Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

tatizo la tanzania course zilizopo azikwendi na wakati. kiufupi tuna course hizo hizo miaka nenda rudi.

niliona UDOM labda kama walishaitoa

Bachelor doctor and information technology.

unasomea udaktari na teknolojia yake.
 
Bachelor of Science in Mathematics

Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.

Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Mathematics....inakazi. Jiongeze kwenye IT na mambo ya programming. Angalia wapi kuna upenyo.
Sio kila kitu kinahitaji mtu akaajiriwe
 
unasoma theology ili ukaajiriwe?. utasota sana mtaani na cheti chako.

jizime data, ingia mtaani, anza kuhubiri huku ukitumia maarifa uliyopata kwenye masomo yako ya theology. wafanyie watu miujiza ya uongo na ukweli.

mahubiri yako yaegemee kuhusu mahusiano ya ndoa, uchumba na upatikanaji wa kipato cha mtu mmoja mmoja. hili ndio eneo ambalo utawapata wajinga wengi wa kukupa sadaka.

siku za kwanza baadhi ya watu watakuona chizi, watakudharau. ila miaka miwili au mitatu baadae utakuwa unamiliki kanisa lako. utajiri utakuwa unacheza kwenye mlango wako.
 
Hizi kozi zilipaswa kufutwa kabisa.
Kozi zipi ambazo sio za kufutwa,ni kozi gani ambayo una uhakika zama hizi ukitoka unakutana na ajira?soma ili akili ifunguke,ukiingia mtaani hiyo elimu itakusaidia kupamabana na hali utakayokutana nayo,tofauti na usingepata hiyo elimu...
 
unasoma theology ili ukaajiriwe?. utasota sana mtaani na cheti chako.

jizime data, ingia mtaani, anza kububiri huku ukitumia maarifa uliyopata kwenye masomo yako ya theology. wafanyie watu miujiza ya uongo na ukweli.

mahubiri yako yaegemee kuhusu mahusiano ya ndoa, uchumba na upatikanaji wa kipato cha mtu mmoja mmoja. hili ndio eneo ambalo utawapata wengi.

siku za kwanza baadhi ya watu watakuona chizi, watakudharau. ila miaka miwili au mitatu baadae utakuwa unamiliki kanisa lako. utajiri utakuwa unacheza kwenye mlango wako.
Unadhani rahisi hivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom