Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Mkuu, ulisoma UDOM?
 
Bachelor of science in mathematics and statistics miyeyusho tupu
 
Nilisoma hii kozi miaka ya nyuma ,ki ukweli ni Changamoto sana.
1. Niliomba kazi ya ualimu serikalini kupitia TAMISEMI nikapangiwa kituo,baadae ikashindikana kuingia kwenye payroll kwa sababu professionally sio mwalimu.
2. Niliomba kazi moja ya taasisi za serikali kupitia sekretariat ya ajira nikafaulu usaili,nikaitwa kazini,kureport kazini HR kaniambia Sina sifa
3.Kwa sasa nipo kazini serikalini kwa nafasi ya STATISTICIAN

Ushauri
1. Kwa kazi za serikali Kama una G.P.A kubwa omba kazi za TA vyuoni,
2. kukomaa na interview za statistics maana ndo sehemu pekee tunayoqualify ,Ila hatuna contents za statistics so inabidi ukomae sana kusoma mambo ya takwimu mwenyewe(Ndo njia nliotumia)
3.Kufundisha private school,majority ya tuliomaliza nao wapo huko
4.Kuomba scholarship kufanya masters kwa wenye G.P.A kubwa wengi pia wamefanikiwa
 
Kwani kubadilisha fani na kusomea kitu kingine kabisa ni kosa? Sema TANZANIA utaonekana tahira.
 

Kozi yako imekaa kiualimu zaid although hata kwenye research institute utahitajika. Ukweli ni kwamba kwa kozi kama yako mbele ndio inalipa, hapa bongo bado sana. Pole sana
 
Daaah, nimecheka sana aisee..huu Uzi udumu milele,
Degree ya mipango na Hana ajira Wala pesa, so amesoma mipango Gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Degree in theology, wahuni wanampongeza ni course nzuri mbususu nje nje [emoji1787][emoji1787]
Eti computer science na Cyber crime utaambulia kuwa Fundi madishi na Fundi simu tu wa kujiajiri [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…