Tutafute Pesa hata kama kwa Kisomo na Duaa basi pia tuwe Makini. Kuna watu wanapesa hawana Raha

Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika.

Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate Utajiri. Na hii dawa Ipo sana Maeneo kama Zanzibar, Lamu, Mombasa na Tanga.

Ukikataa kuwa unakazwa jicho na Jini basi unapewa option ya kuwa unaingiliwa na vijana tu mtaani mbalimbali....yaani lazima shahawa ziingizwe njia yako ya haja. Unajua utaniri wa shetan hauna furaha ya kudumu. Una masharti sana. Sema yanategemeana na mtu na mtu.

Mimi nimezunguka sana na kufahamiana na watu wengi wakiwemo wanasiasa mashuhuri ambao wamejikita kwenye ushirikina sana. Miaka toka ya nyuma kuna wasanii kibao walikuwa wanakazwa jicho ili wafanikiwe na wapate utajiri. Hii ilikuwa kwa wanaume.

Kwa sasa usishangae mtu ameoa na ana mtoto au watoto na anafanywa hivyo ili awe maarufu au apate utajiri. Hii imewachukua vijana wengi sana hata mtu mmoja ambaye amekuwa mtu wa mpira (si kucheza mpira) yeye analiwa sana ila naye anajitahidi kuoa. Shida inakuja baadaye mashine inakosa nguvu. Hapo lazima achapiwe mke au mpenzi.

Anyway....mimi nimeona mengi sana ktk eneo hilo ndo maana nawatizama nasema "hiiiiiiiiiiiiii" tafuteni pesa kwa njia halali. Msipende sana umaarufu unakuja na masharti mengi. Msione vinaelea vimeundwa.
Huyu mtj wa mpira huyu,,😅😅😅😅
 
Mbona mnapandikiza beliefs mbaya hivi kwenye minds za watu wa Taifa lako lakini. Yaani hapa unajua the way mind take itakavyokuwa Ina respond Ile subconsciously lakini ama mnaandika vitu
Waafrika wa nchi jirani kama Kenya wanakuwa tajiri kwa kufanya kazi kwa bidii lakini sisi hapa tunaamini utajiri lazima uambatane na uchawi. Anakekuwa tajiri lazima atakuwa mchawi, mara illuminati alimradi viambatane na ushirikina.

Ndiyo maana daima tutakuwa wasindikizaji, utajiri tutausikia tu kwenye television.
 
Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika.

Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate Utajiri. Na hii dawa Ipo sana Maeneo kama Zanzibar, Lamu, Mombasa na Tanga.

Ukikataa kuwa unakazwa jicho na Jini basi unapewa option ya kuwa unaingiliwa na vijana tu mtaani mbalimbali....yaani lazima shahawa ziingizwe njia yako ya haja. Unajua utaniri wa shetan hauna furaha ya kudumu. Una masharti sana. Sema yanategemeana na mtu na mtu.

Mimi nimezunguka sana na kufahamiana na watu wengi wakiwemo wanasiasa mashuhuri ambao wamejikita kwenye ushirikina sana. Miaka toka ya nyuma kuna wasanii kibao walikuwa wanakazwa jicho ili wafanikiwe na wapate utajiri. Hii ilikuwa kwa wanaume.

Kwa sasa usishangae mtu ameoa na ana mtoto au watoto na anafanywa hivyo ili awe maarufu au apate utajiri. Hii imewachukua vijana wengi sana hata mtu mmoja ambaye amekuwa mtu wa mpira (si kucheza mpira) yeye analiwa sana ila naye anajitahidi kuoa. Shida inakuja baadaye mashine inakosa nguvu. Hapo lazima achapiwe mke au mpenzi.

Anyway....mimi nimeona mengi sana ktk eneo hilo ndo maana nawatizama nasema "hiiiiiiiiiiiiii" tafuteni pesa kwa njia halali. Msipende sana umaarufu unakuja na masharti mengi. Msione vinaelea vimeundwa.
Haji Manara hahahaha code rahisi sana
 
Ukiamini kuwa Ni masikini ama utapata pesa kwa shetani itakuwa Ivyo ivyo.
Your mind is like garden whatever you sow on it grow accordingly. Everything hapa duniani kipo kwa kikanuni fulani maalumu hakuna kilicho exit from nowhere. Hata Muumbaji ameumba universe yetu kwa specific sequence jamani. Everything is numbered and is counted.
Kuna rules and principles za kila kitu jamani.
Yaani Mungu aumbe gold baadaye kuipata gold iwe mpaka kafara kweli.
Eti kumiliki range iwe mbaka umuue mzazi
 
Back
Top Bottom