Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Mada ndio ishaanza na mimi naanza na Hafidh Konkon.
Acha kuzubaa, endelea na wewe…
Acha kuzubaa, endelea na wewe…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onana, na yule mwingine aliyetoka ASEC MIMOSAS, ambaye hajacheza hata mechi ya kirafiki.Mada ndio ishaanza na mimi naanza na Hafidh Konkon.
Acha kuzubaa, endelea na wewe…
Huyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?Kubwa la magarasa yote ni SKUDU
Mmepigwa paleHuyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
🤣🤣Hafidh Konkon ni captain wa kikosi cha magarasa
Tutasema tuMmepigwa pale
Skudu hajacheza mechi nyingi. Uthubutu wake wa kuforce kuingia kwenye box ni muhimu sana kwenye kusukuma mashambulizi na kumlazimisha mpinzani kufanya makosa.Huyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
[emoji23] kwamba ana mikimbio mizuriSkudu hajacheza mechi nyingi. Uthubutu wake wa kuforce kuingia kwenye box ni muhimu sana kwenye kusukuma mashambulizi na kumlazimisha mpinzani kufanya makosa.
Siyo nahisiHuyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
Mpeni mudaMe ni Yanga ila Skudu tumepigwa 😂