Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona

Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.

Ndugu Watanzania tuwakatae wanasiasa wababaishaji, hawana nia njema na maendeleo ya Taifa letu.
Chama pekee chenye ilani ya kimaendeleo na inayotekelezeka ni

CHAMA Cha MAPINDUZI (CCM).
Kura yenye Faida ni kwa CCM.
 
Mimi linapokuja swala la Kura huwa ni kwa CCM tu sijawahi waamini hao jamaa
 
Bila wizi wa kura uzao wa panya hawatoboi...

1685350129592.png
 
Ushindi wa kura kwa sasa CCM mmeshindwa, mbeleko ya vyombo vya dola tu ndio ngao yenu. Kwa sasa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mkuu SANDUKU la Kura likiwekwa hapo mtaani pako hata sahzi hampiti
 
Yaani wewe Jamaa kwa akili yako umefikilia wee umeona Watanzania ni wajinga kiasi hiki? Kwamba wao hawawezi fikili ila wewee utafanya kwa niaba yao? kama Chama chako kinakomfidence kuwa kinakubalika na hatimae kuchaguliwa ,kwanin Uwizi wa Kura unafanyika?

Kwanini Tume huru ya uchaguzi ni Takwa msilolitaka? Kwanin mawakala wa Chaguzi wa upinzani husweka lumande? Kwanin waMagwanda huvaa mabegi kwenye polling stations?

Mwisho kabsaaa ni kitu gani kinawatisha juu ya Katiba mpya shirikishi katika makundi yote ya jamii? Nani mjinga atakubali maandiko yako We jamaa? Mimi nimekataa kuwa mjinga asilani!
 
😄😄Zile bwana tushatapeliwa
Utapeli upi zaidi ya huu?!!
👇
 
Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona

Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.

Ndugu Watanzania tuwakatae wanasiasa wababaishaji, hawana nia njema na maendeleo ya Taifa letu.
Chama pekee chenye ilani ya kimaendeleo na inayotekelezeka ni

CHAMA Cha MAPINDUZI (CCM).
Kura yenye Faida ni kwa CCM.
Kama ulizaliwa kuanzia mwaka 2000 hadi 2004 utajuaje faida ya upinzani?
 
Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona

Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.

Ndugu Watanzania tuwakatae wanasiasa wababaishaji, hawana nia njema na maendeleo ya Taifa letu.
Chama pekee chenye ilani ya kimaendeleo na inayotekelezeka ni

CHAMA Cha MAPINDUZI (CCM).
Kura yenye Faida ni kwa CCM.

Unahangaika na upinzani, wakati juzi bunge limepitisha Trilioni 45 za posho kwa nguvu. Punguza unafiki.
 
CCM wanaringa kwasasbabu usalama na jeshi wapo upande wao, ila nje ya hapo hawana lolote kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom