Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Ulichosikia ni sahihi kabisa,na huyu atashindwa.Mbona tunasikia Nyerere alishindwa kumuweka mtu anayemtaka,Mkapa naye alishindwa na mwisho Kikwete nae pia alishindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichosikia ni sahihi kabisa,na huyu atashindwa.Mbona tunasikia Nyerere alishindwa kumuweka mtu anayemtaka,Mkapa naye alishindwa na mwisho Kikwete nae pia alishindwa.
Hivi unadhani hilo hatalifanya Magufuli?Ni usonji wa kiwango cha icc mtanzania kuwa na fikra kama za huyu mtoa uzi.eti "atapanga rais awe nani" hiyo ndo akili ya hapo ufipa? Unafaham mchakato wa kumpata mgombea ndani ya ccm??
Yani asubuhi hii watu hawajapiga hata mswaki unawaamusha kwa ugori kama huu??
Mkuu jarbu kufikiria tena tafadhali😐
akulazimishe uchague?? How come??Hivi unadhani hilo hatalifanya Magufuli?
Iwapo alidiriki kuwaambia akina Kabudi na Lukuvi, kuwa hawawezi kugombea Urais mwaka 2025, eti kwa sababu ya umri!
Hivi anaweza kusema kuwa akina Kabudi hawana sifa za kugombea urais?
Anaweza kutuonyosha ibara inayozungumzia "maximum" ya umri unaotakiwa ili ugombee urais?
Ninachojua Mimi ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, imesisitiza tu "minimum" ya umri wa Rais anayetakiwa kugombea urais na wala haitaji umri "maximum" wa kugombea urais.
Hivi kwa Rais wa aina hii anayeweza kuisigina sigina Katiba ya nchi anavyotaka, atashindwa nini kutuletea mtu "wake" na kutulazimisha tumchague?
Wewe hukuona namna "alivyolazimisha" nchi nzima ichague wabunge wa CCM?akulazimishe uchague?? How come??
Nyerere aliweka Mwinyi na Mkapa.Mbona tunasikia Nyerere alishindwa kumuweka mtu anayemtaka,Mkapa naye alishindwa na mwisho Kikwete nae pia alishindwa.
Atataka atumie nguvu.Ulichosikia ni sahihi kabisa,na huyu atashindwa.
Sijui kwanini, lakini ex-president anapokuwa kama alivyokuwa Nyerere kwa Mkapa, au Mkapa kwa Magu, kuna zarura zinatokeaga...Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo
1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.
2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.
3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.
4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.
KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO
1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe
2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga
3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli
4. Hamis kigwangalla,
Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao
Tukumbushane July 2025
Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati
Amen
Britannica
Huu utaratibu upo tokea enzi za mchonga meno baba yenu wa taifaKuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo
1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.
2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.
3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.
4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.
KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO
1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe
2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga
3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli
4. Hamis kigwangalla,
Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao
Tukumbushane July 2025
Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati
Amen
Britannica
Unaweweseka,!Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo
1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.
2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.
3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.
4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.
KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO
1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe
2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga
3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli
4. Hamis kigwangalla,
Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao
Tukumbushane July 2025
Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati
Amen
Britannica
Ambaye ni Mwinyi wa ZanzibarKuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo
1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.
2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.
3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.
4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.
KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO
1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe
2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga
3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli
4. Hamis kigwangalla,
Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao
Tukumbushane July 2025
Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati
Amen
Britannica
Sad[emoji26]Sijui kama wanafahamu madhara ya kiuchumi kuweka walipata kodi masaa mawili barabarani. Oops that happens in shit hole countries.
Vile vipaja vyake hujaviona? hafiki 2025Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo
1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.
2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.
3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.
4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.
KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO
1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe
2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga
3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli
4. Hamis kigwangalla,
Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao
Tukumbushane July 2025
Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati
Amen
Britannica
Huyu atataka kufanya hivyo ila nadhani wakati huo ndio atapambana na chama.Kama historia ni Mwalimu
Basi inaonyesha lame duck presidents hawajawahi kuwa na nguvu hizo.
Nyerere alishindwa kumsimika Salim
Mkapa alishindwa kumzuia Kikwete
Kikwete alishindwa kumsimika Membe
Ngoja tumuone Ngosha, ila kwa jinsi watu walivyomchoka huyu jamaa kunaweza kukawa na moto mkali sana kuelekea 2025