Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

Rule of nature inasema mwanaume usioe mwanamke aliyekuzidi akili (shule), umri, pesa. Anachotakiwa kukuzidi ni uzuri tu.

Ukienda nje ya hapo lazima uumie. Kwenye hizi Sheria hakuna kuoneana huruma, ukiteleza imekwisha. Wengi Huwa wanaumia kwa kutumia kauli ya "huyu Yuko tofauti"

Tufuate tu kanuni.
 
For a woman to submit, should a man earn it or should it be given freely?
 
Hii kauli kuna mwana mmoja wakati na msimuliza hii incident aliongea kitu kama ulicho ongea ww, sometimes dada zetu type hizi wanakuwaga vinyonga hilo na kubali ila kwa huyu naona kuna utofauti.

Ushasema umetamani replacement lazima utasema “kwa huyu yuko tofauti” umemtamani braza [emoji28] ,kuwa makini hawana dhamana.

Umejiuliza why akose mtu kama yuko sawa kila sector!?
Huenda sababu sio usomi kama unavyoona Sheikh!nasisitiza kuwa makini…
 
For a woman to submit, should a man earn it or should it be given freely?
Its a gift of nature bro.

A woman should naturally be submissive to a man. A man naturally dominates a woman. Ukianza kuweka conditions tayari unaharibu a concept of nature.

Ndio inakuja mambo ya ili nimuheshimu lazma awe na utajiri au na kazi nzuri. Thats bogus kind of thinking.

Wenzao vijijini wanaolewa na kuishi na furaha na amani na wanaume wasio na utajiri wowote na wanakuwa super submissive are they stupid!? They are all humans.
 
For a woman to submit, should a man earn it or should it be given freely?
Umejibiwa fresh hapo namwana Extrovert . Kwasababu mwanaume ni provider na halipingiki hata mwanamke hata awe tajiri vipi lazima atakuambia wewe ni provider ila ninaweza badilisha hilo neno kuwa mwanaume ni mtumwa kwa mwanamke, je utakubali? Maana si lazima ahakikishe anamtimizia mwanamke mahitaji yake. Earning it, hilo neno utalitumia kwa wafanyakazi wako au marafiki hata ndugu ila kama mwanaume angemfanya mwanamke aearn the love he should provide to her basi mara 100 wanawake wengi wasingeweza. Ndio maana nasisitiza chingeni mabinti zenu maana agenda wanayoipush miaka hii ina too much consequences. Every coin has two sides, gamble wisely.
 
Shida ya baadhi ya wanawake akishapata pesa anaanza kuziabudu.
Yeye anapesa aanze kukupikia, kukufulia? Mwanamke akipata kazi chenye hela dharau zinaanza.
Mfano mzuri. Nenda sehemu ya kazi au taasisi umkute mwanamke ndiyo yupo pale ofisini mbona utaona rangi nyingi sana.
 
kila mwanamke anastahili mwanaume mwenye akili kuliko yeye, changamoto mwanamke mwenye akili kubwa kupata mwanaume mwenye akili kubwa zaidi, tupo wachache .
 
Siwezi kwanza na hajanivutia kabisa na pili tuna heshimiana.
Mwanamke huwa ni muigizaji mzuri sana anapokuwa anauhitaji na kitu ila akishapata. Mkazoeana utaona kila rangi, huko anapofanya kazi, kwenye nyumba za ibada, anapoishi, anapotembea n.k hajaona watu au wanaume hawajamuona?
Mchunguze vizuri. Mwanamke ni kama pesa, kama hawaiokoti ujue ina shida mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…