Tutafute hela this. 2000$ apartment si mchezo

Tutafute hela this. 2000$ apartment si mchezo

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wakuu, nmehamia kwa sista hapa near sea clif zile vilas and apartment ile barabara inayoenda sea clif baharin huku.aisee wakuu. Niko hapa mwez mzima nalinda nyumba...hahhah yaan namaanisha naamkia hapa kwenda kazin etc, yaan inshort huu mwez m1 nataka niutumie vizur sana hata kungoa ma slay queen nikidanganya kuwa hapa ni kwangu nime rent.

Wakuu, tutafte hela wakuu hapa ni kama paradise, well mijengo kama hii uswahilin kwetu ipo ila sasa hii location ndo kila kitu

Narudia tena. tutafte hela kwa njia yoyote ile ila isiwe hatarish wakuu

Yaan speed ntakayotoka nayo after this whole month ya utaftaj ni ya kiwango cha lami.

Wakuu tutafte hela. Haya maisha kuna watu wanakula aisee..

The next apartment kuna wadada wa kichaga hawa wanaonekana kula bata usiku na mchana wala hawana kaz..sasa sielew mapesa haya wanatoa wap..

Well ..ukiuliza nimuulize sista yeye anapata wap pesa..well..my sista ni msomi pia ni wale mnaoskiaga wanasafiri kwenda geneva kila mwez so achen maswal..

Tutafte pesa .mim ni msomi lakin ndo hvyo nahangaika na mshahara wa gavamee.na biashara....hii mikoz ya sayansi kujifanya injinia saa zingne daah..msuli tembo matokeo sungura.

Ila siku 1 naamin namim ntaweza lipa rent hzi za 2000$.

Dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu..nmehamia kwa sista hapa near sea clif..zile vilas and apartment ile barabara inayoenda sea clif baharin huku.aisee wakuu...niko hapa mwez mzima nalinda nyumba...hahhah..yaan namaanisha naamkia hapa kwenda kazin etc...yaan inshort huu mwez m1 nataka niutumie vizur sana hata kungoa ma slay queen nikidanganya kuwa hapa ni kwangu nime rent...

Wakuu..tutafte hela wakuu..hapa ni kama paradise..well..mijengo kama hii uswahilin kwetu ipo ila sasa hii location ndo kila kitu

Narudia tena. tutafte hela kwa njia yoyote ile ila isiwe hatarish wakuu

Yaan speed ntakayotoka nayo after this whole month ya utaftaj ni ya kiwango cha lami...

Wakuu tutafte hela..haya maisha kuna watu wanakula aisee..

The next apartment kuna wadada wa kichaga hawa wanaonekana kula bata usiku na mchana wala hawana kaz..sasa sielew mapesa haya wanatoa wap..

Well ..ukiuliza nimuulize sista yeye anapata wap pesa..well..my sista ni msomi pia ni wale mnaoskiaga wanasafiri kwenda geneva kila mwez so achen maswal..

Tutafte pesa .mim ni msomi lakin ndo hvyo nahangaika na mshahara wa gavamee.na biashara....hii mikoz ya sayansi kujifanya injinia saa zingne daah..msuli tembo matokeo sungura..

Ila siku 1 naamin namim ntaweza lipa rent hzi za 2000$....

Dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwana nilienda kumchukulia apartment hapo xmas season aisee, nilikumbuka mitaa fulani Dubai! Hizo aprtment hapo zimekaa vizuri sana, si kama unatoka Sea Cliff unakata kulia? Ziko upande wa kulia mwishoni kule, ni noma. Ukiwa na hela hata Tz ni Ulaya!
 
Screenshot_20220126-150120.jpg
 
Kuna mwana nilienda kumchukulia apartment hapo xmas season aisee, nilikumbuka mitaa fulani Dubai! Hizo aprtment hapo zimekaa vizuri sana, si kama unatoka Sea Cliff unakata kulia? Ziko upande wa kulia mwishoni kule, ni noma. Ukiwa na hela hata Tz ni Ulaya!
Hapo hapo mkuu...ni. Hiv..haya maisha sjui tufanyaje wakuu...hiz mia mbili mbili zetu kwenye business na mshahara kwel tutakuja kaa maeneo hayo kwel..?..roho inaniuma sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hapo mkuu...ni. Hiv..haya maisha sjui tufanyaje wakuu...hiz mia mbili mbili zetu kwenye business na mshahara kwel tutakuja kaa maeneo hayo kwel..?..roho inaniuma sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo umenichekesha sana. Umesema mjengo kama huo zinapatika uswaz tatizo location.
Acha tu tutafute hela hata huku mtoni kea njia hii.
 
Hapo hapo mkuu...ni. Hiv..haya maisha sjui tufanyaje wakuu...hiz mia mbili mbili zetu kwenye business na mshahara kwel tutakuja kaa maeneo hayo kwel..?..roho inaniuma sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Komaa yote yanawezekana. Sasa wewe una exposure, wapo watu kibao wana mpunga wa kutosha na wanakaa sehemu za ajabu ajabu. Tafuta hela unanunua kabisa sio kulipa kodi, ila lazima uwe na hela maanake hata ukinunua kuna kulipa service charge kila mwezi minimum $200.
 
Mheshimu sana dada
Yoyote anayeitwa dada mheshimu na ukaze kutafuta pesa sanaaa
Kabisa mkuu..roho inaniuma sana kwamba kwann siingiz pesa nying kwa mwezi..na elimu nnayo ya kutosha..kiufup mim nyumban ndo mwenye matokeo ya kutisha ya kielimu..ila sasa kimaisha ndo bado .au nijipe muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom