Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Konkoni kacheza mechi ngapi na ana goli ngapi?Hafidh Konkon ni captain wa kikosi cha magarasa
Kalinyo alikua garasa? una akili timamu?Kwa Miaka ya hivi karibu Magarasa ya Yanga walikua
Kalinyo.
Sarpong
Skudu
Yikpe
Kisinda
Makambi
Kwa Simba
Mzungu (Dejan).
Okwa.
Bocco
Na yule.Kipa Mwarabu
Outara
Ndiyo alikua garasa alishndwa BongoKalinyo alikua garasa? una akili timamu?
Kuna kitundu huko juu kimemtaja Che Malone Fondo fundi
Kalinyo alicheza mechi 9 assist 6 goli 3 , unaongelea kushindwa vipi?Ndiyo alikua garasa alishndwa Bongo
Magoli ayatoe wapi?Konkoni kacheza mechi ngapi na ana goli ngapi?
Skudu kuna vitu vimepungua kwake tokea atoke kwenye majeraha. Ukiangalia Skudu wa kwenye mechi ya Kaizer chief na wa kwenye mechi ya Azam unaona kabisa sio huyu wa sasa. Alikuwa mtulivu, hapotezi ovyo mpira na mguuni alikuwa ana kitu na alikuwa anafanya maamuzi sahihi. Ila Skudu wa sasa amekosa kujiamini akiwa na mpira, utulivu hana, na amekuwa anacheza kwa uoga uoga. Nadhani tatizo kubwa ni fitness na pia lile tukio alilofanyiwa limemuharibia hata kiakili na kupelekea kucheza mpira kwa uoga sana.Huyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
Mechi ya JKT goli la 4 ulifunga wewe?Magoli ayatoe wapi?
OngezeaKwa Miaka ya hivi karibu Magarasa ya Yanga walikua
Kalinyo.
Sarpong
Skudu
Yikpe
Kisinda
Makambi
Kwa Simba
Mzungu (Dejan).
Okwa.
Bocco
Na yule.Kipa Mwarabu
Outara
skudu ni mchezaji mzuri sana nahisi mambo hayajamuendea sawa tuHuyu skudu hata Mimi nahisi tumepigwa au kwakuwa hajacheza mechi nyingi...?
Nakata mkono hojaChe Malone
tumpe muda utarudiSkudu kuna vitu vimepungua kwake tokea atoke kwenye majeraha. Ukiangalia Skudu wa kwenye mechi ya Kaizer chief na wa kwenye mechi ya Azam unaona kabisa sio huyu wa sasa. Alikuwa mtulivu, hapotezi ovyo mpira na mguuni alikuwa ana kitu na alikuwa anafanya maamuzi sahihi. Ila Skudu wa sasa amekosa kujiamini akiwa na mpira, utulivu hana, na amekuwa anacheza kwa uoga uoga. Nadhani tatizo kubwa ni fitness na pia lile tukio alilofanyiwa limemuharibia hata kiakili na kupelekea kucheza mpira kwa uoga sana.
Hata wewe hapo unanilazimisha cha kuandika wakati simu ni yangu, bando ni langu, mawazo ni yangu. Nionavyo mini sio muonavyo ninyi..!!Sasa unamlazimisha cha kuandika wakati simu ni yake, bando ni lake, mawazo ni yake….!!! Aonavyo yeye SIO uonavyo wewe…!!!
Wewe Okra alikua vizuri sana sema tu shida pale Simba ni uongozi!!Ongezea
Okra
Chikwende
Maduhwa
Miqson
Akpan
Ayub
Kanoute
Duncan Nyoni