Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika.
Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate Utajiri. Na hii dawa Ipo sana Maeneo kama Zanzibar, Lamu, Mombasa na Tanga.
Ukikataa kuwa unakazwa jicho na Jini basi unapewa option ya kuwa unaingiliwa na vijana tu mtaani mbalimbali....yaani lazima shahawa ziingizwe njia yako ya haja. Unajua utaniri wa shetan hauna furaha ya kudumu. Una masharti sana. Sema yanategemeana na mtu na mtu.
Mimi nimezunguka sana na kufahamiana na watu wengi wakiwemo wanasiasa mashuhuri ambao wamejikita kwenye ushirikina sana. Miaka toka ya nyuma kuna wasanii kibao walikuwa wanakazwa jicho ili wafanikiwe na wapate utajiri. Hii ilikuwa kwa wanaume.
Kwa sasa usishangae mtu ameoa na ana mtoto au watoto na anafanywa hivyo ili awe maarufu au apate utajiri. Hii imewachukua vijana wengi sana hata mtu mmoja ambaye amekuwa mtu wa mpira (si kucheza mpira) yeye analiwa sana ila naye anajitahidi kuoa. Shida inakuja baadaye mashine inakosa nguvu. Hapo lazima achapiwe mke au mpenzi.
Anyway....mimi nimeona mengi sana ktk eneo hilo ndo maana nawatizama nasema "hiiiiiiiiiiiiii" tafuteni pesa kwa njia halali. Msipende sana umaarufu unakuja na masharti mengi. Msione vinaelea vimeundwa.