Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Wakuu, nmehamia kwa sista hapa near sea clif zile vilas and apartment ile barabara inayoenda sea clif baharin huku.aisee wakuu. Niko hapa mwez mzima nalinda nyumba...hahhah yaan namaanisha naamkia hapa kwenda kazin etc, yaan inshort huu mwez m1 nataka niutumie vizur sana hata kungoa ma slay queen nikidanganya kuwa hapa ni kwangu nime rent.
Wakuu, tutafte hela wakuu hapa ni kama paradise, well mijengo kama hii uswahilin kwetu ipo ila sasa hii location ndo kila kitu
Narudia tena. tutafte hela kwa njia yoyote ile ila isiwe hatarish wakuu
Yaan speed ntakayotoka nayo after this whole month ya utaftaj ni ya kiwango cha lami.
Wakuu tutafte hela. Haya maisha kuna watu wanakula aisee..
The next apartment kuna wadada wa kichaga hawa wanaonekana kula bata usiku na mchana wala hawana kaz..sasa sielew mapesa haya wanatoa wap..
Well ..ukiuliza nimuulize sista yeye anapata wap pesa..well..my sista ni msomi pia ni wale mnaoskiaga wanasafiri kwenda geneva kila mwez so achen maswal..
Tutafte pesa .mim ni msomi lakin ndo hvyo nahangaika na mshahara wa gavamee.na biashara....hii mikoz ya sayansi kujifanya injinia saa zingne daah..msuli tembo matokeo sungura.
Ila siku 1 naamin namim ntaweza lipa rent hzi za 2000$.
Dah.
Sent using Jamii Forums mobile app