeweza. Ndio maana nasisitiza chingeni mabinti zenu maana agenda wanayoipush miaka hii ina too much consequences. Every coin has two sides, gamble wisely.
Mwanamke huwa ni muigizaji mzuri sana anapokuwa anauhitaji na kitu ila akishapata. Mkazoeana utaona kila rangi, huko anapofanya kazi, kwenye nyumba za ibada, anapoishi, anapotembea n.k hajaona watu au wanaume hawajamuona?
Mchunguze vizuri. Mwanamke ni kama pesa, kama hawaiokoti ujue ina shida mahali.
Vita kubwa ni tatuHii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)
Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.
Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).
Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.
Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
Chunga ulimi wako bro, kuna watu wanakuheshimu humu unajua, jifunze kwa waliotangulia kabla yako utapelekwa dawati la jinsia mifano tunayo na tunaishi nayoHonestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.
Basi funga uzi mkuu mstari wa mwisho umetosha kufanya summary ya andiko zima.Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
You can’t satisfy a woman . Most of us tried everything , men now are aware of the cost at a very young age . That women are unthankful . The loyal your the less value you have . Men just want sex , peace and good food . End of . Tell me what women want ?Hiki ulichoongea ndo naona wengi wanashindwa ku grasp! Mwanaume kupata cheo ilitokana na yeye kuwa provider!
Halafu nime notice kwenye hizi battles of the sexes wengi wanaokaa kuponda wanawake hata hawajaoa, au ndoa zao zime fail.
Mtu katoka zake kupiga punyere huko au kulala na dada poa halafu anakaa kwenye kisimu chake kusema wanawake.
Y'all have such an exaggerated sense of importance it's pathetic!
Hutokuta husbands wamekazana kujitia ubabe kwenye comments! Coz they are living it they're not fantasizing about it, wanamiliki mwanamke na watoto in real time!
Kama wewe mwanaume kweli miliki mwanamke atakayekusifu na uendesha familia imara, ndo njia pekee kuthibitisha we kidume.
Otherwise endeleeni na nyeto na porn na kununua dada poa huku mkitema sumu mitandaoni!
At this point of my awareness in life, the only man deserving my Praise, Respect and Admiration is a spiritual man. (Not a religious man!)
Nataka nimuangalie nione aibu like eh mkosefu mimi!
Niseme I will follow you werever you go coz I see God in you.
Yani ukianzisha ibada yako I'll be a loyal follower!
You are an enlightened man!
You are God sent!
You're God's image!
The world needs you!
Sio mtu unakuta kwenye uzi wa madada poa anashusha nondo na connections kama zote halafu anakuja huku kuongelea submission!!!
Au ame subscribe kwenye ule uzi wa picha za wadada and he thinks he deserves special respect coz he has male genitalia!!!
Akifungua instagram yake unaona makalio yamejaa kwenye screen halafu anajifanya haoi akifikiri anakomoa mtoto wa mtu kumbe ni blessing in disguise!!
Au ana zero communication skills
yeye utemi na ukichwa kigumu tu
disturbing the peace with everyone he encounters
no woman is happy with him wanavumilia wapate pesa tu,
na wengine hata wake zenu wamewakimbia,
halafu anaona wanaodumu na wake zao ni mafala.
Mtu anaandika kabisa anataka mwanamke mnyonge!!!
Magonjwa ya akili ni mengi kuna narcissism, psychopaths, sociopaths etc go seek medical help you sadists!
Mlichobaki nacho ni nguvu ya pesa tu ambayo mtaitumia kwa mlala hoi asiyejitambua tu!
In short hizi battles of the sexes huwa naona kama ni spiritual problem (na mental problem).
But naamini kuna grand shift of consciousness inatokea ulimwenguni,
at the moment kuna vurugu na sijui nini kitatokea huko mbele,
but equilibrium itafikiwa tu na vurugu zitaisha!
Halafu niwape siri, nyie ndo wapweke wa kufa mtu ndo maana threads za kuponda wanawake haziishi!
Kama sio wapweke I dare y'all to not talk about women for the rest of your pathetic single lives. Ongeleeni madada poa wenu!
Women are not a singularity there's no answer to that question!You can’t satisfy a woman . Most of us tried everything , men now are aware of the cost at a very young age . That women are unthankful . The loyal your the less value you have . Men just want sex , peace and good food . End of . Tell me what women want ?