Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.

Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)

Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.

Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).

Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.

Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
Rule of nature inasema mwanaume usioe mwanamke aliyekuzidi akili (shule), umri, pesa. Anachotakiwa kukuzidi ni uzuri tu.

Ukienda nje ya hapo lazima uumie. Kwenye hizi Sheria hakuna kuoneana huruma, ukiteleza imekwisha. Wengi Huwa wanaumia kwa kutumia kauli ya "huyu Yuko tofauti"

Tufuate tu kanuni.
 
Yeah but kuwa submissive sio unyonge. Hilo neno unyonge linatumika ila kutengeneza a sense of torment. Mtu ajiskie vibaya kwa kuwa humble to her partner in the name of submissiveness kana kwamba anapelekeshwa tu. Hell No!!!

Submissiveness is all about wiseness, humbleness and understanding character ambayo wanawake wengi wanatakiwa wawe nayo. This is what most men demand.

Kuwa submissive haimaanishi mwanamke kuwa mjumbe ndio. Anatakiwa awe anatoa maoni yake na ushauri kwa mume panapobidi. Mwanaume kama kiongozi hapingwi bali anaongeleshwa kwa lugha ya adabu na utii kiasi kwamba ni rahisi kukubali hoja ya mwanamke wake.
For a woman to submit, should a man earn it or should it be given freely?
 
Hii kauli kuna mwana mmoja wakati na msimuliza hii incident aliongea kitu kama ulicho ongea ww, sometimes dada zetu type hizi wanakuwaga vinyonga hilo na kubali ila kwa huyu naona kuna utofauti.

Ushasema umetamani replacement lazima utasema “kwa huyu yuko tofauti” umemtamani braza [emoji28] ,kuwa makini hawana dhamana.

Umejiuliza why akose mtu kama yuko sawa kila sector!?
Huenda sababu sio usomi kama unavyoona Sheikh!nasisitiza kuwa makini…
 
For a woman to submit, should a man earn it or should it be given freely?
Its a gift of nature bro.

A woman should naturally be submissive to a man. A man naturally dominates a woman. Ukianza kuweka conditions tayari unaharibu a concept of nature.

Ndio inakuja mambo ya ili nimuheshimu lazma awe na utajiri au na kazi nzuri. Thats bogus kind of thinking.

Wenzao vijijini wanaolewa na kuishi na furaha na amani na wanaume wasio na utajiri wowote na wanakuwa super submissive are they stupid!? They are all humans.
 
For a woman to submit, should a man earn it or should it be given freely?
Umejibiwa fresh hapo namwana Extrovert . Kwasababu mwanaume ni provider na halipingiki hata mwanamke hata awe tajiri vipi lazima atakuambia wewe ni provider ila ninaweza badilisha hilo neno kuwa mwanaume ni mtumwa kwa mwanamke, je utakubali? Maana si lazima ahakikishe anamtimizia mwanamke mahitaji yake. Earning it, hilo neno utalitumia kwa wafanyakazi wako au marafiki hata ndugu ila kama mwanaume angemfanya mwanamke aearn the love he should provide to her basi mara 100 wanawake wengi wasingeweza. Ndio maana nasisitiza chingeni mabinti zenu maana agenda wanayoipush miaka hii ina too much consequences. Every coin has two sides, gamble wisely.
 
Mara nyingi wanaume tunaogopa wanawake 'smart' kwa kukimbia challenges zao pale tunapotaka kufanya maamuzi.

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wengi tunataka tukiamua jambo la kifamilia tufanye bila kuulizwa!! Wanawake hao hawawezi kukaa kimya, ugomvi unaanzia hapo!!
Shida ya baadhi ya wanawake akishapata pesa anaanza kuziabudu.
Yeye anapesa aanze kukupikia, kukufulia? Mwanamke akipata kazi chenye hela dharau zinaanza.
Mfano mzuri. Nenda sehemu ya kazi au taasisi umkute mwanamke ndiyo yupo pale ofisini mbona utaona rangi nyingi sana.
 
Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.

Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)

Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.

Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).

Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.

Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
kila mwanamke anastahili mwanaume mwenye akili kuliko yeye, changamoto mwanamke mwenye akili kubwa kupata mwanaume mwenye akili kubwa zaidi, tupo wachache .
 
Siwezi kwanza na hajanivutia kabisa na pili tuna heshimiana.
Mwanamke huwa ni muigizaji mzuri sana anapokuwa anauhitaji na kitu ila akishapata. Mkazoeana utaona kila rangi, huko anapofanya kazi, kwenye nyumba za ibada, anapoishi, anapotembea n.k hajaona watu au wanaume hawajamuona?
Mchunguze vizuri. Mwanamke ni kama pesa, kama hawaiokoti ujue ina shida mahali.
 
Back
Top Bottom