Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

Unahangaika na upinzani, wakati juzi bunge limepitisha Trilioni 45 za posho kwa nguvu. Punguza unafiki.
Mbona wakuitoa hyo hela ni serikali lazima itapima mahitaji na matumizi usidhani bunge likishapitisha na mpunga unatoka hapohapo...na hyo hela itakaguliwa pia
 
Usitusemee sisi Wapiga kura! Nyie kama mnajiamini ruhusuni Tume Huru na Katiba Mpya!
Wapiga Kura wa wawapi Mimi nasema uchaguzi hata ukiwa kesho tutaichagua CCM syo nyie wapiga porojo
 
Mbona Umekwepa hela za join
 
HAMNA KITU MNACHOMILIKI ZAIDI YA MANENO TU SS WANANCHI KURA ZETU TUTAIPA CCM... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Jamani wakataeni kwa haki na msiibe kura wala msiwape polisi mabegi yenye kura zenu! Wekeni fair play halafu mhamasishe wakataliwe! TUONE. CCM bila polisi ni mavi kabisa!!
 
Jamani wakataeni kwa haki na msiibe kura wala msiwape polisi mabegi yenye kura zenu! Wekeni fair play halafu mhamasishe wakataliwe! TUONE. CCM bila polisi ni mavi kabisa!!
Huwa hatuwachagui kwasabu mmekaa kitapeli tapeli Sana inakuwaje mshindwe kujenga ofs ya mil. 20 na wabunge mliwakata mishahara, na SABODO aliwapa, na join the chain mlipga
 
Huwa namshangaa sana mtanzania anaye acha kufikiria Kodi tunazo lipa zinatumikaje,
Anawaza mambo ya ajabu yasiyo kuwa na tija!
 
Huwa hatuwachagui kwasabu mmekaa kitapeli tapeli Sana inakuwaje mshindwe kujenga ofs ya mil. 20 na wabunge mliwakata mishahara, na SABODO aliwapa, na join the chain mlipga
Sema ukweli ni lini mlishinda! 2010 Jk alipigwa na Dr Slaa kwa mbali ajabu mkachakachua
2015 Lowasa akamgaragaza libichwa JPM hadi kutaka kufa
2020 Libichwa box JPM likaiba uchaguzi likachanganyikiwa hadi likadead!
Leta fair play wewe acha kujamba jamba!
 
Tuwachague kwa lipi mlilolifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…