Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

Wanaoongoza kuwananga wasioolewa ni wale wenye ndoa zenye migogoro,na stress zisizoisha

Walioko kwenye ndoa zenye amani

Na wenye furaha na maisha yao

Hawana muda wa kusononesha wenzao,na kuwataka wajione kama kuna kitu hakijakamilika kwenye maisha yao.

Ndoa sio kila kitu kwenye maisha!!!.
 
Hata ukiolewa au kuoa nawe utakufa tu
 
Ni kweli,hakuna asiyetamani ndoa..basi vile tu tunajifariji[emoji39]
 
Mi nimeolewa,hatuongoz kwa kufa ila tunaongoza kwa stress na ndoa zetu.Sitoacha kutetea single mothers wala wasichana age 30s ambao bado hawajaolewa coz ndiko nilikotoka na sijaona umuhimu wa ndoa kiukweli.Nimemiss usingle wangu
[emoji15][emoji15]
 
Why mnateswa?? Kwanini msitake taraka muachane kuliko hali za namna hiyo??
Ni kipi kinawafanya mng'ang'anie mahali ambapo hakuna furaha??
 
Wanawake wengi wenye kazi zao hawapendi kuolewa!
Sio kweli kwamba hawapendi ila wana vigezo visivyo na uhalisia. Women marry up i.e they are naturally hypergamous. The higher their education/money the more likely they're going to end up alone. Sio rahisi daktari aolewe na mlinzi hapo hapo hospitali.
Wengi wanaoolewa wana dependence ya aina fulani kwa mwanaume.
When you take away the bullshit and lovey dovey nonsense of young couples, the real reason many relationships last for long is because the man is always in a superior position financially and intellectually compared to the wife. The wife always needs the man financially and intellectually, otherwise she is gone. That is how she sees value in him.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Halafu nimegundua wenye ndoa zenye migogoro ilokithiri ndio wako na hizi swaga. Sasa sijajua inawapa amani ya moyo kidogo au wanakuwa wanaona wenye wako single wanafaidi hivyo waingie huko nao yawakute kidogo au[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Ila all in all hakuna maisha yasiyo na changamoto na siku zote binadamu hutamani asichokuwa nacho. Ila hakuna upumbavu kama kufanya jambo kwasababu ya shinikizo la watu. Just live yo life, be you and do you.
 
Naomba
nikutumie na ya kutolea
 
FACT
 
Mwanamke ambaye umri umeenda na hajaolewa kwangu mimi namuweka kundi moja na mwanaume ambaye umri umeenda na hana ajira, hawa watu kukosa ivyo vitu lazima saikolojikali wasiwe sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…