shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,068
- 3,507
Wanaoongoza kuwananga wasioolewa ni wale wenye ndoa zenye migogoro,na stress zisizoisha
Walioko kwenye ndoa zenye amani
Na wenye furaha na maisha yao
Hawana muda wa kusononesha wenzao,na kuwataka wajione kama kuna kitu hakijakamilika kwenye maisha yao.
Ndoa sio kila kitu kwenye maisha!!!.
Walioko kwenye ndoa zenye amani
Na wenye furaha na maisha yao
Hawana muda wa kusononesha wenzao,na kuwataka wajione kama kuna kitu hakijakamilika kwenye maisha yao.
Ndoa sio kila kitu kwenye maisha!!!.