Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona

Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.

Ndugu Watanzania tuwakatae wanasiasa wababaishaji, hawana nia njema na maendeleo ya Taifa letu.
Chama pekee chenye ilani ya kimaendeleo na inayotekelezeka ni

CHAMA Cha MAPINDUZI (CCM).
Kura yenye Faida ni kwa CCM.
Hiki chama kwa kweli kimetufeli sana Watanzania, sisi si nchi ya kuwa hivi, we have everything na potential ya kuwa a superpower ya East Africa.
 
Yes, meaning tuwakatae CCM wote....hiki chama kimejawa na wanafiki na watu wezi tu huku wakilindana kwa maslahi yao binafsi huku wakilindwa na TAKUKURU.
 
Chukulia mfano chama ambacho toka 1992 mpaka Sasa Hakuna kitu na kimepokea ruzuku na kimechangisha watu michango lakini hakina kitu chochote kinacho miliki.... serikali imepanua barabara inayo enda Zambia, imejenga barabara ya lami kutoka Dom iringa nk hayo ndo matumizi ya potential unazozisema
 
Yes, meaning tuwakatae CCM wote....hiki chama kimejawa na wanafiki na watu wezi tu huku wakilindana kwa maslahi yao binafsi huku wakilindwa na TAKUKURU.
CCM tuwape Kura za kutosha kwasabu kazi ambazo CCM imefanya toka ianziwe mpaka leo ni kubwa hata mtoto mdogo anaweza akakuelekeza...watu mafsadi wanashindwa hata kuwasomea watu wajue join the chain sh ngap na ipo wapi
 
Huwa hamuibiwi kura huwa mnakataliwa na wapenda maendeleo
Je unazungumziaje kura za 2020 za kwenye vibegi. | Unapojibu swali hili kuwa makini, naweza kukuwekea video za 2020
1685366662331.png
 
Upinzani kwani umefanya Nini kwahyo unaangalia faida ya maneno...what do they own? Tutachagua CCM
Mimi ninayejua tulikotoka na jinsi tulivyokuwa tunachukuliwa na nchi zilizotuzunguka kama maskini wa mwisho naukubali sana upinzani kwani tangu Kodi ya Kichwa ifutwe kwa shinikizo la Vyama vya Upinzani Tanzania imepaa sana Kijamii,Kiuchumi,Kielimu,Kijiografia na hata Kimataifa.
 
Kwahiyo sera Yenu ni kufuta Kodi ya kichwa syo...unajua Kodi ya kichwa ilifutwa lini na Nani? Uwadanganye wasiojua historia ya Kodi ya kichwa na sababu zakuifuta. Nyie wapinzani onyesheni mmefanya nn toka 1992 mpaka Leo Mambo ya Kodi yanakujaje hapa
 
Imefutwa kipindi cha Awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa rais wa kwanza katika mfumo wa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom