Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Taft shule ufundishe ama fungua centre yko ufundishe... hesabu ni ugonjwa wa taifa utapga pesa mingi
January 2017 nilipata nafasi shule flani morogoro, walinipa na nyumba wale masister wa kikatoliki, baada ya miezi miwili wakaniongeza mshahara. Mwezi mei akaja mratibu elimu kata akasema "wewe sio mwalimu". Stelingi nikafia kwenye maua.
 
Nashukuru mkuu. Hii comment nimeiscreenshort ili nisiache kitu.
Pia hizi website hapa chini znaweza kusaidia kama Unataka kwenda kusoma masters

[emoji842]www.phds. org
[emoji842]www. jobs. ac. uk
[emoji842]www.findaphd. com
[emoji842]www.vacancyedu. com
[emoji842]www.findamasters. com
[emoji842]euraxess. ec.europa. eu
[emoji842]www.discoverphds. com
[emoji842]www.academicpositions. us
[emoji842]www.universitypositions. eu


Usikate tamaa ndugu jitofautishe tu na kundi lingine

Mungu akutie nguvu
 
Kwenye Kujiajiri Mchawi Capital kaka.....
 
Heh heh..
Nipo naosha magari mkuu.. Na wengine wengi tuu niliwaona dodoma usaili NAOT. Wengine walikua chuo cha mipango usaili wa TA.
Dah sasa mzee wee huna ndoto za kuja na theory zako za hesabu ili utusaidie kama nchi tuwe donor country? Maana kwa kweli bila nyie watu wa hesabu nchinhaiwezi kamwe kuwa donor country.
Hii sio fair kabisa watu wa namba inabidi kwanza msomenbure na kazi mpate bila ata kuapply
 
Pole sana ndugu. Husabati ni changamoto kwa wanafunzi wengi. Tafuta eneo anzisha tuition centre ua Hisabati. Nina uhakika utapata wateja (wanafunzi) wengi sana. Na utatoboa!
 
January 2017 nilipata nafasi shule flani morogoro, walinipa na nyumba wale masister wa kikatoliki, baada ya miezi miwili wakaniongeza mshahara. Mwezi mei akaja mratibu elimu kata akasema "wewe sio mwalimu". Stelingi nikafia kwenye maua.
Nchi hii ni ya kipumbavu sana.
Mzee kwa hiyo fani wewe hukupaswa kufanya kazi nchi hii ya mchongo.
Ngoja nikupe site moja ya Canada uombe kazi huko uondoke bongo
Lugha si inapanda mlima?
Nimesikitika sana kwa mtu wa ujuzi aina yako. Sema siku hizi nime mess up na connections nilizokua nazo otherwise mzee ningekusaidia kikamilifu.
Halafu kwa fani yako unaweza kuwa actuary pia, maana mnafana na watu wa acturial science.
 
Boss unafanya vizuri ila kukimbia nchi ni uoga wa maisha. Mbona watu wanafanikiwa hapahapa.
 
Mimi unipe 50k nikufundishe kazi?hebu thamini kazi za watu basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KOZI ZOTE ZA BIASHARA KUNA COMPETITION KUBWA SANA WITHOUT CONNECTION HAUTOBOI MASTERS YAKE UNA IWEKA KABATINI TU INAPGWA NA VUMBI HATA UWE NA GPA KUBWA YAAN
Fact, biashara, accounts na uchumi. Graduates ni wengi sana competition ni kubwa sana kupata ajira ni ngumu sana. Ukisoma hizo course zaidi sana labda kama unataka kwa ajili ya kujiajiri.

Kwa maoni yangu binafsi nashauri kijana kama anasoma basi asome kitu atakachotumia kujiajiri na sio kutembea na vyeti kutafuta ajira. Zama zimebadilika, ajira ni chache sana.
 
Nashukuru sana mkuu.
Nakuadihi kuzingatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…