Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Kweli kabisa...hna nchi inayokuwa donor countey bila kuwa na great advances in acience and technology ambayo vyote hivyo hutegemea mathematics. Katika watu ambao walitakiwa kusoma bure yaani nchi inagharamia kila kitu ni watu wa namba. Na kuhakikisha wanapata employmwnt kwenye research institutes.

Huu ufala wa kusifiana biashara za survival mode ni ujinga tuu. Mtafanya biashara but mwisho wa siku viwanda machinery zote zinaletwa na wadhungu...bado utakuwa mtumwa tuu.
Mkuu umeandika kitu ambacho ninakiamini hata mimi
 
Na ndio hapo tunafeli na tutaendelea kufeli , hatu value proffessions ,wenzetu wana value proffessions ,Sisi mtu akiongelea udhaifu wa hii nchi kutovalue proffessions watu wanakebehi na kuandika ujinga ,na imekuwa hivyo Africa nzima ,kama hatuwekezi kwenye proffessions kuhakikisha hawa wanaograduate wanakuwa channeled katika mkondo wa kuadd value katika uchumi kupitia proffessions zao , hatutoboi nakwambia , huwezi kuwa na graduates mfano mechanical engineer na agricultural Engineers thousands of them in the streets wanafanya umachinga halafu ukajidanganya siku moja utapata maendeleo kwenye hiyo sekta ya kilimo .Si bora mfute hizo courses huko chuo ,muache kupoteza kodi za wananchi na muda wa wanafunzi ili mjenge taifa la illiterates na wachuuzi ?
Mfano nilishawahi andika humu kuhusiana na revolution Tu inayoweza patikana kwa kuanzisha serious incubator ya kufanya research na building ya modern mechanical equipments mfano pumps , matrekta nk ambazo tunaweza tukazitengeneza na zikasaidia kuondokana na kilimo cha ovyo cha jembe la mkono ,kuzalisha ajira na kuleta tija na ufanisi kwenye kilimo kwa kuongeza uzalishaji .
Tuna chuma kule mchuchuma na Liganga why ,hatufanyi mambo ya maana kama haya ,mjapan kutengeneza vitu kama matrekta ,ndege ,magari na heavy diesel equipments nyingine za ujenzi ,kilimo na madini alijifunza kule USA na then akaenda kuimplement kwake kazalisha makampuni ambayo yamedumu na yameshika soko la dunia mpaka leo mfano Nissan ,Toyota ,Suzuki , Komatsu NK Sisi tunabung'aa hapa .
Kweli kabisa yaani ukitaka kujua waafrica ni wajinga ata copy and paste tunashindwa 🤣🤣🤣🤣

Alisemaga na marehemu baba yangu "mwanangu nisamehe ila umezaliwa m.kunduni mwa dunia"
 
January 2017 nilipata nafasi shule flani morogoro, walinipa na nyumba wale masister wa kikatoliki, baada ya miezi miwili wakaniongeza mshahara. Mwezi mei akaja mratibu elimu kata akasema "wewe sio mwalimu". Stelingi nikafia kwenye maua.
Nchi hii ina ujinga mwingi sn aisee.. apo unakuta mtu aliepata D ya hesabu o level akaenda diploma ya ualimu anapewa kufundisha madogo af mtu aliepata A anakataliwa kisa hajasoma ualimu
 
Bachelor of Science in Mathematics

Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.

Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Ulitakiwa ukawe Mwalimu hata wa kujitolea au rasmi tena wa shule za hadhi hasa za wahindi maana wale jamaa fani za sayansi wanazihusudu sana! Nenda kaombe kazi au hata kibarua cha kujitolea shule kama "Aga-khan, Al-muntazir, Shaaban Robert, Hindu-Mandal" na uwaambie uko vyema kwenye hesabu na unataka ufundishe Advance-level, utakuja kunishukuru hapa baadae. Au kama una hekima na busara utakumbuka ushauri huu, lakini pia unaweza kupata nafasi hata ya kuwa tutorial assistant chuo chochote cha biashara au sayansi kama kweli uko serious unataka kutumikia taifa lako na elimu yako... je! Umewahi kwenda kuomba ajira vyuoni?!

Kuna taasisi za serikali zingine kama MSD, TFDA, Takwimu n.k watu kama wewe hopefully wanahitajika... hata kampuni binafsi wanataka watu wa mahesabu kama hujui... kampuni kama AZAM na GSM naamini ukibahatika kuonana na wamiliki wenyewe hawakuachi ila kuna fitna na majungu sana maeneo hayo nimeyokutajia.

acha kukata tamaa, mbona ni kitu kizuri ambacho umesomea... hao wanaoshtuka kwamba hawajui hiyo ni kozi/fani gani ndo wale vilaza waliingia makazini kwa koneksheni, kubanduliwa, kuroga n.k pia na hata ukikaa nae ukitazama utendaji kazi wake, mwenendo (tabia), uwezo wa kuanzisha mada na kuchangia hoja au nukta zake ni 0%!.... Anyways

Sasa nikushauri kitu... ni vyema ukapambania sehemu hizo nilizokudokeza ukibahatika kupata ajira au hata kupata nafasi ya kujishikiza kafanye Masters ya maswala ya kemia na mahesabu, au Finance and investment... yaani kwa kiswahili ni mahesabu ya kibiashara na uwekezaji ukimaliza nenda jeshi. Nakuapia shida zote utazisikia kwenye bomba. TISS hawatakuacha lakini pia unaweza kuingia taasisi nyeti zinginezo serikalini na the rest will be history!
 
uko wapi boss mbona hzo course ndo znaongoza kwenye ajira

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Vijana wa kiafrika hasa afrika mashariki ni wajinga wajinga sana! Kutwa kufuatilia ujinga... sasa nagundua mleta mada aliuliza makusudi ili tuone kiasi gani wasomi hewa wanazalishwa... mtu hasomi wala kufuatilia mambo yeye anakurupuka tu, kuna mtu ana shahada ya sayansi kwenye mahesabu, mwingine takwimu. Wanadai kazi hakuna. Daaahhh! Afrika 😔😔😔
 
Nchi hii ina ujinga mwingi sn aisee.. apo unakuta mtu aliepata D ya hesabu o level akaenda diploma ya ualimu anapewa kufundisha madogo af mtu aliepata A anakataliwa kisa hajasoma ualimu
Afrika ni bara la giza. Hawakukosea waliosema hivi
 
Vijana wa kiafrika hasa afrika mashariki ni wajinga wajinga sana! Kutwa kufuatilia ujinga... sasa nagundua mleta mada aliuliza makusudi ili tuone kiasi gani wasomi hewa wanazalishwa... mtu hasomi wala kufuatilia mambo yeye anakurupuka tu, kuna mtu ana shahada ya sayansi kwenye mahesabu, mwingine takwimu. Wanadai kazi hakuna. Daaahhh! Afrika [emoji17][emoji17][emoji17]
Kuna comment umeweka pale juu nikakuterm conscious, mapungufu machache nikayaelewa kibinaadam.

Hiki ulichoandika hapa ni kama mtu mwingine kabisa.

Ungesoma comments zangu zote, am sure hiki usingekiandika.

Chini kabisa nitakuwekea sifa ya umri wa kuingia jeshi, jambo uliloshauri pale juu. Ila hapa nitakwambia machache nikiwa moja ya vijana uliotuona "wajinga".

Kwanza kabisa, nina uhakika, ukipewa wewe fani hizi ziwe kichwani mwako na vyeti vyake, ukatafute hizo unazoziita kazi, hata kusurvive hutaweza.

Pili kwa kutambua ukubwa wa tatizo kwenye fani husika, chuo kimemodify hii program, yakwanza imechanganywa na moduli za ualimu ili graduate wake waqualify tamisemi, nyingine imefanywa kua Bachelor of Science in Mathematics and Computer Science. Hiyo kwa uchache.

Ulishauri kufundisha. Nilisema pale juu, nilipewa mpaka nyumba na masister wa kikatoliki pale morogoro. Kwa muongozo wa tamisemi mratibu elimu alinikataa mimi kua mwalimu.

Umeshauri jeshi.
Soma hapa kigezo cha umri kwa elimu husika.

Kwa vijana wenye elimu ya darasa la saba umri ni kuanzia miaka 16 hadi 18.

Vijana wenye elimu kidato cha nne umri usiwe zaidi ya miaka 20.

Vijana wenye elimu ya kidato cha sita umri usiwe zaidi ya miaka 22.

Vijana wenye elimu ya stashahada umri usiwe zaidi ya miaka 25.

Vijana wenye elimu ya shahada umri usiwe zaidi ya miaka 26

Vijana wenye elimu ya shahada ya uzamili umri usiwe zaidi ya miaka 30

Vijana wenye elimu ya shahada ya uzamivu umri usiwe zaidi ya miaka 35.

Hata nikapewe hiyo masters sasahivi, jeshi singii. Labda nipate phd.

Mwisho nitasema kama kijana mjinga wa afrika mashariki, ninayefatilia ujinga..

Kama kweli unayo kazi unayofanya, kama kweli ulipata hiyo kazi kwa kuitafuta mwenyewe kwa uwezo wako, kama kweli unafatilia mambo ya msingi yanayoendelea kwenye hili taifa, hautarudia kucomment vitu kama nilivyokuquote hapa.
 
Kijana njoo PM nikueleweshe. Unaongea sana! 😊 na ndo mana kuna kauli niliisema hapo "Taasisi nyeti za serikali"
 
Back
Top Bottom