Tutafute Pesa hata kama kwa Kisomo na Duaa basi pia tuwe Makini. Kuna watu wanapesa hawana Raha

Huyu mtj wa mpira huyu,,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyo "maarufu wa mpira anayeliwa jicho" ambaye siyo mchezaji ana haiba gani, msemaji semaji sanaaaa, emb tuweke wazi bhana.

Si umeamua kumwaga mtama, ikiwezekana mtaje kabisa kwa jina, anonymity itakuhifadhi.
Anamsema haji tu Hana lolote
 
Mbona mnapandikiza beliefs mbaya hivi kwenye minds za watu wa Taifa lako lakini. Yaani hapa unajua the way mind take itakavyokuwa Ina respond Ile subconsciously lakini ama mnaandika vitu
Waafrika wa nchi jirani kama Kenya wanakuwa tajiri kwa kufanya kazi kwa bidii lakini sisi hapa tunaamini utajiri lazima uambatane na uchawi. Anakekuwa tajiri lazima atakuwa mchawi, mara illuminati alimradi viambatane na ushirikina.

Ndiyo maana daima tutakuwa wasindikizaji, utajiri tutausikia tu kwenye television.
 
Haji Manara hahahaha code rahisi sana
 
Eti kumiliki range iwe mbaka umuue mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…