Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Mkuu siasa ni jambo mtambuka. Hiv unajua kuwa mama samia kawa maarufu wakati wa bunge maalumu la katiba? hivi unajua kuwa Makonda alitamka ndani ya bunge hilo kuwa huyu mama anafaa kuwa VP na bunge likashangilia?
Mama Samia kaanza siasa miaka 5 kabla ya kuzaliwa kwa Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite.
Kwani Bashite alilopoka mambo mangapi? Yote yametimia?
 
Hivi on a serious note, huwa mnataka mama afanye nini?
Ushauri wa kuzingatia gender balance mmempa humu mitandaoni mara nyingi. Sasa kasema amewasikia anaufanyia kazi, mnarudi kinyumenyume tena, mna nini?
 
Tuna mapepo. Subirini Shilole apewe hiyo "gender balance".
 
Sasa mbona kichwa na content haviwiani.
 
Mbowe DC Hai hapo vipi?
 
Na mtashangaa Ole Sabaya atakapoteulia.

Amandla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…