Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Bachelor of science in molecular biology and biotechnology

Bachelor of science in microbiology (UDSM)

Bachelor of science in acturial science

Bsc in applied zoology

Bsc in botanical science

Bsc in mathematics and statistics

Bsc in petroleum chemistry

Bsc in wildlife science & conservation



Kama unapesa bora umpe mwanao akafanye biashara kuliko kupoteza muda kwenye hizo kozi za kiwaki
 
Very touching
 
ARE YOU SERIOUS?????? MASTER'S DEGREE NA PhD TANZANIA BILA GPA 3.8 ATAFANYA KAZI WAPI? Ungemuuliza kwanza kama ana sifa hizo. Elimu ya Tanzania kwa sasa niyawachache sana
Yaani huu ndio ufala...eti umepambana mpk umepata Phd yako...halafu kwenye ajira wanakwambia uwe na undergraduate GPA ya 3.8 kuendelea, experience miaka isiyopungua 7 n.k
 
ARE YOU SERIOUS?????? MASTER'S DEGREE NA PhD TANZANIA BILA GPA 3.8 ATAFANYA KAZI WAPI? Ungemuuliza kwanza kama ana sifa hizo. Elimu ya Tanzania kwa sasa niyawachache sana
Yaani huu ndio ufala...eti umepambana mpk umepata Phd yako...halafu kwenye ajira wanakwambia uwe na undergraduate GPA ya 3.8 kuendelea, experience miaka isiyopungua 7 n
Akili kubwa haitakiwi katika nchi za kiafrika.Ukiwakomboa masikini utazalisha machafuko kwa wanaotawala. Hivi unadhani wakulima wakiwa na kipato kizuri ,hao watawala watakuwa salama??

Mbinu inayotumika ni kuendelea kuwafanya raia wengi wawe masikini ili nchi itawalike kwa wepesi. Maana umaskini humfanya mtu kuwa mtumwa
 
Kuna kozi zinawekwa sijui kukomoana sasa kama hiyo zoology hapa bongo utaenda wapi kuiapply.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii ndio point ya msingi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Wee umeshindwa kukomaa na Watu wa statistics...
 
Daaah, nimecheka sana aisee..huu Uzi udumu milele,
Degree ya mipango na Hana ajira Wala pesa, so amesoma mipango Gani?🀣🀣🀣
Degree in theology, wahuni wanampongeza ni course nzuri mbususu nje nje 🀣🀣
Usicheke inasikitisha sana, una degree ya Mipango huna hata mia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…